luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,317
- 8,303
Unasumbuliwa na chuki na wivu,Jamaa si wameona fursa ya hela. Yaani Hawa jamaa wangeongoza nchi nadhani wangetuuza watanzania ujue. Ni Bora Marealle waingereza hawakumpatia Uhuru mpaka nyerere alivyoenda akapewa. Nadhani kwa pia ya low iq ya kuwaza kikabila. Watu wanawaza namna ya kuitawala dunia yeye anawaza Uhuru wa kabila lake pekee so wakamuona hamnazo kabisa. Usomi wa bure