Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari

Ngoja niandae pocornna soda mapemaa ili tarehe 23 nisipate shida wakati wa kuangalia movie inayotarajiwa kuanza(sijui ni series! itakuwa season three).


Another silly season.
 
Insanity is doing the same thing again and again while expecting different result.
 
hii nchi kama ufisadi mpaka hawa madoctor ni mafisadi wa kupindukia,kabla ya miaka tisa nyuma nilikuwa nashuhudia watoaji huduma kwa wagonjwa wakiacha kazi serikalini wakihamia kwenye hospitali za binafsi kisa maslahi,baada ya kuingia jk mjengoni sekta ya afya kaiboresha kiasi alichoweza,nikashuhudia makundi ya hawa hawa waliozihama hospitali za serikali wakirudi wakidai sasa maslahi ni bomba,binadamu walivyo wepesi wa kusahau wapi walikuwa!!!
jk ipo siku mjengoni atatoka tu,tunasubiri anaekuja aone mziki ulivyo mnene!!!

Inaonekana huishi Tanzania wewe. Kikwete kaboresha afya while watu hawapati hata kidonge cha kutuiza maumivu. Wamama wanajifungua wamesimama. Hospitali hazina vifaa. Hakuna miundombinu ya kuwafikisha wagonjwa katika mahospitali. Wamama wanakufa kwa kujifungua huko vijijini. Kweli Watanzania wengine ni kama mbuzi wanaopigiwa mziki sokoni wacheze. You are ine of them. This president is the most corrupt and the history will prove this point.
 
nchi kama hii ilikuwa inataka kiongozi kama saddam huseni kila mpinzani wake alikuwa kashamtaarishia kaburi la kumzika,mtu kama mh:jk yupo powa powa kwa wote,lazma mumuone dhaifu!!!hata kama anawajali!!
Sioni mahali kikwete kamjali mtu. Nafikiri anaijali familia yake na marafiki zake aliowaweka kwenye uongozi ambao most of them hawawezi kitu. Unakusanya wamama sijui wangapi eti viti maalum. Hivyo viti maalum vinasaidia nini katika nchi maskini kama Tanzania? Yaani hata idara ya afya ambayo ni muhimu imemshinda kabisa. Migomo kibao rais wa watu kuchekacheka tu huku taif alinaangamia. Kinachoniuma zaidi anapita kama wembe lakini hakuna hata anachojifunza kwa hao anaoenda kuwaomba ubwabwa kila siku.
 
Jamani nyie viongozi kuweni na huruma!!Milioni kumi tu kwenda kulala Bungeni,halafu Doctor kumuongezea ni issue?
Hivi mtu akishaingia Mjengoni anafuta memory card yake?
 
Hivi hizo mamlaka zingine kama TRA na BANDARI pia BENKI KUU hao ni wamarekani au WATU MUHIMU SANA KULIKO MADAKTARI???? wacha wagome... Serikali yako imegoma hata kupunguza kodi kwa mfanyakazi na mshahara kiduchu.. Uchumi wenyewe mnasimamia kipuuzi ... Unasubiri aondoke au atatue??? Akili zile zile kama za PUNGA KUPUNGIWA, unamsubiri aondoke wakati tumemchagua atusaidie kutatua matatizo!!! Atatue siyo tusubiri aondoke... Shida ni kwamba mmeweka siasa mbele bila kutafuta hela,mikakati ya kuingiza kipato na kuzuia RUSHWA KWA NGUVU.. DHAIFU ANAPALILIA RUSHWA KWA WATU WAKE DUUUUH
 
Wizara ipewe waziri Mtanganyika, huyu hana hata binamu wa shangazi wa babu kutoka kwa yule bibi mwingine, so hataguswa na msiba wowote.
 
attachment.php
 
Madaktari hongereni hakuna kurudi nyuma, hiyo vita ninyi ni waanzilishi tu lakini tulisubiru sana sababu ya kuanzia. Nadhani wanakoelekea ni sawa kuchezea sharubu za simba aliyelala wakitaka kujaribu kama anauma au la! Kama mnaendelea kudanganyana kwenye vikao vyenu vya bunge huko au nec basi yatawatokea puani na hizo posho zenu mlizo ahidiwa zitawatokea puani, muda si mrefu. Na hao wanausalama wenu uchwara wanawadanganya siku ipo atakae wajibika atajiju, hamjifunzi kwa mubarak...................
 
