Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

yani hao watu... Hadi mwili umenisisimka kwa hofu juu ya mustakabali wa nchi yangu!

wamewekwa mahususi kwa ajili ya ku genarate na ku divert pesa za hazina kwenda ccm. Ukija ktk katiba mpya unamkuta migiro, unaitwa uteuzi mkakati wa kichama we kalagha baho.
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa msiri wangu wa ndani ya Ikulu jijini Dar es Salaam anasema, serikali ya Rais Jakaya Kikwete tayari imefilisika. Haina fedha ya kuendeshea shughuli zake.

Aliyekuwa waziri wa fedha,Late William Mgimwa alinukuliwa akiwaambia Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB), kwenye mikutano ya mwaka ya WB na IMF iliyofanyika mjini Washington DC kuanzia tarehe 7 hadi 15 Oktoba 2013.

Waziri Mgimwa alisema, serikali imezidisha ukomo wa kukopa ndani wa Sh. 484 bilioni ambayo ndiyo iliyoruhusiwa kwa mujibu wa makubaliano na mashirika hayo na kulazimika kukopa nje ya makubaliano kiasi cha Sh. 1, 244.7 bilioni kutoka kwa wafanyabiashara wa ndani.

Kwa mujibu wa msiri wangu, hali hii imeifanya serikali kuwa na wakati mgumu mbele ya mashirika ya kimataifa na kwa wafanyabiashara wa ndani. Deni la taifa sasa limefikia kiasi cha Sh.22 trioni (mwaka 2013) ambayo sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.

mkuu kuongezea tu wahisani wanasitisha kuipa serikali pesa wakishinikiza uwajibikaji wa serikali kwa watu waliovuja pesa kupitia epa na miradi mingine hawazidhishwi na hatua ambazo serikali imechukua vikao ikulu,fedha,takukuru na dpp haviishi.
Donor community walichohamua kwasasa ni kupeleka pesa moja kwamoja kwenye miradi na watasimamia wenyewe kupitia taasisi kama trade mark east africa na baadhi ya ngos.hili ni pigo kwa serikali coz hizi pesa zilikuwa zinapitia kwenye mfuko wa serikali na wao ndo walikuwa wanasimamia hiyo miradi
 
inabidi hotuba ya rais mwisho wa mwezi.....iweke bayana hii hali....na pia azungumzie mikakati ya kututoa kwenye hili janga.......damn......yaani nasita kuamini kuwa nchi yangu imefilisika!!......

wapi, aache kuzungumzia majengo ya davos, shopping mall, mualiko wa nigeria, jamaa checkbob
 
Ni aibu sana kwa nchi yenye rasilmali za thamani na adimu kama ilivyo Tanzania kuwa katika state tuliyonayo. I always ask myself why should these things be happening to Tz, huwa muda mwingine nashiwishika kufikiria hii ni laana.
Inashangaza sana taifa kuwa ktk hali mbaya namna hii lakini watu wanajadili mambo kwa mitazamo ya vyama. Tulipofikia kwa nchi zingine hii ni state of emergency kabisa na serikali inabidi ioneshe hatua za kiuwajibikaji.
 
magari ya serikali yanayowaendesha watendaji wake wakuu, wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi yameamriwa yarudishwe serikalini, kwani serikali haina tena fedha za kununulia mafuta.

Twende kazi

Achilia mbali magari kurudishwa. hata makaratasi ya shilingi 50,plain paper hakuna kwenye taasisi za serikali, likinunuliwa rim moja wanagombania wizara nzima kila sekretari kama vile gari ya mbagala. ni aibu tupu,watendaji wanakaa tu hawana cha kufanya vitu vingi vimekwama pesa haziingizwi.
 
Kikwete kakausha nchi, anachota pesa ovyo kufanya miradi ya familia yake

Tuna serikali kibao: serikali kuu, serikali ccm, serikali Familia ya Kikwete, na zote mahitaji ya pesa yako juu.

Pesa ikitoka TRA inachotwa kwanza, mabaki ndo yanapelekwa hazina. Akiondoka lazima naye asimame mahakamani kama Mkapa, familia yake itueleze imetoa wapi pesa za biashara hizo na kama kweli TRA ina record ya ulipaji kodi hizo.
 
