Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

Serikali imetoa mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaonesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo tarehe 21/05/2014 watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama zilizotumika Kidato cha Nne 2014 zenye A, B+ C, D, E na F. Tofauti na miaka iliyopita E itamaanisha kufeli na siyo principal pass tena.

Kwa maelezo zaidi fungua hiyo link

http://www.online.necta.go.tz/BRN/MW...VYA_UFAULU.pdf
 
Vijana wajipange kujiimalisha zaidi hayo masuala yanawahusu sisi tushamalizana nayo kitambo.
 
Hivi huko siyo kuwachanganya vijana wetu kweli. Siku zote walikuwa wapi kutoa mwongozo mpaka wanasubiri mitihani imemalizika ndiyo mwongozo unatolewa?

Duuh, yaani wamekumbuka shuka wakati kumekucha!!! si mchezo kabisa.
 
Tangu KAWAMBWA Achagulie+kilaza JANISTER,Tanzania elimu ILISHAKUFA.JMK Umeua Elimu Yetu...!!
 
GPA ya 3.15 si sawa na 3.2 bali ni 3.1. Hawa naafisa waelimu wetu hawastahili kazi hio.
Pia wanadhalilisha taaluma, 3.6 haiwezi kuwa distinction...too low. Did they get distinction in their colleges or just passers! Pweyh
 
Back
Top Bottom