Serikali ya Sudani yavunjwa. Jeshi kuendesha nchi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,413
2,000
Rais wa Sudan Omar Al Bashir ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo. Pia ametangaza hali ya dharura kwa kipindi cha mwaka 1.

Akizungumza kutoka ikulu ya nchi hio kupitia televisheni ya taifa rais huyo alitangaza kuivunja serikali kuu na serikali 18 za majimbo.

Rais wa Sudan alisisitiza kwamba jeshi ndio litakalokuwa msimamizi wa masuala yote ya nchi na raia na kwamba maamuzi yatakayotolewa yeye pia atayafuata.

Bashir alitolea wito vyama vyote vya kisiasa, makundi ya kisilaha na vijana kwa ujumla wafanye mazungumzo.
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,840
2,000
Amekabidhi nchi kwa wenyewe au amwshawaseti?
Hapo ndo ma Luteni wanapotamanigi kuwa ma kanali. Inaweza ikatulia au ikachafuka zaidi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,666
2,000
Rais wa Sudan Omar Al Bashir ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo. Pia ametangaza hali ya dharura kwa kipindi cha mwaka 1.

Akizungumza kutoka ikulu ya nchi hio kupitia televisheni ya taifa rais huyo alitangaza kuivunja serikali kuu na serikali 18 za majimbo.

Rais wa Sudan alisisitiza kwamba jeshi ndio litakalokuwa msimamizi wa masuala yote ya nchi na raia na kwamba maamuzi yatakayotolewa yeye pia atayafuata.

Bashir alitolea wito vyama vyote vya kisiasa, makundi ya kisilaha na vijana kwa ujumla wafanye mazungumzo.
Kwa maana ingine ni kuwa Bashiri ameruhusu jeshi 'limpindue'!
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,548
2,000
Rais wa Sudan Omar Al Bashir ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo. Pia ametangaza hali ya dharura kwa kipindi cha mwaka 1.

Akizungumza kutoka ikulu ya nchi hio kupitia televisheni ya taifa rais huyo alitangaza kuivunja serikali kuu na serikali 18 za majimbo.

Rais wa Sudan alisisitiza kwamba jeshi ndio litakalokuwa msimamizi wa masuala yote ya nchi na raia na kwamba maamuzi yatakayotolewa yeye pia atayafuata.

Bashir alitolea wito vyama vyote vya kisiasa, makundi ya kisilaha na vijana kwa ujumla wafanye mazungumzo.
Mbona habari za Leo zinasema kateua prime minister?
 
einstein newton

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,967
2,000
"Africa inahitaji Revolution....naiita Black Panther's Revolution

Kwa kutumia nguvu kubwa ya Mitandao ya kijamii
Kwanza tunaanzisha social network ambayo itaunganisha vijana wote Afrika wenye uchungu na Bara letu...tunauita Afrigram, tunaanza kuwaondao Marais wote wenye elements za Kidikteta kwanzia huyo wa Sudan

Yule tall wa Rwanda,yule kiburi wa Burundi na mwisho tunamalizia na Huyu Mshamba wa Tanga na Nyika

Halafu tunaweka Raisi mmoja Afrika nzima atakaye fata Uongozi wa sheria na Demokrasia
Naam Mheshimiwa saaana Tundu Lisuu

Halafu Afrika nzima inakua na vyama viwili tu vya siasi na Jeshi moja

Kisha tunaibadili jina Afrika,tunaiita "United State of Wakanda"

Na kuanza kutengeneza technology yetu wenyewe chini ya Rais wetu kpnz Lisuu,mamaae"

Peter alisikika akisema baada ya kutazama kwa Mara ya Kwanza filamu ya "Black panther'
 
Interested Observer

JF-Expert Member
Mar 27, 2006
2,047
2,000
"Africa inahitaji Revolution....naiita Black Panther's Revolution
Kwa kutumia nguvu kubwa ya Mitandao ya kijamii
Kwanza tunaanzisha social network ambayo itaunganisha vijana wote Afrika wenye uchungu na Bara letu...tunauita Afrigram
,tunaanza kuwaondao Marais wote wenye elements za Kidikteta kwanzia huyo wa Sudan

Yule tall wa Rwanda,yule kiburi wa Burundi na mwisho tunamalizia na Huyu Mshamba wa Tanga na Nyika

Halafu tunaweka Raisi mmoja Afrika nzima atakaye fata Uongozi wa sheria na Demokrasia
Naam Mheshimiwa saaana Tundu Lisuu

Halafu Afrika nzima inakua na vyama viwili tu vya siasi na Jeshi moja

Kisha tunaibadili jina Afrika,tunaiita "United State of Wakanda"

Na kuanza kutengeneza technology yetu wenyewe chini ya Rais wetu kpnz Lisuu,mamaae"

Peter alisikika akisema baada ya kutazama kwa Mara ya Kwanza filamu ya "Black panther'
Unaanza na Africa? Anza na isimani kwanza ndiyo uje Tanzania, Africa kubwa mno.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom