Serikali yatangaza upya zoezi la uhakiki wa Vyeti feki laanza June 2017

Inabidi watufikirie hata nauli sasa.. Maana sisi wengine tupo interior sana kwenda tu hadi halmashauri ni sh. 10,000 bado kurudi na kula.. Dah! hii inachosha
hahaah, nauli hawakupi, sana sana mtapewa ruksa ya kwenda kuhakikiwa au wanaohakiki wanaweza kuwafuata hapo ofisini kwenu.
 
Habarini wanaJF!

Uhakiki umechosha kwa watumishi wa umma umechosha sasa loooh!

Tutatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:
1. Kitambulisho cha NIDA
2. Kitambulisho cha kazi
3. Salary slip

Imechosha sasa, si kwa uhakiki huo!!!:(:(:(

Re : Zoezi la Uhakiki Watumishi wa Umma kwa Kutumia Taarifa za Kitambulisho

cha Taifa Pamoja na Ukaguzi wa Uingizwaji wa Taarifa katika Mfumo wa HCMIS

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Tumepokea maelekezo ya Serikali kupitia barua toka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa

Umma na Utawala Bora yenye Kumb. Na.CFC.26/205/01”Y”/56 ya tarehe 06 Juni, 2017 kuhusu mada

tajwa hapo juu. Kama mtakumbuka Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilifanya zoezi la

kuwasajili watumishi wa Umma kwa ajili ya kuwapatia Namba ya Utambulisho na Kitambulisho cha

Kitaifa cha Taifa kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwezi Machi, 2017.

Aidha, hatua inayofuata ni kufanya uhakiki wa taarifa za watumishi wote wa Umma kwa kutumia

taarifa za NIDA zilizoingizwa kwenye Mfumo wa HCMIS. Ili kufanikisha zoezi hili uhakiki wa

watumishi litaanza kuanzia tarehe 16 Juni, 2017 kwa watumishi walio Mikoani watahakikiwa katika Wilaya mliopo chini yaWakurugenzi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa ambako zoezi hili litafanyika.

Aidha, ili kufanikisha zoezi hili kila mtumishi anapaswa na kutakiwa kuwa na nyaraka zifuatazo

wakati wa uhakiki;-

a) Kitambulisho cha kazi chenye picha ya mtumishi husika,

b) Hati ya malipo ya mshahara (Salary slip) na,

c) Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Utambulisho wa Taifa

Nimatumaini yangu kwamba mtashiriki na kusimamia ipasavyo utekelezaji eze

kukamilika katika muda uliopangwa.
Niliposema sirudi kufanya kazi Tanzania nilikataa ujinga kama huu.
 
Niunganishie na mie huko ulipo nije kufanya kazi huko hata kama sio "shughuli halali" nitafanya tu na mie nipumzike kuhakikiwa:D:p
 
Kwanza kabisa mimi sijui lolote kuhusu habari za shughuli zisizo halali.

Kupata kazi si tabu. Tabu kupata status ya kuweza kupata kazi.

Una kisomo gani na uzoefu gani?
 
Elimu yangu ni darasa la saba, kazi yangu ni mhudumu wa ofisi upande wa kuwaandalia maofisa chai na vitafunwa
 
Habarini wanaJF!

Tutatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:
1. Kitambulisho cha NIDA
2. Kitambulisho cha kazi
3. Salary slip

Imechosha sasa, si kwa uhakiki huo!!!:(:(:(

kuajiriwa ni sawa na utumwa, inabd ukubali maelekezo ya mwajiri ili mradi tu yasikiuke sheria, kama hutaki JIAJIRI
 
Huyu mzee amalize tu muda wake aende.

Hii yote ni ili wapate sababu za kutokutoa ajira mpya.

Hii ni serikali ya vituko.

Back
Top Bottom