Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Kuwa Mtendaji, hasa Mtendaji mkubwa kwenye serikali ya Mheshimiwa Kikwete sasa hivi, watoto wa mjini wanaita Majanga. Nia aibu, dharau, na kebehi ya hali ya juu.

Ndio maana wengine tuko dissapointed na CDM na state ya upinzani Nchini, wale mahayawani hawajui muda wa kupanga stratergy zao na muda wa kuweka chumvi kwenye kidonda.Am sure CCM is extremelly happy with this distraction they call OPD or whatever that is. This was supposed to be the time they sway the Civil servants electorate. yet they waste their tim going to places where ZITTO had influence to try calm down things. Hao waendesha bodaboda, are already a known quantity as far as politics is concerned. They should align their attacks on Civil servants and their families who are know anyone's bet, and CCM is most vulnerable to these votes now.

you must be arising from the dead where does Zitto the forgotten creature have an influence, he is a non existing man in chademas politics
 
Kumbe ndiyo maana CCM wakiona CHADEMA wanapaa na chopa wanashangaa pesa wanazipata wapi. Ruzuku kubwa, madeni kibao.
 
Uchumi wetu unakuwa kwa kasi ya ajabu chini ya chama kitukufu ccm,go home you are drunk!!!!!!!!!!!!!!
 
Ohooooo nimeshajua ni kwa nini sasa Mwigulu Nchemba amepachikwa pale Wizara ya Fedha na mama mwenye ilimu ile pamoja na zee lao Malima!!!! Kazi imeanza!!! Watumishi wa serikali sasa mishahara itakuwa kila siku ya 55!!!! We are done!!! Watapakulia mihela kwenye hizo accounts mpaka zijae!!
 
kikwete=david moyes pale oldtrafod.Hana kabsa effective plan ya kuinusurt nchi
 
Wakuu nimetafakari sana juu ya habari za kufirisika kwa ccm na nchi yetu ikiwa kwenye deni kubwa
ambalo nahisi halilipiki na hata likilipwa tutaingia kwenye crisis ambayo hatujawahi kuwa nayo.
swali langu wakuu sasa hawa ccm si watatumia pesa za uma kwenye mambo yao?na hata kama
kuna mkaguzii mkuu wa hesabu za serikali naye si mmoja wa watumishi walioteuliwa na serikali ya ccm.?
naomba elim juu ya hilo
nawasilisha.
 
Kwa wiki sasa, nimekuwa nikiweka andishi hapa ----------- Forum (MF), linaloonyesha jinsi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilivyokuwa hoi kiuchumi. Ni vema ikafahamika chama kinachokabiliwa na mchoko wa uchumi, hakiwezi kufanya siasa.

Katika vielelezo hivyo nilivyopewa na msiri wangu hapa Lumumba, CCM kinaonekana kinakabiliwa na mzigo wa madeni; taasisi mbalimbali za umma, mabenki na watu binafsi zinakidai chama hiki mabilioni ya fedha.

Wakati chama kikidaiwa fedha zote hizo, Akaunti zake zimekauka. Fedha zimetafunwa kama mchwa. Anayeonekana kuwa ndiye mtia saini mkuu wa fedha za chama, ni Mwigulu Nchemba, anayejiita Mchumi Na. 1. Tufuatilie kwa pamoja.

Itaendelea kila tutakapofanikiwa kupata nyaraka nyingine.


Akaunti ya Katibu Mkuu CCM CRDB Azikiwe A/C No. 01J1028138800.

Watia Saini

Mhe. Wilson C. Mukama - aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM
Mhe. Mwigulu L. Nchemba (Mb) - aliyekuwa Katibu wa NEC - UF Ndg. Judith F. Tumbao - Mhasibu Mkuu

Salio la fedha kwa tarehe 16/11/2012 ni Shs. 5,816,806.49

Akaunti ya No. 01J1005069302. Salio la fedha tarehe 16/11/2012 ni Shs. NIL.

Watia Saini

Mhe. Wilson C. Mukama - aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM
Mhe. Mwigulu L. Nchemba (Mb) - aliyekuwa Katibu wa NEC – UF Ndg. Judith F. Tumbao - Mhasibu Mkuu

Akaunti ya Mkuu wa Utawala CCM Makao Makuu Dodoma - ipo CRDB Tawi la Dodoma A/C No. 01J1081476900.

Salio la fedha kwa tarehe 16/11/2012 ni Shs. 113,167.54

Watia saini

Mhe. Mwigulu L. Nchemba (Mb) - aliyekuwa Katibu wa NEC - UF Mhe. J.Z. Chiligati (Mb) - aliyekuwa Katibu Mwenezi.

cccmm2.pdfcccmm2.pdf[/SIZE]


Chama Cha Mapinduzi, kimebeba mzigo wa madeni. Msiri wangu hapa Lumumba amenidokeza kuwa chama kinadaiwa hadi na vyombo vya habari.

Kimeshindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wake; madeni kutoka taasisi za fedha yamelundikana hadi kufikia zaidi ya Sh. 1.3, huku nikielezwa kuwa Akaunti zake zimefilisika. Mabilioni haya ya fedha yametafanwa na wakubwa wakiongozwa na Mwigulu Nchemba.

