Amejitaidi kufuatilia lakini mpe Cheo huko tume ya ajira, anaweza piga pia.Uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa sana, ni nini kolikuingia mpaka ukachunguza yote haya? With that brain you can be anything....
Amejitaidi kufuatilia lakini mpe Cheo huko tume ya ajira, anaweza piga pia.Uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa sana, ni nini kolikuingia mpaka ukachunguza yote haya? With that brain you can be anything....
Maybe kweli mtandao ulikuwa wasumbua.Naomba nichangie kama ifuatavyo......
1.Katika mfumo wa uombaji wa hizi ajira hakukuwa na uwezekano wa kufuta akaunti ya kuombea ajira mara baada ya kuifungua.
2.hakukuwa na uwezekano wa kudelete attachment kama vyeti vya sekondari au taaluma iwapo mtumaji anahisi ametuma kwa makosa.
3.mtandao ulikuwa unasumbua sana sana tena zaidi ya sana wakati wa kuomba isipokuwa siku chache kabla ya deadline kutimu.
Hivyo basi waombaji wengi walifungua akaunti zaidi ya moja huku wakiambatanisha document zilezile kwa sababu ya kuweka maombi yao kwa usawa zaidi,kumbuka kuwa hawakuwa na uwezo wa kufuta akaunt wala kufuta uploaded document.
Kubwa zaidi documents zilisumbua saaaaaana tena sana kuzi upload.watu wakatangaziana kufungua akaunt nyingine na zitakubali kisha zikakubali.
Wizara nao hawakuwa makini kwa upande wao wakati wa uchambuzi.
kweli mkuu...big upKwa hili waziri Jafo na watu wake wahusika 100%. Haiwezekani ukae na data muda mrefu namna ile uje na huu upuuzi. Kuna mtoto/ndugu wa Gerson Msigwa kamaliza kidato cha nne 1994(miaka ishirini na tano iliyopita). Lakini kaajiriwa wameacha kijana aliyena umri wa miaka 24-30 kwa manufaa ya taifa. Wao wanafuata maelezo kutoka juu(vimemo). Aibu hii ni ya Jaffo!!!
Sio kwamba wako sawa no, yaani kwamba ni makosa ya kibinadamu yaliojitokeza. Na c kwamba wamefanya makusudi ili wafaidi.
Na namba pia zikafanana eti !!!?Ila m nahis wanaweza wakawa wawili majina yanafanana
Amejitaidi kufuatilia lakini mpe Cheo huko tume ya ajira, anaweza piga pia.
Tobaa.Kuna jingine simon mashimba igonga , na wote ni kanda tukufu
Kwamba scolastica yupo female na male halafu ni makosa ayo eeh!!Dah haya bhana. Huo ni mtazamo wangu. But kila mtu ana perception yake. Ndio maana inakuwa ngumu kuamini kile mwingine anaamini.
Mmmmmmmmmmmmmm upigaji hauna ukandaTobaa.
Kuna watu wana vichwa VIGUMU hadi unashangaa ilikuaje Mungu akaumba watu wa namna hii?Na namba pia zikafanana eti !!!?
Ubongo wako upo slow sana..
Naunga mkono hojaKwa mamlaka ya JF, nakutunuku wewe ulieandika na hata usiyechunguza haya Mambo astashahada ya ufuatiliaji na uhabarishaji...