Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Jamaa nimekukubali sana jina linaendana na ulichokifanya [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Ngoja waje.
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170

5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO' na ni MALE lakini katika ajira ameandikwa FEMALE. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
 
mzee Baba umetisha hatari na nusu ndugu Yangu
 
Mkuu mchakato wa jaira serikali haupo kirahisi kama ambavyo unataka kusema,
Wizara mama wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) hufanya allocation ya walimu kulingana na mahitaji katika Council au shule husika sawa na mahitaji ya Ikama.

Suala la kuajiri ni la Council husika kwa maana ya Mkurugenzi mtendaji wa council husika, so Tamisemi hawaajiri anayeajiri ni Mkurugenzi mtendaji. katika hili nataka kusema kuwa ndugu mtoa uzi ume conclude as if walimu husika wameshaajiriwa jambo ambalo si kweli.

N kwa level ya council nakuhakikishia hakuna HR anayethubutu kuajiri mtumishi wenye vimelea vya hewahewa, kilichofanyika ni kuwa huenda ni makosa ya NECTA katika ku-analyze hayo matokeo lkn am sure mtu ni mmoja na si wawili kama ambayo unamanisha.
 
System iliyotumika ku-analyze hayo matokeo ni kimeo halafu unaweza kukuta walitumia fedha nyingi tu kuipata hiyo system; upigaji mwingine huu, unaofuatia ndiyo huo mnao ulalamikia hapa katika uzi huu.
Kwa maana hiyo, upigaji hapo utakuwa umefanyika kwenye maeneo mawili.
 
Don't stoop too low! Yaani hata kosa la uchapishaji ni kuajiri mara mbili. Wale wenye hiyo nia hawafanyi hivyo. Ni wajanja kuliko unavyofikiria. Na mtu yeyote anayedhani huo ni ushahidi wa ufisadi inabidi ajitathimini mwenyewe. Hakuna mwenye akili mbovu mwenye nia ufisadi atafanya hivyo. Naona sasa tunakosa cha kuchangia!
Usijifanye kenge wewe, umesoma hiyo analysis? Kosa la uchapishaji jina linarudiwa mara mbili kumaliza miaka tofauti? Au kuwa na namba moja 0 na nyingine o, course mbili tofauti, ficha ujinga basi hata kama unashindwa.
 
Mkuu mchakato wa jaira serikali haupo kirahisi kama ambavyo unataka kusema,
Wizara mama wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) hufanya allocation ya walimu kulingana na mahitaji katika Council au shule husika sawa na mahitaji ya Ikama.

Suala la kuajiri ni la Council husika kwa maana ya Mkurugenzi mtendaji wa council husika, so Tamisemi hawaajiri anayeajiri ni Mkurugenzi mtendaji. katika hili nataka kusema kuwa ndugu mtoa uzi ume conclude as if walimu husika wameshaajiriwa jambo ambalo si kweli.

N kwa level ya council nakuhakikishia hakuna HR anayethubutu kuajiri mtumishi wenye vimelea vya hewahewa, kilichofanyika ni kuwa huenda ni makosa ya NECTA katika ku-analyze hayo matokeo lkn am sure mtu ni mmoja na si wawili kama ambayo unamanisha.

Mkuu Twilumba hicho ulichokisema juu ya namna TAMISEMI inavyoajiri ilikuwa ndio utaratibu uliokuwa umewekwa toka awamu ya tatu ya utawala kama sikosei.
Lakini mambo yamebadilika kuanzia mwaka jana.
Wakurugenzi wa Halmashauri si waajiri tena kama awali. Watumishi wapya wamendelea kuja na barua za kuripoti vituoni moja kwa moja toka huko juu (tofauti na awali ambapo mkurugenzi kupitia idara zake alikuwa na mamlaka ya kupangia mtumishi kituo chochote katika halmashauri yake kama anavyoona uhitaji). kwa sasa wanapofika wanatoa taarifa tu kwa mkuu wa idara (elimu sekondari/elimu msingi/utawala VEO's & WEO's kuwa yupo kazini na kufanya utaratibu wa kuingizwa kwenye pay roll tu.

Kama itaendelea hivi Mkurugenzi hatakuwa tena mwajiri kama ilivyozoeleka bali atakuwa kama kilanja mkuu tu wa shule asiyekuwa na mamlaka hata ya kumpa suspension mwanafunzi mwenzake mkorofi.

Na kwa taarifa yako idara nyingi za halmashauri kwa sasa zimeanza kurudishwa taratibu kwenda kuwa chini ya wizara husika. mfano:-
i) Ujenzi ikaundwa TARURA
ii) MAJI nayo imetehamishwa kwenda wizara husika
iii) Ardhi wako hatua za mwisho kukamilisha
iv) Zitakazofuata badae zitakuwa ni idara za mifugo na kilimo kuhamishwa.

TARATIBU NA KWA UHAKIKA LOCAL GOVERNMENT ZINAENDA KUSIMAMA KM SIYO KUSINYAA KABISA

Nawasilisha
 
Hii serikali ni ya kipumbavu sana na ni wapikaji wazuri wa taarifa. Sijawahi kuona serikali yenye akili za kiqumer kama ya awamu hii. Hivi uongo wote huu wanamdanganya nani? Shame upon them.
 
Skia wahuni wanaweza kujitokeza popote lakini ndio maana huwa wanafanya uhakiki, kwani kabla ya hapo mlikuwa mnajua kama kuna wafanyakazi hewa? Si Jpm aliliweka wazi hili? Tulieni hapo, hata humu jf kwenyewe nyie wasoma post kunawengine wezi tu, ila huwezi wajua, my point ni hii hiyo haina maana mbaya ila ni error inayoweza tokea popote
 
Hata kipindi kile waliajiri walimu hewa

Huu nao ni ufisadi mwingine ndani ya serikali ya Jiwe maana wanaingia kwenye Mfumo wa mishahara wa watumishi wa umma wakati ni majina hewa"

Au ni kudanganya watu kwamba tumeajiri walimu elf4 kumbe ukute ni elf 1 .......

Hii serikali ya kupika data ni shida.
Duh!!
 
Back
Top Bottom