#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

Kila la Mtu ana uono wake mtazamo na maamuzi yake kulingana na utashi wake
Si sawa kulazimisha au kutaka serikari kua na mtizamo sawa na wengine wafanyavyo.
Issue ya Corona sio ya kukurupukia tu na kubugia chanjo kama tuonavyo.
Nashauri kuwepo na utulivu na utaratibu rafiki juu ya maamuzi yeyote ya hiyo chanjo.
N.b chanjo kwangu siafikiani nayo. Kufa nitakufa wakati wangu ukifika iwe Nina chanjo au sina. Nimechagua kutokua na chanjo
Wanaoitaka hiyo chanjo unaweza kuwakataza?
 
Mkuu njoo kwenye harakati zetu wa ukombozi wa fikra. Sisi habari za dini tulichaachana nazo. Maana dini zililetwa ili kutugawa na kututawala. Sisi ni waumini wa uafrika wetu, na upendo kwa ndugu zetu wote, sio kisa wa dini moja ndio umpende, halfu wa dini nyingine umtenge.

Sisi ni pan afrika. Tunafurahia maisha, hatumaind tena majina ya waarabu wala wazungu. Tumeamua kuish kwa upendo na mshikamano

Jidanganye tu, subiri umauti ukufike ndio utaongea vizuri huo u-pan afrika wako sijui mama yake afrika utajua mwenyewe

ان الدين عند الله الإسلام
The Religion with Allah is Islam

Allah said,

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللّهِ الإِسْلاَمُ ...

Truly, the religion with Allah is Islam.

وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ 85

And whoever desires other than Islam as religion - never will it be accepted from him, and he, in the Hereafter, will be among the losers.
 
Wazee wa kukaza fuvu
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
kwahiyo Washia ni wapagani
Soma kitabu cha 'All_
Wazee wa kukaza fuvu kwahiyo Washia ni wapagani

Soma kitabu hiki 'Al-Khutoot Al-'Areedah ' wameeleza vyema jinsi gani mashia wapo nje katika misingi ya Uislam
 
Jidanganye tu, subiri umauti ukufike ndio utaongea vizuri huo u-pan afrika wako sijui mama yake afrika utajua mwenyewe

ان الدين عند الله الإسلام
The Religion with Allah is Islam

Allah said,

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللّهِ الإِسْلاَمُ ...

Truly, the religion with Allah is Islam.

وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ 85

And whoever desires other than Islam as religion - never will it be accepted from him, and he, in the Hereafter, will be among the losers.
Mkuu mie sinaga na huo ujinga wa dini. We endelea nao tu. Ila siku ukija kujua kuwa dini zote zimeundiwa vatican ndio utaelewa vizuri.

Sasa iv we anza kujifunza kwann dini zilikuja??
Je waliokufa bila dini wao wataenda wap??
Je jehanamu ipo??
Je Mungu gani atahukumu watu kwa kuwa hawajafuata dini fulani??
Je Mungu aliumba dini??
Kwann hakuleta mapema hadi waarabu walipoanza kuja afrika??

Je Mungu ni katili kiasi hicho cha kuwachoma wakristo wote na kuwapa pepo waisalam wote?? Au kinyume chake.

Mungu yupi unayemuamini??
Maswali ni mengi ndugu ila cha kukusaidia anza kujifunza mambo magumu bila kuweka kizuizi cha dini yako.

Mungu hana dini, na wala hakuumba dini. We endelea kufanya mema, na kuachana na matendo ya shirki

Wasaalam!
 
Mkuu ni vp watu waliweza kujua kuna Mungu Mungu? Na walipataje taarifa zenye kuhusu Mungu?
 
Mungu ni uweza. By default kuna ibada ndani ya nafsi zetu. Huhitaji kuambiwa Mungu yupo.
Kile unachoamini kinakusaidia ndio uweza au uungu. Ndio màaana wapo wanaoabudu ng"ombe.
Mawe, milima, mavazi, miti, maji,jua, mwezi nyota n.k

Fanya jambo rahisi kujua kuwa ni ueza. Nenda mazingira ya vijijini ambapo hakuna makanisa wala misikiti. Uliza watu kama wanamjua Mungu au wanaabudu Mungu.

Utashangaa kila mmoja anamjua Mungu wake. Ukimuuliza nani alimfundisha atakwambia Mungu yupo.

So Mungu kwenye uumbaji alituwekea utiifu na uabudu ndani yetu huhitaj kufundishwa. Yaani ipo by default km simu au vifaa vya kieletronics na built in programme.

So vile unavyomfikiria Mungu, ndio ametaka umfikirie hivyo.

Mfano ukimfikiria kama Mungu ni Mungu wa vita, basi wewe utamuona Mungu ni jemedari wako. Ukimfikiria kama kwako ni baba yako, au muumbaji wako, basi utamuabudu km vile ulivyopata ufahamu.

So Mungu yupo, Mungu ni ule uweza, so wanaoabudu milima maana yake wanaabudu ule uweza uliofanya milima.
N.k
N.k
N.k

So achana na Mungu wa kiarabu ama wakizungu. Mwabudu Mungu aliyendani yako vile unavyomchukulia.
 
Sasa wewe ukisema kwamna Mungu ni uweza kwamba chochote unachoamini kinakusaidia ndio Mungu,tambua kuna wengine wanasema hakuna Mungu ila binaadamu ana nguvu ndani yake za kuweza kufanya maajabu hivyo hizo nguvu si Uungu kama unavyosema wewe.

Sasa hapo nani anasema kweli?
 
Mimi sipo hapa kusema nani yupo sawa au nani hayupo sawa. Haya niliyosema ni mafunuo yangu, lakini pia kusoma mambo magumu yaliyofichwa.

Niliwahi kumpa changamoto mtu aliyesema Mungu hayupo, kwa kigezo cha bing bang theory of creation.
Nikamjibu, huoni ile nguvu iliyofanya hiyo chemical reaxion pamoja na explosion ndio nguvu ya Mungu au uungu wenyewe. Hapo akasema hana majibu.

Mie nilijibu kutokana na hoja yako.
Mie naamin Mungu yupo. Wale wanaoamin Mungu hayupo nadhani kwa swali hili la sasa ungewauliza wao.

Ukija kwenye hoja ya kila kitu unachoamini ni Mungu. Mie nitajibu kuwa wahindu kumuabudu ng',ombe sio wajinga, kama majibu wasingeyapata wangeacha kuabudu ng'ombe.
Ndugu zangu wanaoabudu mizimu, kama mizimu isingewasaidia basi wangeacha.

Hoja yangu mimi ni kuwa Mungu ni uweza. Ukiomba jambo fulani kwa imani yako, kwa Kuwa Mungu yupo kila sehemu na kila mahali, jambo hilo utapata majibu. Sio jiwe au pori lililokupa jibu bali ni ule uweza wa Mungu uliondani ya kila kitu.
 
Nimekuuliza hivyo kutokana na wewe kumuelezea huyo Mungu kama ni kitu chenye kuhusu maombi tu,kwamba umesema kile unachokiamini na kukiomba ndio Uungu hivyo ndio Mungu. Ndio maana unasema wahindu wanaoabudu na kuomba Ng'ombe basi huyo ndio Mungu.

Kwahiyo utaona hapo wewe ulichokuwa unajadili ni ile hali ya kuomba na kujibiwa hivyo kile unachoamini kinajibu maombi ndio umesema ndio ni Mungu. Kwahiyo point yangu haikuwa kuzungumzia kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu bali nilikuwa naeleza ya kwamba huo uweza ambao wewe unauhusisha au unaamini ni Mungu ni kwamba wengine wao wanasema hizo ni nguvu tu ambazo kila binaadamu anazo ndani yake hivyo hata hawa viongozi wa dini tunaowaona wakitenda miujiza ni kwamba wanatumia hizo nguvu.
 
Back
Top Bottom