johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,150
Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
Bwashee jiandae kupokea salio!Tengeneza tatizo njoo litatue kwa Mbwebwe huu mchezo ni wa siku nyingi mbona
Mimi nimeshawahi kuingia kwenye Mechi mara moja tu na Ahmad Amasha akatupiga bao sijarudia sasa ni mtu wa Radio na RuningaBwashee jiandae kupokea salio!
Ahmed Amasha aliwahi kumvunja mguu Yusuph Ambwene wa CDA Dodoma.Mimi nimeshawahi kuingia kwenye Mechi mara moja tu na Ahmad Amasha akatupiga bao sijarudia sasa ni mtu wa Radio na Runinga
Upuuzi tatizo walitengeneze wenyewe halafu mna jisifu??Serikali ya CCM kupitia waziri wa Habari mh Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
Source: ITV habari!
Alikuwa mtoto mbaya yuleAhmed Amasha aliwahi kumvunja mguu Yusuph Ambwene wa CDA Dodoma.
Amasha alilia uwanjani baada ya tukio lile!
Beki niliyekuwa namuheshimu Godwin Aswile sijui yuko wapi ule mwambaAhmed Amasha aliwahi kumvunja mguu Yusuph Ambwene wa CDA Dodoma.
Amasha alilia uwanjani baada ya tukio lile!
Yuko Tukuyu analima maparachichi!Beki niliyekuwa namuheshimu Godwin Aswile sijui yuko wapi ule mwamba
ScaniaBeki niliyekuwa namuheshimu Godwin Aswile sijui yuko wapi ule mwamba
Yaani huyo ndio wale kati ya mabeki ngangari,waliowahi kucheza Yanga aiseee...Beki niliyekuwa namuheshimu Godwin Aswile sijui yuko wapi ule mwamba
Tukuyu Stars sitawasau walikuwa hawaangalii sura😁😁😂Scania
Banyambala! Alipokufa mfadhiri wao KAKA nao ndiyo ikawa mwisho wao!Tukuyu Stars sitawasau walikuwa hawaangalii sura😁😁😂
Alitokea Tukuyu Stars akaenda Yanga Afrika halafu ndio akatua Simba Sports nadhani zilikuwa ni juhudi za kipekee za Azim DewjiYaani huyo ndio wale kati ya mabeki ngangari,waliowahi kucheza Yanga aiseee...