QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
Wakuu, hivi ni kweli kabisa yamesitishwa?
SOMA hapa.
Wakuu, hivi ni kweli kabisa yamesitishwa?
wewe ndio uache kusema vitu bila reason.kina watu wanaishi maisha magumu huku chuo .hawana mikopo.na wengine wanamikopo nusu bado hawawezi kujilipia.sasa yaanini serijaliifanye allocation JKT wakati haohao wanafunzi wakitoka jkt wanapata shida chuo?ni bora hizo hela zitumike kuwapa mikopo wanafunzi.pia jkt kwa sasa tumekurupuka.maana matatizo y kielimu bado ni makubwa .na uzalendo ni jukumu la mmojaa.mbona wazee wetu walikaa jkt mwaka mzima lakino hao ndio mafisadi wengi wao.
jenga taifa lenye elimu kwanza.ifuatiww na kuimarisha sasa /jkt.
SOMA hapa.
wewe ni gaidi umetumwa si bure.
Acha upumbavu wako wewe. Barua gani haina hata sahihi ya mkuu wa jeshi hilo!
Acha upumbavu wako wewe. Barua gani haina hata sahihi ya mkuu wa jeshi hilo!
a fool is wise in his eyes.ujinga wa pili huo