StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,912
- 8,317
Watarudishia kiduchu 2030 kipindi cha uchaguziWALIMU tena na kidogo chao wanakitaka.... kwa kisingizio cha leseni
Watarudishia kiduchu 2030 kipindi cha uchaguziWALIMU tena na kidogo chao wanakitaka.... kwa kisingizio cha leseni
Ah wapi huko bwashee nichukue wanne nipige mathnambona hata sasa wanapatikana! Njaa kali hata ten unaopoa
Kwenye uchaguzi mlikua familia moja ila sasa ni zaidi ya watoto wa kamboWatarudishia kiduchu 2030 kipindi cha uchaguzi
Hizi fedha zote watazipeleka wapi maana litakuwa ni zoezi jipya kwa nchi nzima ,nadhani labda wangesikiliza maoni ya wadau mbalimbali ili waweze kupata maoni na ushauri zoezi hili kwa mtazamo wangu wangelifanya kwa intakes mpya za ajiraWako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu.
Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila mshahara kuongezeka ni wizi.
Anyways, WASIMAMIZI WA CHAGUZI ZA KITAPELI ZA CCM MMEFIKIWA😀
Hujaweka loanboard...kazi wanayo..Kwa mshahara upi? CWT nao wanachukua 2% kila mwezi. Bado kuna payee, bima, pssf, Bayport, Fanikiwa, Platinum, NMB, CRDB, na takataka nyingine! Hali itakuwa ni tete.
WALIMU tena na kidogo chao wanakitaka.... kwa kisingizio cha leseni
😂😂😂ni umasikini totally kwa walimu, mshahara wa laki tano, laki nne ukatwekatwe utabaki kiasi gani cha kuishi wiki nne? Labda walimu wa vijijini wenye mashamba yao watalima na kula shambani. Hawa wa mjini wataishi vipi na kamshahara kadogo kalichokatwakatwa? Itasababisha walimu wa kike wawe malaya, una ishirini yako unaopoa mwalimu wa kike kwenda kujipigia shoo, ishirini hatakataa, njaa kali na mshahara hautoshi
Mkuu,unanichukuliaje?. Mbona umenionea sana kuniweka kundi moja na UDHALIMU. Nitake radhi tafadhali. Msimamo wangu kuhusu uchaguzi wa nchi hii ni kama wa Pr.Assad. No reforms,no voting!Kwenye uchaguzi mlikua familia moja ila sasa ni zaidi ya watoto wa kambo
Ukitoa laki na ishirini tu unapewa mkuu,dalali mkuu ni mimiHayo mambo ya leseni yatasababisha upungufu mkubwa sana wa walimu hasa vijijini. Labda iwe rahisi kuipata hiyo leseni
daadeeeki!, hukutosheka na bandari zetu? Sasa umerukia kwenye leseni za ualimu, soon utaibukia na kwingine kunako fursa za upigajiUkitoa laki na ishirini tu unapewa mkuu,dalali mkuu ni mimi
Nafikiria kuanzisha tozo ya bodaboda na bajaji angalau laki moja kwa boda na laki 2 kwa bajaji kila mwaka ili wafanye shughuli zao bila bugudha.daadeeeki!, hukutosheka na bandari zetu? Sasa umerukia kwenye leseni za ualimu, soon utaibukia na kwingine kunako fursa za upigaji
Hawa mbwa watakuja Hadi kwa wakulima na wafugaji. Utahitaji leseni kulima na kufugia. Hawa mbwa tumewaendekeza, watatufuata Hadi chummbani.Inamaanisha bila leseni hautatakiwa kufundisha.
Sasa hapa ukileteana zengwe na mtu akikukomalia kwenye leseni umekwisha.
It's funny that taaluma yenye wahitimu wengi, ambao hata ajira zao hazitoki na hawawezi kujiajiri inawekewa leseni.
Nilifanya kazi na wachina wale jamaa wanaheshimu mno degree ya ualimu. Na walikua disappointed wakiona mwenye degree ya ualimu hana performance ya kuridhisha.
Leseni inafanyiwa mitiani haaahaa 😊Wako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu.
Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila mshahara kuongezeka ni wizi.
Anyways, WASIMAMIZI WA CHAGUZI ZA KITAPELI ZA CCM MMEFIKIWA😀
Na itakuwa renewable?Wako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu.
Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila mshahara kuongezeka ni wizi.
Anyways, WASIMAMIZI WA CHAGUZI ZA KITAPELI ZA CCM MMEFIKIWA😀
Hahhaaa, CCM ina wenyewe.Kwenye uchaguzi mlikua familia moja ila sasa ni zaidi ya watoto wa kambo