Serikali ya Sudani yavunjwa. Jeshi kuendesha nchi

Walioomba kujiunga na jumuiya ya Afrika mashariki ni South Sudan sio hao wa Khartoum
Ingawa sijasikia kama Sudan na wao wameomba kuwa wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki, but Sudan ya kusini tayari ni mwanachama wa EAC muda mrefu sasa. Ninachojua ni Somalia ndo wameomba kujiunga na juzijuzi Congo DRC na wao wameonesha nia wakati rais wao alipotembelea Kenya.
 
"Africa inahitaji Revolution....naiita Black Panther's Revolution

Kwa kutumia nguvu kubwa ya Mitandao ya kijamii
Kwanza tunaanzisha social network ambayo itaunganisha vijana wote Afrika wenye uchungu na Bara letu...tunauita Afrigram, tunaanza kuwaondao Marais wote wenye elements za Kidikteta kwanzia huyo wa Sudan

Yule tall wa Rwanda,yule kiburi wa Burundi na mwisho tunamalizia na Huyu Mshamba wa Tanga na Nyika

Halafu tunaweka Raisi mmoja Afrika nzima atakaye fata Uongozi wa sheria na Demokrasia
Naam Mheshimiwa saaana Tundu Lisuu

Halafu Afrika nzima inakua na vyama viwili tu vya siasi na Jeshi moja

Kisha tunaibadili jina Afrika,tunaiita "United State of Wakanda"

Na kuanza kutengeneza technology yetu wenyewe chini ya Rais wetu kpnz Lisuu,mamaae"

Peter alisikika akisema baada ya kutazama kwa Mara ya Kwanza filamu ya "Black panther'
Hahaha --mshamba wawapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unayejiita Einstein siyo ushamba huo ni kitu gani? Mtu ambaye hoja yako ya msingi ni dharau kwa wengine kwa kuwaita washamba huwezi kujijengea heshima kwa wale ambao hujawaita washamba.
 
Sudan waliomba kujiunga kabla hata ya South Sudan wakakataliwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu baada ya utengano wa sudan na sudan kusini nchi iliyokua imara ni sudan na wakaomba kujiunga lakini ikaonekana kama kiutamaduni na kijamii na ukaribu wako mbali sana na wanajumuia wa afrika mashariki. Sudan kusini ilikubaliwa kwa sababu inafanana mambo mengi na nchi za afrika mashariki lakini pia kwa sababu ya ulinzi sababu sudani kusini haikuwa na nguvu baada ya kutengana na waarab wa sudan
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom