Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

Ni mtu mwoga na mjinga pekee ndiye asiyependa mafunzo ya JKT. wale wote waliochangia kuunga mkono kuwa yafutwe hakika wameonyesha ujinga uliobobea. Wakati vijana wengi wanatamani kwenda huko na wana ari ya kuendelea kubaki huko ninyi mnakuja na uzi wa kutaka mafunzo yasitishwe....:confused3::confused3::confused3:
 
Ni kwa wasio jitambua tu ndiyo hawaoni umuhimu wa haya mafunzo
 
Nchi hii haina vipaumbele. Tunaenda kwa kudra ya Mungu tu.
 
Ni mtu mwoga na mjinga pekee ndiye asiyependa mafunzo ya JKT. wale wote waliochangia kuunga mkono kuwa yafutwe hakika wameonyesha ujinga uliobobea. Wakati vijana wengi wanatamani kwenda huko na wana ari ya kuendelea kubaki huko ninyi mnakuja na uzi wa kutaka mafunzo yasitishwe....:confused3::confused3::confused3:

Ni kwa wasio jitambua tu ndiyo hawaoni umuhimu wa haya mafunzo ya jkt
 
mm naona wangesitisha hata miaka 5 mbona wanajeshi ni wengi sana harafu hawana kazi kazi yao ni kuvuta bangi na kunywa pombe na kupiga watu bila sababu za msingi
 
Watu twataka nchi iendelee kiuchumi, mambo ya kypeleka watu jeshini tiwaachie wapiganaji
 
Kama ni kweli yamefutwa, nitaamini kweli serikali yetu ifanya vitu kwa kukurupuka, haina mipango endelevu hata siku moja. ndio maana hana kwenye mambo muhimu kama mitihani inakurupuka, kifupi watendaji hawajielewi.
 
Kuwapa vijana mafunzo ya kijeshi halafu baadae wanazurura tu mitaani bila ajira wala ela ni hatari sana, ni sawa na kutengeneza bomu la kujitoa muhanga.
 
Ushenzi unaofanyika huko sitaki hata siku moja kusikia mwanangu au mdogo wangu wa kike aende huko.
 
Serikali imesitisha mafunzo ya JKT kwa mwaka huu. Kwa hiyo wale vijana waliokua wanategemea kuanza mafunzo hayo mwezi wa pili mwaka,mafunzo hayo hayatakuwepo tena.

Sababu ya kusitisha mafunzo hayo ni ukata unaoikabili serikali,serikali haina hela.

MAONI YANGU. Mafunzo haya ya JKT yapigwe marufuku kabisa na yafutwe maana hayana faida yoyote wala tija katikaTaifa hili. Binafsi natamani serikali ifilisike kabisa ili isiweze kufadhili mafunzo hata tena.

Chanzo: Gazeti la Jamhuri.

Wengi tulikuja kuipenda JKT miaka kadhaa baada ya kumaliza!
 
Hahahaha daah afadhali sisi wengine tulishapita huko jeshini hahaha......
 
Pesa yote peleka kwenye kampeni ya uchaguzi 2015. Wafadhili endeleeni na msimamo wenu wa kutotoa pesa zenu mpaka kieleweke.

Back
Top Bottom