Ofisi ya NIDA wilaya Temeke mjitafakari mnakwamisha zoezi la kupata kitambulisho kwa tamaa zenu za kutaka rushwa

SAMFA

Member
Mar 5, 2023
10
18
Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha.

Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu ndo wamepewa jukumu la kuandikisha , kukagua fomu na hata kusimamia zoezi la upigaji picha, hali hii imepelekea usimamizi mbaya wa zoezi la picha.

Watu ni wengi lakina wanashindwa kuwaongoza na kupiga picha, licha kukaa foleni Kila siku lakin ikifika saa nane foleni unavunjwa wanasema muda wa kazi umeisha rudini nyumbani ukija tena siku ya pili Hali ni ile ile.

Ila Cha kuchangaza foleni imekuwa mtaji wa kupata pesa kwa wasimamizi wa nida temeke, ili usikae foleni unatakiwa utoe elfu 30, ukishatoa askari anakupitisha moja kwa moja mpaka chumba Cha picha.

Inaonekana huu mchezo wa kutoa elfu 30 ofisi umeridhia, yaani kama hauna pesa Kila siku utaenda na kurudi hufanikiwi kupiga picha.

Maafisa wa nida mnalipwa mshahara mnashindwa nini kusimamia zoezi hili kwa umakini. Mnakwama wap? Kwa Nini mnampa askari majukumu ambayo hatakiwa kufanya.
 
Huko Dar sijui kuna nini yaani wanajidai sana. Kuna ndugu zangu wawili kwa maeneo mawili tofauti yaani wamesumbuliwa mpaka basi kufuatilia hiyo namba ya nida.

Mmoja aliambiwa akalete hadi kadi ya baba yake anawaambia baba yake kafariki aisee maneno aliyoambiwa..! Watu wa daslam wanajiona kama wao ndo wana hakimiliki na hii nchi.

Mimi ni mwalimu yaani akija mtoto kutoka daslam au akitoka mtoto kwenda daslam aisee uhamisho huo lazima uwe na usumbufu tu kwa mzazi! Mara nyingine eti mtumishi mwenzangu anataka kunipanga hata mimi basi huwa nabaki najiuliza tu hawa jamaa wanatuchukuliaje!?
 
Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha. Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu ndo wamepewa jukumu la kuandikisha , kukagua fomu na hata kusimamia zoezi la upigaji picha , hali hii imepelekea usimamizi mbaya wa zoezi la picha. Watu ni wengi lakina wanashindwa kuwaongoza na kupiga picha, licha kukaa foleni Kila siku lakin ikifika saa nane foleni unavunjwa wanasema muda wa kazi umeisha rudini nyumbani ukija tena siku ya pili Hali ni ile ile. Ila Cha kuchangaza foleni imekuwa mtaji wa kupata pesa kwa wasimamizi wa nida temeke, ili usikae foleni unatakiwa utoe elfu 30, ukishatoa askari anakupitisha moja kwa moja mpaka chumba Cha picha. Inaonekana huu mchezo wa kutoa elfu 30 ofisi umeridhia, yaani kama hauna pesa Kila siku utaenda na kurudi hufanikiwi kupiga picha. Maafisa wa nida mnalipwa mshahara mnashindwa nini kusimamia zoezi hili kwa umakini. Mnakwama wap? Kwa Nini mnampa askari majukumu ambayo hatakiwa kufanya.
NAKAZIA INAFAA MAMLAKA HUSIKA IINGILIE KATI
 
Pole sana kaka ukitaka kuepuka foleni wahi asubuhi sana kingine wakiendelea mchezo wao wa elfu 30 toa taarifa sehemu husika watapewa Haki Yao stahiki
 
Ukitongoza mwanamke huku unampa hela ili awahi kukukubalia hio sio rushwa hela inakuwa imetumika kama catalyst,
nawapongeza wanawake ambao wanakula hela na mzigo hawatoi.

Hao maaskari wakila hela na picha haupigi inakuwa sio rushwa.
Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha. Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu ndo wamepewa jukumu la kuandikisha , kukagua fomu na hata kusimamia zoezi la upigaji picha , hali hii imepelekea usimamizi mbaya wa zoezi la picha. Watu ni wengi lakina wanashindwa kuwaongoza na kupiga picha, licha kukaa foleni Kila siku lakin ikifika saa nane foleni unavunjwa wanasema muda wa kazi umeisha rudini nyumbani ukija tena siku ya pili Hali ni ile ile. Ila Cha kuchangaza foleni imekuwa mtaji wa kupata pesa kwa wasimamizi wa nida temeke, ili usikae foleni unatakiwa utoe elfu 30, ukishatoa askari anakupitisha moja kwa moja mpaka chumba Cha picha. Inaonekana huu mchezo wa kutoa elfu 30 ofisi umeridhia, yaani kama hauna pesa Kila siku utaenda na kurudi hufanikiwi kupiga picha. Maafisa wa nida mnalipwa mshahara mnashindwa nini kusimamia zoezi hili kwa umakini. Mnakwama wap? Kwa Nini mnampa askari majukumu ambayo hatakiwa kufanya.
 
Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha. Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu ndo wamepewa jukumu la kuandikisha , kukagua fomu na hata kusimamia zoezi la upigaji picha , hali hii imepelekea usimamizi mbaya wa zoezi la picha. Watu ni wengi lakina wanashindwa kuwaongoza na kupiga picha, licha kukaa foleni Kila siku lakin ikifika saa nane foleni unavunjwa wanasema muda wa kazi umeisha rudini nyumbani ukija tena siku ya pili Hali ni ile ile. Ila Cha kuchangaza foleni imekuwa mtaji wa kupata pesa kwa wasimamizi wa nida temeke, ili usikae foleni unatakiwa utoe elfu 30, ukishatoa askari anakupitisha moja kwa moja mpaka chumba Cha picha. Inaonekana huu mchezo wa kutoa elfu 30 ofisi umeridhia, yaani kama hauna pesa Kila siku utaenda na kurudi hufanikiwi kupiga picha. Maafisa wa nida mnalipwa mshahara mnashindwa nini kusimamia zoezi hili kwa umakini. Mnakwama wap? Kwa Nini mnampa askari majukumu ambayo hatakiwa kufanya.
njoo tarime , au mikoa ya bara, hatushobokei hizo issue
 
Back
Top Bottom