Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

Huu upotevu mkubwa wa fedha za umma kukarabati meli mbovu na ya kizamani kama hii! Pia ni upotevu wa ajabu kujenga daraja la Kigogo-Busisi, bilioni 700?!!! Si tungejenga kilometer 700 za lami safi kutoka Moshi hadi Bukoba?
hii ni ile meli mpya mv.Mwanza sio ile kukuu ya mv.Victoria.

nchi yetu hii upigaji ni kila sehemu tu,umeona juzi mabehewa ya mtumba yamenunuliwa kuzidi bei ya mabehewa mapya!.
 
Back
Top Bottom