Nini cha kushangaza hapo?
Kama lugha imekupiga chenga sema wanaojua wakusaidie, hata hivyo aliyeileta hii ange-summarise ili hata hakina ngumbalu kama huyu wakaambulia japo kidogo.
Quemu,
Japo Nairobi wanaweza kuwa na efficiency kubwa zaidi ya Dar lakini Tanzania kwa ujumla naamini iko nafuu kuliko Kenya kwenye huduma ya afya, hasa kama wewe sio tajiri sana.
.
Nini cha kushangaza hapo?
Hamna cha kushangaza NN. Ni kwamba tu, hii fomu inadhihirisha jinsi gani nhci yetu ilivyojaa na utitiri wa magonjwa ambayo pengine tungeweza kuyadhibiti kama tungekuwa na health care system mzuri. Au wewe unaonaje?
Njooni tu home..tupo Watz 41m tunaishi kwa amani na upendo!
Wala msiogope..wakenya wengi karibu na mpaka wa Tz na hata toka Mombasa pia huja KCMC kupata tiba kule..ni bora kuliko za kule kwao!
Quemu,
Watu wa West kama hawajui kuhusu nchi au jambo fulani basi wanafanya kama ndio hoi ile mbaya.
Japo Nairobi wanaweza kuwa na efficiency kubwa zaidi ya Dar lakini Tanzania kwa ujumla naamini iko nafuu kuliko Kenya kwenye huduma ya afya, hasa kama wewe sio tajiri sana.
Hayo ya Kyela, naona na wewe umeingia kwenye propaganda za watu bila hata kujitambua. Labda mpaka siku zikigeuziwa kwako ndio utajua nini maana ya JF na upotoshaji wake. Mafanikio mema kwenye harakati zako.
Tukirudi kwenye mada - hiyo efficiency ndiyo inawafanya wa west waone Kenya ni bora zaidi kwenye hicho kitengo. Kwani kwa comparison, mazingira ya Kenya yakoje kiusafi kulingana na Tanzania?
Oh yeah niko na wewe mia kwa mia. Na wala sio pengine tungeweza kuyadhibiti. Tunaweza kabisa kuyadhibiti lakini kwa sababu moja ama nyingine hatufanyi hivyo. Ni mambo ya kuweka vipaumbele tu.
Wiser words were never spoken!Unajua wengi wetu sisi tuko so hung up on what the west think of us. Really, who the hell cares what they think of us? Badala ya sisi kufanya mambo yenye tija kwetu sisi tuna mind wanatudhaniaje. Muhimu ni kuangamiza hayo magonjwa. Yanatuathiri sisi.
Unajua wengi wetu sisi tuko so hung up on what the west think of us. Really, who the hell cares what they think of us? Badala ya sisi kufanya mambo yenye tija kwetu sisi tuna mind wanatudhaniaje. Muhimu ni kuangamiza hayo magonjwa. Yanatuathiri sisi.
Na wamedhihirisha kwenye fomu hizi. Kama hali ingekuwa hivi, nadhani watanzania wengi tungekuwa tumeshakufa hivi sasaQuemu,
Watu wa West kama hawajui kuhusu nchi au jambo fulani basi wanafanya kama ndio hoi ile mbaya.
Wiser words were never spoken!
Kumbe kajamaa kako sharp! Sasa, NN, mbona hautaki tujue kuwa vitu unavipata?
Amandla..........