Yes unawaza kama mimi over.Kikwete amesema raia wanaoishi kinyume cha sheria waondoke. Hii kwa nchi nyingi tu inafanyika na si ajabu. Mi nashauri pia kwa Rwanda kama kuna mtanzania anaishi kinyume na sheria pia afukuzwe na arudi Tanzania!
Yes unawaza kama mimi over.Kikwete amesema raia wanaoishi kinyume cha sheria waondoke. Hii kwa nchi nyingi tu inafanyika na si ajabu. Mi nashauri pia kwa Rwanda kama kuna mtanzania anaishi kinyume na sheria pia afukuzwe na arudi Tanzania!
Hapa naona mnataka kuchanganya mambo. Hakuna kiongozi wa Tanzania aliyetangaza kuwafukuza Wanyarwanda. JK ametangaza kuwafukuza wahamiaji wasio halali wote, wawe wa kutoka Rwanda, Uganda, Burundi au Ufaransa. Hiyo imetokana na msukumo kwamba matukio mengi ya ujambazi na utekaji wa mabasi unaotumia silaha umekuwa ukifanywa kwa kiasi kikubwa na wahamiaji wasio rasmi, directly wenyewe au indirectly kwa kuwahusisha au kuwawezesha kwa silaha majambazi wenzao wa Kitanzania, na hilo halipingiki (ulizeni watu waliowahi kutekwa maeneo ya huko Biharamulo, watawaambia lafudhi za majambazi hao). Kuthibitisha kuwa hawamo nchini kwa njia halali, majambazi hao wamepiga kambi maporini. Sasa ukiwafukuza kuna kosa hapo? Kwa nini uwalinganishe majambazi hao na watanzania wanaofanya shughuli zao kihalali huko Rwanda? Hakuna mlinganyo hapo, kama kuna majambazi wa Kitanzania huko Rwanda, nao wafukuzwe tu!... Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.
Mkuu rudi tu kwenu rwanda hakuna namna hatutaki wageni haramu siye.Kweli una delusions mkuu tena of jealous. Kubalini jk alijichanganya tu.
hapa ni kufukuza wageni wote hata waganda hila kwa waganda wa kiziba ni ngumu mno kwani sura zao kama za watz
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.
Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.
Hiyo ni adhabu tosha kwa Kikwete na wapambe wake. Watajiona wao ni wakosaji na wana visasi kwa wasio na hatia
Ni Upumbavu kama Serikali ya Nchi X, inawafukuza Raia wahamiaji wa Kutoka Nchini Y , eti Kisa Rais wa Nchi Y amemtukana Rais wa Nchi X.
Hapo ulipoandika Kagame ungebadilisha uweke jina la Kikwete. Mwenye kukosa hekima anajulikana.
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.
Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.
Mkuu .......Kwani wanaofukuzwa si ni wahamiaji haramu mkuu?, wale walioingia nvhini na kujipa hdahi ya uraia wa Tanzania bila kufuata taratibu......Kinachofanyika hapa ni upotoshaji mkubwa maana wahamiaji haramu wanaolengwa si Wanyarwanda pekee, kuna Warundi, wakongomani na waganda.....Wote wameanza kurudi makwao.......Ni Upumbavu kama Serikali ya Nchi X, inawafukuza Raia wahamiaji wa Kutoka Nchini Y , eti Kisa Rais wa Nchi Y amemtukana Rais wa Nchi X.
Wanapaswa kuelewa kuwa wanaofukuzwa ni wale HARAMU na siyo kinyume chake, wanyaru wanaoishi kihalali hawafukuzwi! Kama kuna Watz wanaoishi Rwanda kiharamu basi wafukuzwe tu ila siyo kawaida ya Watz kufanya hivyo, kwamba waishi nchi za wenzetu hasa hizi jirani bila vibali?