Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

kwa hiyo hata hao majambazi wanaoiba kila siku dar ni kutoka nchi jirani tu?hwao wanarusha mabomu na kumwagia watu tindikali ni wahamiaji haramu? Hivi waliowaua wale wafanyabishara wa mahenge walikuwa ni wahamiaji haramu? Na vipi polisi, magereza na jwtz wanaokamatwa na nyara za serikali?

mpotoshaji mkubwa wewe
 
Mimi nahisi kama Rais Kikwete ametumia emotions zaidi katika hili swala,ugomvi wake na Kagame usiwatese wanyarwanda,hao wahamiaji haramu hawakuja baada ya yeye kukwaruzana na Kagame

mkuu unaposema ugomvi "wake" na kagame kwani wamechukuliana wake?? kama emotions basi kikwete angejibu matusi aliyo tukanwa, lakini hajafanya hivyo..Kiongozi gani wa nchi aliwahi kumwambia kiongozi wa nchi nyingine anamsubiria wakati muafaka ampige? kitu gani kikwete alichoongea ambacho ni personal kati yake na kagame?
 
Nakubaliana na Hilo mia mia.
Lakini hayo ya Kikwete hayatufanyi kufumbia macho usalama wa Nchi yetu pamoja na Raisi kama Taasisis Japo ni Dhaifu.

Ukweli ni kwamba WATUSI wana Agenda zao na tusipo zipinga leo huko mbele watakuja kutushinda na usije kushangaa wakija kuiteka Kagera na miji mingine ya karibu na kwao kama wanavyofanya leo huko COnGO.


Hakuna tishio lolote mkuu kwa wanyanrwanda au warundi kutishia amani yetu.

Kikwete na mawaziri wake siku zote huzusha/huzua/hukuza mambo kwa malengo ya kutuchanganya hususani wanapoelemewa.

Suala la kagame kumshupalia kikwete linatokana na kikwete kutaka kujifanya mwerevu na mshauri bora kimataifa lakini hizo hekima hapa kwake hazioneshi wala kuzizingatia.

Mkuu naamini kwa dhati ya moyo wangu, suala la rwanda limekuzwa kimkakati na hakuana tishio lolote kwa amani ya tafa la Tanzania.
 
watanzania waliopo rwanda si wamefuata taratibu ndo wakaingia.....hapa hakuna cha kuongea wao waende tu kwao bwana kwani huko kwao kumekuwaje??? si wananchi yao?? watuachie nchi yetu...
 
mkuu unaposema ugomvi "wake" na kagame kwani wamechukuliana wake?? kama emotions basi kikwete angejibu matusi aliyo tukanwa, lakini hajafanya hivyo..Kiongozi gani wa nchi aliwahi kumwambia kiongozi wa nchi nyingine anamsubiria wakati muafaka ampige? kitu gani kikwete alichoongea ambacho ni personal kati yake na kagame?


Matusi haimanishi kile tu kitokacho mdomoni, matendo pia yaweza kumaanisha udharirishaji.

Kwanini awafukuze wanyarwanda? wamemkosea nini? Tangu enzi za hayati Mwl Nyerere hatujawahi fanya unyama kama huu.
 
Khaa!! huyu waziri vipi?? Hakuna Mrwanda aliyefukuzwa Tanzania!! Ila Tanzania inawarejesha nyumbani wahamiaji haramu. Labda atuambie kuwa Watanzania tunakaribishwa Rwanda na tunapewa ruhusa ya kuingia kama bar tu bila kufuata taratibu zozote :bored:

mkuuu hata baa yenyewe lazima uhudumiwe na kaunter au bar maid/bar man
 
watanzania waliopo rwanda si wamefuata taratibu ndo wakaingia.....hapa hakuna cha kuongea wao waende tu kwao bwana kwani huko kwao kumekuwaje??? si wananchi yao?? watuachie nchi yetu...


Are you sure? don't judge the book by its cover

Una ushaidi wowote kuthibitisha kwamba watanzania wote waliopo kongo, kenya, zambia ,nk wapo kihalali!
 
huyo waziri anasema hivyo kwasababu hakuna mtz anayeishi rwd kinyume cha sheria,wote wameingia rwanda kwa documents kupia kwenye official border post, kuhusu wahamiaji haramu wanaotimuliwa tz, just imagine kundi la wamasai na mifugo yao kutoka tz liingie rwd na silaha nzito na kuanza ku terrorise wanavijiji huyo waziri angechukua hatua gani!!!kuhusu eac ndiyo tz ni member lakini kuna limits, watz hatutaki federation na hatutaki free visa ya movement kama hiyo waliokubaliana ug,rwd na kenya
 
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania. Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k (DW Kiswahili.)

Huyu waziri anachekesha. Kwani wakati watu wao wanaingia kiharamu Tz serikali yao ilikaa na viongozi wa Tanzania wakakubaliana watu hao wataingiaje Tz?
 
ushahidi upo ndio maana hawajafukuzwa,,na kama wapo si wawafukuze nchi yetu ni kubwa na nina imani hapo walipo waliacha nyumba na familia zao zipo so wapo tu waje home kama hawatakiwi kama tulivyowakataa hao wanyarwanda na majambazi wanaoteka mabasi hapo burigi
 
msimamo ni mzuri,kagame amefundwa na nchi amepewa kutoka hapa, kama anadhani amekomaa aachane na bongo,na akijifanya jeuri atachapwa kwani rwanda ni kama mkoa 1 wa Tz
 
inasikitisha kwa ujumla, maana ukiwaona ni majonzi mtakubwa. Any way hatuna jinsi, ila cku zote maskin hana haki

Haki hipi wewe unayo itaka zaidi ya kurudi kwenu?!... Kwani kurudi kwenu ni adhabu?!.... Kwanini mnatakataka huruma tuuuu upande wenu lakini nyinyi hamuna huruma kwa wenzenu!!!... Nyie watu vipi?????????!
 
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.

Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.

Pointi kivipi weweee, hawa ni wahamiaji haramu. Lazima waondoke, wametenda kinyume cha sheria.
 
artorius; Hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza Mtanzania aliyeko Rwanda anasema wanaishi vema na Wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana Watanzania kwani wanawaona ni watu wema.Je, mapendekezo ya Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame kukutana na Rais wa Tanzania Mhe.Dr.Kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?

Lakini hili la mazungumzo halikuonekana kabla ya matusi? Busara inapokosekana madhara yake ni makubwa. Naona hakuna haja ya mazungumzo bali maisha yaendelee tu iwapo Tanzania wameshasema hawana ugomvi na Rwanda na Rwanda nayo imeshasema hivyo. Bila shaka suwala la uvunjifu wa sheria lisiwepo na litaondowa suala la uhamiaji haramu!
 
artorius; Hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza Mtanzania aliyeko Rwanda anasema wanaishi vema na Wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana Watanzania kwani wanawaona ni watu wema.Je, mapendekezo ya Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame kukutana na Rais wa Tanzania Mhe.Dr.Kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?

Wewe unalako jambo si bure!!!,.. Wamekulipa kiasi gani ili uwafanyie hizi kampeni zenu za kualalisha uovu wenu??!.... Usitake kupotosha Umma hapa, kwani wewe hujui kuwa hili ni zoezi la wahamiaji haramu tu??!.... Aliokwambia kwamba hata wale wenye vibali vya kuishi nchini wanafukuzwa ni nani Muongo mtozeni wewe!!!!?. Hizi kampeni zenu zinasukumwa na rusha zilezile ambazo Mtikila alisema, mnapokea fungu la kuonga wakubwa ili mlindwe uwepo wenu nchini. Hii ni kampeni chafu za kulinda Uovu wa uvunjifu wa sheria.
 
Last edited by a moderator:
Majukumu waliyonayo baadhi ya watu kutoka Rwanda walio nchini ni ya muda mrefu.......kuna watu wapo......huku wakijifanya ni wenzetu.....wengine tumesoma nao.......na hata kuoleana.......wanachokitafuta wanakifahamu.......na nchi yetu imekuwa na hawa watu (sio Rwanda pekee bali hata nchi nyingine Jirani) kwa wingi sana sana.........wengine wanajitahidi kupoteza focus ya kile tunachokiona ni manufaa kwa taifa letu...........eti tufumbie upuuzi/tatizo la wahamiaji haramu kwa kuwa tuna matatizo ya ndani......acheni ujinga......

....hii akili ya kusema etu tatueni matatizo ya ndani halafu achaneni na wageni haramu sijui inatoka SAYARI gani........kuna watu humu ndani (JF) hii issue/kauli ya JK wanaikejeli eti kwa kuwa JK ameshindwa kufuatilia na kutatua issue za ndani ya nchi........sasa sijui nani ni afadhali kati ya JK na hao watu.........Yaani mnataka tutatue matatizo ya ndani na tuache kushughulikia wahamiaji haramu ili waendelee kujipenyeza eeh!!......no more free lunch!.....matatizo yetu tutaendelea kupambana nayo wakati huo huo tutajitahidi kuhakikisha sheria za nchi hii zinalindwa......
 
Kifarutz; Hapo sikuungi mkono Mkuu, unadai ungekuwa na mamlaka ungewafungia kwenye concentration camp/chamber na kuwachoma moto kisa wahamiaji haramu waliokimbia vita ambao Rais wao umetofautiana nae, vipi kuhusu nduguzo wanaokamatwa na mafurushi ya madawa ya kulevya karibia kila leo katika nchi mbalimbali?
Tatizo hivi vijamaa vya pua ndefu vibaguzi sana..! Siungi mkono ubaguzi lakini PK alichomfanyia JK ni zaidi ya ubaguzi. Kuhusu hapo kwenye red, subiri kwanza kidogo..!
 
just like Jewish au Jews??????
au una maanisha mayahudi???
au waisrael?????
Ndugu hizi sio zama za yule mjerumani aliyewaua wayahud zaid ya mamilion dawa ya watusi maana Rwanda ina watwa , wahutu na watusi ila tabia za watusi ni sawa na za wayahudi sema yule mnazi wa kijerumani hayupo zama hizi!
Hivi ni nini tofauti kati ya Jewish, Jews & Mayahudi? Hawa jamaa wa pua ndefu wabaguzi sana, l real hate them
 
Back
Top Bottom