Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,495
- 9,275
Rais wa Sudan Omar Al Bashir ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo. Pia ametangaza hali ya dharura kwa kipindi cha mwaka 1.
Akizungumza kutoka ikulu ya nchi hio kupitia televisheni ya taifa rais huyo alitangaza kuivunja serikali kuu na serikali 18 za majimbo.
Rais wa Sudan alisisitiza kwamba jeshi ndio litakalokuwa msimamizi wa masuala yote ya nchi na raia na kwamba maamuzi yatakayotolewa yeye pia atayafuata.
Bashir alitolea wito vyama vyote vya kisiasa, makundi ya kisilaha na vijana kwa ujumla wafanye mazungumzo.