Una maanisha nini? Nitajie ni wafanyakazi gani wa serikali wamelipwa mishahara hadi leo tarehe 2. Tuanze na vyuo vya elimu ya juu, ukiondoa IFM ambayo imelipa kutoka OC nitajie chuo kingine kilicholipa mishahara. Tuje walimu wa msingi na sekondari, wafanyakazi wa mawizara, nitajie ni akina nani wamelipwa mishaharaHoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Wewe ndie ungepaswa kuthibitisha kuwa wafanyakazi wa serikali wamelipwa maana wafanyakazi wenyewe wanasema hawajalipwa wewe unasemaje ni hoja dhaifu?Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Mbugi unataka ushahidi gani?Mi hadi sasa sijapata mshahara!Hoja ni dhaifu sana kwani haina utafiti wa kutosha !!!!
Watu kama nyie mnakera sana.Huu ni ukweli kuwa mpaka leo tarehe 02/012014 hatujalipwa mshahara wa mwezi December na serikali iko kimya kabisa.
Mpaka habari hizi ziende kwenye media ndio serikali itashituka na kuona aibu.
Huwezi kuamini wafanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 2 hawajalipwa mishahara. Nimeombwa na rafiki zangu wawili kuwakopesha kwa vile mishahara haijatoka nikazungumza na jamaa yangu wa hazina anasema mishahara bado waliolipwa ni wajeshi na taasisi baadhi zimelipa kupitia OC. Huu ndio ukweli , kama serikali inashindwa kulipa mishahara kwa wakati tunarudi kama wakati wa Mwinyi mishahara tarehe 7. Kaserikali dhaifu! Vyama vya wafanyakazi vipo wapi au kazi yao kukusanya ada tu?
Mgimwa kafa kwa stress. Wewe kama waziri wa fedha ambaye uko dedicated, lazima utakufa kwa stress kwa kaserikali dhaifu kama haka. Dah, RIP.
Hii ni taarifa ya maono, sio ya kiuchunguzi tafadhali.asante kwa taarifa yako ya kiuchunguzi mkuu .