Nchi kudaiwa jambo la kawaida unadhani nchi kama kuendesha disco.

Umeulizwa swali, toa jibu. Au nawe namba ni tatizo kama mkuu wa nchi.

Haya, hebu rudia sawali hili 27trilion/40million=?

kama huwezi rudia darasa la tano, achana na kupoteza muda wako hapa JF.
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa msiri wangu wa ndani ya Ikulu jijini Dar es Salaam anasema, serikali ya Rais Jakaya Kikwete tayari imefilisika. Haina fedha ya kuendeshea shughuli zake.

Aliyekuwa waziri wa fedha,Late William Mgimwa alinukuliwa akiwaambia Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB), kwenye mikutano ya mwaka ya WB na IMF iliyofanyika mjini Washington DC kuanzia tarehe 7 hadi 15 Oktoba 2013.

Waziri Mgimwa alisema, serikali imezidisha ukomo wa kukopa ndani wa Sh. 484 bilioni ambayo ndiyo iliyoruhusiwa kwa mujibu wa makubaliano na mashirika hayo na kulazimika kukopa nje ya makubaliano kiasi cha Sh. 1, 244.7 bilioni kutoka kwa wafanyabiashara wa ndani.

Kwa mujibu wa msiri wangu, hali hii imeifanya serikali kuwa na wakati mgumu mbele ya mashirika ya kimataifa na kwa wafanyabiashara wa ndani. Deni la taifa sasa limefikia kiasi cha Sh.22 trioni (mwaka 2013) ambayo sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.

Nikusahihishe kidogo deni la Taifa kwa sasa ni trioni 27
 
Achilia mbali magari kurudishwa. hata makaratasi ya shilingi 50,plain paper hakuna kwenye taasisi za serikali, likinunuliwa rim moja wanagombania wizara nzima kila sekretari kama vile gari ya mbagala. ni aibu tupu,watendaji wanakaa tu hawana cha kufanya vitu vingi vimekwama pesa haziingizwi.

Kuwa Mtendaji, hasa Mtendaji mkubwa kwenye serikali ya Mheshimiwa Kikwete sasa hivi, watoto wa mjini wanaita Majanga. Nia aibu, dharau, na kebehi ya hali ya juu.

Ndio maana wengine tuko dissapointed na CDM na state ya upinzani Nchini, wale mahayawani hawajui muda wa kupanga stratergy zao na muda wa kuweka chumvi kwenye kidonda.Am sure CCM is extremelly happy with this distraction they call OPD or whatever that is. This was supposed to be the time they sway the Civil servants electorate. yet they waste their tim going to places where ZITTO had influence to try calm down things. Hao waendesha bodaboda, are already a known quantity as far as politics is concerned. They should align their attacks on Civil servants and their families who are know anyone's bet, and CCM is most vulnerable to these votes now.
 
Kiingli chako mbona hujaeleweka sawa sawa!! uko kinyumenyume sana!!
 
Ndio taabu ya kuwa na raisi sangoma.

Hana reasoning yoyote zaidi ya kuamini ushirikina.
 
Kuwa Mtendaji, hasa Mtendaji mkubwa kwenye serikali ya Mheshimiwa Kikwete sasa hivi, watoto wa mjini wanaita Majanga. Nia aibu, dharau, na kebehi ya hali ya juu.

Ndio maana wengine tuko dissapointed na CDM na state ya upinzani Nchini, wale mahayawani hawajui muda wa kupanga stratergy zao na muda wa kuweka chumvi kwenye kidonda.Am sure CCM is extremelly happy with this distraction they call OPD or whatever that is. This was supposed to be the time they sway the Civil servants electorate. yet they waste their tim going to places where ZITTO had influence to try calm down things. Hao waendesha bodaboda, are already a known quantity as far as politics is concerned. They should align their attacks on Civil servants and their families who are know anyone's bet, and CCM is most vulnerable to these votes now.

You are spot on!Nilichokuja kugundua kuhusu hii inayoitwa M4C PD ni mkakati wa kumuimarisha Mbowe na kumdhohofisha Zitto,They should channel these energies on attacking CCM!
 
are are you talking about an existing creature duh Zitto who is he in chademas welfare he is a forgotten case he is none existing
 
Back
Top Bottom