Serikali yatangaza upya zoezi la uhakiki wa Vyeti feki laanza June 2017

Siyo kweli...mana viambatanisho vyote ulivyovitaja mleta mada,ni vilivyotumika kuwahakiki hao watumwa,sasa kama serikali itarudia hilo zoezi maana yake ni wendawazimu
 
Kulalamika haisaidii kitu tufate maelekezo.Tunaingia kwenye mfumo mpya tuwe Kama nchi zilizoendelea hatuwezi kubaki nyuma ya technology.
 
Siyo kweli...mana viambatanisho vyote ulivyovitaja mleta mada,ni vilivyotumika kuwahakiki hao watumwa,sasa kama serikali itarudia hilo zoezi maana yake ni wendawazimu
Zoezi linatakiwa lianze leo 16/6/2017
 
Kama unavyo hivyo vielelezo si unapeleka tu. Kama hauna unatoa sababu za msingi za kutokuwa nacho/ navyo. Nadhani wanataka kujiridhisha na waliyofanya mwanzo na hii ni njia ya kawaida ya kisayansi.
 
Kwani hili zoezi ni la kuinua vyuma mpaka kulalamika kiasi hiki? Wanachofanya ni reliability yaani kuangalia kwa kuna tofauti na walichofanya mwanzo.
Watu wako busy sana..lakini pia ni vyema ukatambua mtawanyiko wa watumwa wa nchi hii...kuna watumwa wanatumia hadi 15,000 nauli kwenda tu sehem ya kupeleka taarifa
 
kutesana huku Bujibuji, uhakiki usiofikia kikomo, mishahara haipandi!!!

NIDA maanake Uraia, hivyo hii ni awamu ya pili ya uhakiki ikilenga suala la Uraia. RITA sio rahisi kwa sababu wengi hawana vyeti vya kuzaliwa na ndio maana Rais alibatilisha uamuzi wa Dr Mwakyambe wa ndoa kwa cheti cha kuzaliwa.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom