#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

JPM akiipata hiyo

" Nimesikia ndugu zangu waislamu mmewekewa masharti kwamba mwaka huu hauwezi kwenda kuhiji mpk uwe umechanjwa, Hao ndiyo viongozi wetu wa kiroho tulio nao leo yaani wanawazuia watu kisa ugonjwa, nilikuwa nachombeza na Mufti hapa kwani hatuwezi kujenga hiyo sehemu ya kuhiji kama ile ya Makka kule kisarawe kwa Mh Jafo ili na wao huko waje kuhiji hapa Tanzania kwa watani zangu wazaramo na fedha hizo zipo maana mambo mengine aah basi tu"
hii comment naichongea frame naiweka sebuleni waione mpaka vitukuu wangu.😆
 
Mkuu serikali ya saudia ni genge la wahuni,,waliojivika joho la uislam..

Hii serikali ya kifalme hakuna inchi yeyote ya kiislam inayokubaliana nayo zaidi ya mataifa ya magharibi..

Hill genge la wahuni la saudia limekuwa likifanya mambo kadhaa ya kinyume na haki za binadamu kwa Yemeni kwa miaka kadhaa.

--Mfano kuendelea kushambulia Yemen,, haswa kwenye makazi ya raia na kuua watu wasio na hatia.

Bila kujali Wanawake na watoto.

Tena ikipata baraka zote za marekani,, kwa kuwauzia silaha za technology ya hali ya juu,,saudia iendelee kuipiga Yemen na kuikandamiza.

-- kuweka kambi za kijeshi kwnye bandari kadhaa kwenye mpaka kuzuia watu wa haki za binadamu kupeleka misaada Yemen..

Mkuu ukiona kwa macho wanayofanya saudia kwa Yemen,,yanasikitisha sana.

Tena waislam wenzao,,

Dini inasema ndugu wa muislam ni muislam mwenzie,,

Huo udugu upo wapi hapo?

Pasi na shaka huu utawala wa saudia ni genge la wahuni lililojivika joho la waislam.

Ukijumlisha na mauaji ya KASHOGI..

Hawafai hata kidogo..

Wanachokifanya wao ni kufata amri za mabwana zao marekani.

Na kuweka sheria za Mungu pembeni.

Wametoa mambo mengi ya kiislam na kuweka utamaduni wa kimagharibi..

Saudia ile inayopambwa kwenye vitabu vitakatifu. ,,sio hii iliyopo Leo..

Chochote kinachoendelea saudia komepata baraka zote za mataifa ya magharibi..
Unabwabwaja tu na kutupigia kelele.

Hayo uliyotaja Yana uhusiano gani na Chanjo ya corona.

Ndio maana huwa mnafeli mitihani.
 
Huyu Zito Sijuhi kala maharage gani .

heti Watanzania wachanjwe kwani kasikia Watanzania wote ni Waislamu .
Hiyo kauli yake abadili asema Waislamu Ndo wachanjwe
Sisi wangeni hatutaki kuchanjwa.
Kubaini yupi kachanjwa na yupi ambaye hajachanjwa hapo ndo chip inabidi iingizwe kwenye mwili wa mtu

Irani Ana ugovi na Saudi Arabia naamini hii Ndo fursa ya Saudi Arabia kumdhiti Irani. Irani ataki chanjo za nchi za magharibi, Saudi Arabia kuna chanjo moja ataiteu kutoka nchi za magharibi itumike kwa watu wote wanaotaka kwenda Hijja.
Kazi ipo hapo
Heti
Eti

Sijuhi
Sijui

Kama lugha yako ya kiswahili inakushinda utaweza kunyambua masuala mazito kama haya. Rudi shule kajifunze lugha yako.
 
Unabwabwaja tu na kutupigia kelele.

Hayo uliyotaja Yana uhusiano gani na Chanjo ya corona.

Ndio maana huwa mnafeli mitihani.
Yanahusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu wa saudia.

Hawana uislam kitu..

Watalazimishaje mambo ya chanjo ambayo bado yamekuwa ni sintomfahamu ktk baadhi ya inchi ..

Kama unaona nakuumiza vaa chupi yako nenda..
Warembo wako wengi..
 
Isijekuwa pamoja na sharti la chanjo, watakuwa na kile kipimo maarufu cha kupima virusi vinavyosababisha huo ugonjwa kilichogunduliwa hivi karibuni kule China! Hii chanjo Kuna watu watakuwa na vyeti bandia tu. Shurti wapimwe!
 
JPM akiipata hiyo

" Nimesikia ndugu zangu waislamu mmewekewa masharti kwamba mwaka huu hauwezi kwenda kuhiji mpk uwe umechanjwa, Hao ndiyo viongozi wetu wa kiroho tulio nao leo yaani wanawazuia watu kisa ugonjwa, nilikuwa nachombeza na Mufti hapa kwani hatuwezi kujenga hiyo sehemu ya kuhiji kama ile ya Makka kule kisarawe kwa Mh Jafo ili na wao huko waje kuhiji hapa Tanzania kwa watani zangu wazaramo na fedha hizo zipo maana mambo mengine aah basi tu"
Hahaha mkuu mpaka nimehisi we ndo Magufuli mwenyewe nimecheka Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM akiipata hiyo

" Nimesikia ndugu zangu waislamu mmewekewa masharti kwamba mwaka huu hauwezi kwenda kuhiji mpk uwe umechanjwa, Hao ndiyo viongozi wetu wa kiroho tulio nao leo yaani wanawazuia watu kisa ugonjwa, nilikuwa nachombeza na Mufti hapa kwani hatuwezi kujenga hiyo sehemu ya kuhiji kama ile ya Makka kule kisarawe kwa Mh Jafo ili na wao huko waje kuhiji hapa Tanzania kwa watani zangu wazaramo na fedha hizo zipo maana mambo mengine aah basi tu"

masheik wanapiga makofi pwaaa pwaaaa pwaaaaaaaaaaaaa
 
Mahojaji wote lazima kuchanja chanjo ya covid 19 kabla kuruhusiwa Saudi Arabia
Saudi Arabia: Vaccine mandatory for Hajj

Saudi Arabia's health ministry has ruled that only people who have been vaccinated will be allowed to attend the Hajj this year, Saudi newspaper Okaz reported.

"The Covid-19 vaccine is mandatory for those willing to come to the Hajj and will be one of the main conditions (for receiving a permit to come)," the report said, citing a circular signed by the health minister.
Dah.. kwa hiyo hii issue ya chanjo sasa inageuka kuwa suala la dini. Jiwe kazi anayo🙄
 
Yanahusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu wa saudia.

Hawana uislam kitu..

Watalazimishaje mambo ya chanjo ambayo bado yamekuwa ni sintomfahamu ktk baadhi ya inchi ..

Kama unaona nakuumiza vaa chupi yako nenda..
Warembo wako wengi..
Saudi ni nchi kama nchi zingine wewe poyoyo Ina taratibu na miongozo yake
 
... kwa mtazamo wako wa kidini uko sahihi ila Mungu hana dini.
Bahati mbaya hakuna maelezo ya aina moja kuzungumzia Mungu,maelezo kuhusu Mungu hutofautiana sasa kama Mungu hana dini basi kila kinachoelezwa kuhusu Mungu kinakuwa sahihi.
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe.

Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu.

Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee kukupa kibali cha kutumika katika nafasi nyeti uliyo nayo. Ama sivyo utakuwa umeuweka rehani utumishi wako ndani ya dini ya Mungu.

Hii taarifa ya kuihakiki, ngoja niingie chimbo nikautafute ukweli juu ya hii taarifa.
 
Back
Top Bottom