tumejaribu, tumeshindwa, tujipange upya.
Haya ni mafunzo ya kipuuzi sijapata kuona.
mtu anatarajia kusomea IT unaenda kumfundisha kulima kwa jembe la mkono
Hv kumbe na huko walikuwa wanalipia ada? Mi nilijua ni bure.
nchi haina visions....hawana malengo endelevu..watu wanaokaa na kuandaa developments strategy wanatazama chini ya miguu yao na sio mbele....
Hawezi kupredict kinachotokea 5 to come....
wanatoa ushauri wenye mawazo finyu ambayo mtu anakurupuka na wazo lake...tulete mradi , tuanzishe hili.....hakuna vision kabsaa.....
Ni Sawa Sawa na kumvalisha mtoto chupi hadi magotini afu wakati huo huo unamvalisha sketi....
kazi ipo hapa.....
Hv kumbe na huko walikuwa wanalipia ada? Mi nilijua ni bure.
utajidhalilisha bure kama hujui kitu nyamaza. Kwa kukumbusha hebu safirisha ubongo wako mpaka ugiriki.Huyu sijui anazungumzia serikali gani tangu lini serikali ikafirisika?
Serikali imesitisha mafunzo ya JKT kwa mwaka huu. Kwa hiyo wale vijana waliokua wanategemea kuanza mafunzo hayo mwezi wa pili mwaka huu,mafunzo hayo hayatakuwepo tena.
Sababu ya kusitisha mafunzo hayo ni ukata unaoikabili serikali,serikali haina hela kwa ajili ya mafunzo hayo
Chanzo: Gazeti la Jamhuri.
walikuwa wanafanya mambo ya ajabu sana mtu mnahangaisha kwenda JKT halafu akitoka huko eti unamwambia Amekosa mkopo!! Sasa hiyo hela unayopotezea JKT Si ungeongezea Loan Board???
mkuu ccm imeharibu mfumo mzima wa jkt na polisiWakati nikiwa mtoto nilitamani sana kuwa mwanajeshi, polisi au jeshi la magereza.
nilianza kufanya mazoezi yakutosha nikiwa na miaka 12 na nilipofikisha miaka 17 nilipata kituo cha mfunzo ya gumi pamoja na mazoezi yakunyanyua vitu vizito lengo langu kubwa ni kwenda jeshi.
nilipofika umri wakenda jkt nilisota bila mafanikio kitu kilichonifanya niweze kujikita katika shughuli za ufungaji na kilimo wakati huo niko kijana mwenye nguvu za ajabu.
kwa sasa hata kwa bunduki siwezi kwenda polisi, jeshini n.k