waziri wa afya hussen mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance nk), mengine yatatatuliwa(eg.green card,immunization) na mengine hayawezi kutatuliwa(eg. Mshahara wa 3.5m,mikopo magari,risk and house allowance nk).
Kwa kuwa jumuiya za madaktari zimeshaanza kutoa matamko kutokubaliana na serikali kwa hiyo hatua inayofuata ni kupimana ubavu kisheria,kisiasa na kiharakati.
Source: Tbc1news
hiyo vita uliyotangaza itakula kwako, udaktari sio siasa ni taaluma tena hadimu, acheni udhaifu wenu katika maswala nyeti!!!! Nyie mnajilipa mamilioni kwani unadhani hatujui kazi -kupiga mdomo, kulala na kuondoka. Hilo halitakubalika na huo ni mwanzo, yapo mengi yanafuata tulikuwa tunasubiri wa kulianzisha sasa tumepata.
 
Sioni mahali kikwete kamjali mtu. Nafikiri anaijali familia yake na marafiki zake aliowaweka kwenye uongozi ambao most of them hawawezi kitu. Unakusanya wamama sijui wangapi eti viti maalum. Hivyo viti maalum vinasaidia nini katika nchi maskini kama Tanzania? Yaani hata idara ya afya ambayo ni muhimu imemshinda kabisa. Migomo kibao rais wa watu kuchekacheka tu huku taif alinaangamia. Kinachoniuma zaidi anapita kama wembe lakini hakuna hata anachojifunza kwa hao anaoenda kuwaomba ubwabwa kila siku.

Hapo kwenye nyekundu: wanasaidia kuongeza mipasho bungeni na kuwapa urahisi kuenda gheto kumuona bosi bila mashali mengi! Yaani hawa ccm ni vilaza wa kufa mtu! Hawako makini, ukikaa uwasikilize mipango yao unaweza kufa kwa hazira! Kwa bahati nimekuwa nakutana na kuchat nao mara kwa mara ki-ushikaji! Ni matabishi!
 
Waziri wa Afya Hussen Mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance nk), mengine yatatatuliwa(eg.Green card,Immunization) na mengine hayawezi kutatuliwa(eg. mshahara wa 3.5M,mikopo magari,risk and house allowance nk).
Kwa kuwa jumuiya za madaktari zimeshaanza kutoa matamko kutokubaliana na serikali kwa hiyo hatua inayofuata ni kupimana ubavu kisheria,kisiasa na kiharakati.
SOURCE: TBC1News

Jamaa huyu nae ni kilaza mwingine tena, hajifunzi eeh ya 2005 alipokuwa naibu waziri?! Tumechoka kwend hospitali afu tunaambiwa x-ray imekufa, maji yamekatika, kanunue dawa duka la madawa nje ya hospitali wakati tuna bima! nk!
 
hivi maskini watz watatetewa na malaika?
kundi lolote likijaribu kusema ukweli linashambuliwa sana, watoa huduma ya afya ndio wanaolaumiwa pasipo kuwezeshwa. tuwaonee huruma watanzania maskini!
 
madaktari fanyeni mgomo usio na kikomo maana hiyo ndio njia ya kujikomboa nyiny na vizazi vyenu na wale watanzania ambao wanakosa huduma nzuri mahospitalini,wananchi tunawaunga mkono. Solidarity forever
 
Mimi naona hawa madaktari madai yao yote ni ya msingi serikali inatakiwa kuwasikiliza na kuwapa wanachotaka kwa nini mbunge analipwa milioni kumi kwa mwezi na daktari anayedai huduma za hospitalini ziboreshwe anaonekana msaliti? Kumbukeni hawa madaktari wanatibu asilimia kubwa ya watu wa hali chini, hawa viongozi wetu hawatibiwi hapa nchini ndio maana hawana uchungu na huduma mbovu zinatolewa kwenye hizi hospitali za serikali kutokana na ukosefu wa vitendea kazi.Hii serikali ni ya ajabu sana inaleta siasa kwenye mambo ya uhai wa binadamu.
 
Back
Top Bottom