Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,822
Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi nje.

Shilole kasema mwanae anampeleka Canada akasome biashara ili aje amsaidie kuendesha ofisi zake kwa sababu ana mpango wa kufungua matawi mengine.

Shilole amesema kwenye kusomesha wakati anajitafuta ameshaweka hadi hati ya nyumba kwaajili ya watoto wake, Shilole amesema amejirisk vitu vingi sana katika kutafuta ada za watoto wake ikiwemo kuweka vitu rehani kama TV nk.

Shilole amesema katika kusomesha mama anaweza kujirisk hata yeye mwenyewe kwaajili ya mtoto.

Video kwa hisani ya Millard

Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi nje.

Canada tena kwani alipata hiyo DV.1 akiwa Canada aache ulimbukeni kwa haya matokeo ya mwendo kasi, japo hatumpangii pa kumpeleka.
 
Back
Top Bottom