Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

Body massage zote tu zifungiwe ni UJINGA huo inawezekana kuishi bila massage kabisa ina haiwezekani kuishi bila NENO LA MUNGU, ukiishi bila neno la Mungu ndio huko massage na kwenye madanguro utaenda mwisho utaishia katika lile ziwa la MOTO na ibilisi Mheshimiwa Dkt Gwajima D fungieni vyote kuokoa roho za watu kwenda kuzimu litakuwa jambo la kumtukuza sana Mungu
 
Nchi nyingi zilizoendelea ukiondoa za kiarabu sijawahi kuona serikali zinashughulika na miili ya raia wao kuangalia mavazi sijui ngono nk, unapanda bus city metro yaani kama mwendokasi hapa kwetu unakuta watu wanakulana denda mwanzo wa safari mpaka kituo wanakoshukia na abiria wengine hawana time nao kila mmoja anamind business zake!

Tanzania hiki mnachoitaga mmomonyoko wa maadili si katika mavazi na ngono tu jikite kwenye mmomonyoko unaoleta athari kubwa katika jamii kama vile ufisadi madawa ya kulevya wizi wa rasirimali za nchi rushwa magendo na mengine kama haya.

Hao wanaokwenda kwenye hizo massage au sijui hayo madanguro ndio wale waliodhulumiwa haki msingi na viongozi mafisadi wa serikali hii wanakwenda kule kujikimu kimaisha si ajabu ukakuta hata wasomi wetu wanapatikana huko. Dorothy umefunga na umewapiga faini je wale waliokuwa wanategemea hapo kujikimu umewafanyia utaratibu wowote wa kuendelea kujikimu kimaisha? Au utanijibu waende wakafanye kazi zingine bila kuonesha zitapatikana vipi?
 
Hayo mengine yanahusu mamlaka na wizara zingine, watembelee kwenye page zao uwahoji
 
Kunakua na haja Gani sasa yakua na sheria ?
Sheria nyingine ni zakindezi sana, wako watu wazima wawili tu ndani ya saloon na wamekubaliana jambo lao shida ni nn!?
Hiyo sheria hapa inamlinda nani?
Dhidi ya nani?!
 
Tatizo walitangaza tangazo la kiboya mtandaoni , wote tunajua massage parlors ni low-key brothels wamechek loophole kwa sheria zetu wakapita nayo, sasa mafala yanajisahau sana yanaweka matangazo Yao kidanguro mitandaoni na Kuna watu wameajiliwa kudili na watu wa ivi what do you expect rasta?
 
Back
Top Bottom