Soma kiambatanisho hiki hapa chini kilichotoka kwa Mwigulu Nchemba kwenda kwa Zakia Meghi. Ni wakati Nchemba alipokuwa akikabidhi madaraka ya Katibu wa Uchumi na Fedha kwa Zakia Meghji.



MAKABIDHIANO YA IDARA YA UCHUMI NA FEDHA
KATI YA MHE. MWIGULU L. NCHEMBA (MB)(MNEC)
NA MHE. ZAKIA H. MEGHJI (MB) KATIBU
WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
WA UCHUMI NA FEDHA


2. IDARA YA UCHUMI NA FEDHA
Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana mjini Dar es Salaam tarehe 27 - 29 Januari, 2004 pamoja na mambo mengine ilipitisha muundo mpya wa Idara ya Uchumi na Fedha. Awali Idara hii ilijulikana kama Idara ya Fedha na Mali za Chama. Badiliko hili la muundo linazingatia mambo yafuatayo:-
.
(a) Kwa mujibu wa Mwelekeo wa Sera za CCM katika miaka ya 2010 - 2020 na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 Chama kinatakiwa kusimamia kwa nguvu mpya Sera zake za Uchumi hususan modenaizesheni ya Uchumi na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.

(b) Aidha suala la Vitega Uchumi na Uwekezaji katika Chama linatakiwa kupewa umuhimu na msukumo mkubwa ili kukiimarisha Chama kimapato na hatimaye kiweze kujitegemea.

HESABU ZA CHAMA NA KAMATI YA KUHAKIKI MALI ZA CHAMA

(a) HESABU ZA CHAMA
Hesabu za Chama zimekaguliwa na wakaguzi wa nje TAC-Associates kwa mwaka wa Fedha 2009/2010 na 2010/2011. Hesabu hizo zimeshawasilishwa kwa Mwenyekiti kwa ajili ya kuwekwa saini na baadaye kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Zoezi la kuziwasilisha kwenye vikao vya Chama litafuata baadaye. Kwa mujibu wa hesabu hizo, Chama kina mali zenye thamani ya Shs. 49.2bn/= hadi tarehe 30.06.2011. Thamani ya mali inashuka kila mwaka kutokana na Chama kutofanya uthamini wa mali zake. Mara ya mwisho uthamini ulifanyika mwaka 1992. Kwa hiyo Wakaguzi wameshauri kuwa Chama kifanye upya zoezi la uthamini. Kutokana na ukubwa na upana wa kazi hii, zoezi hili linahitaji wataalam wengi, kwa sababu hiyo Chama huwa kinawatumia Chuo cha Ardhi kwa kuwa wao wanawatumia wanafunzi wao katika kuifanya kazi hii na hivyo kuharakisha zoezi hilo.

(b) KAMATI YA KUHAKIKI MALI ZA CHAMA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana Aprili, 2007 mjini Dar es Salaam iliunda Kamati ya Wataalam kwa ajili ya uhakiki mali za Chama. Majina ya Wataalam hao ni:-

(1) Ndg. Peter Machunde - Fedha na Vitega Uchumi
(2) Ndg. George Fumbuka - Fedha na Vitega Uchumi
(3) Ndg. Sam Mapande - Mwanasheria
(4) Ndg. Kanyoni Salum Kanyoni - Mhandisi
(5) Ndg. Jacquiline Noni - Mfanyabiashara
(6) Ndg. Simon Mapolu - Mchumi
(7) Ndg. Janeth Mbene - Mchumi
(8) Ndg. Ussi Faki - Mkaguzi
Katibu wa Kamati hiyo alikuwa Ndugu L.L. Burugi - Meneja Miliki wa Chama.


Kamati ilianza kazi tarehe 19/6/2007 na kukamilisha tarehe 28/10/2007. Kazi ya Kamati hii ililenga mali za Kudumu za Chama zilizopo Makao Makuu, Mikoani na katika Wilaya zilizopo kwenye Makao Makuu ya Mikoa. Aidha, zoezi hili lilihusisha pia mali za Jumuiya za Chama katika maeneo hayo pamoja na kufanya tathmini ya mwenendo wa Makampuni ya Chama.

12. BAADHI YA MADENI AMBAYO CHAMA KINADAIWA
(1) MADENI YA BENKI NA TAASISI ZA FEDHA
NBC Ltd. - 143,763,404.00
NSSF - 831,822,961.50
Ukaguzi wa Hesabu - 72,240,000.00
1,107,826,365.50

Deni la NBC ni la tangu mwaka 1994 kupitia Kampuni ya Chama TANTI kwa kuweka rehani nyumba 10 za CCM zilizoko Area ‘C’ - Dodoma.

Mkopo wa NSSF unahusu Jengo la CCM Shinyanga. NSSF walimalizia kujenga Jengo. Mazungumzo yalifanyika kati ya CCM/NSSF na kufikia makubaliano ya Chama kununua Jengo hilo kwa shs. 1,109,097,282/= kiasi cha 25% kimelipwa.

Deni la ukaguzi linatokana na ukaguzi wa hesabu za mwaka 2009/2010 na 2010/2011.


(2) MADENI YA VYOMBO VYA HABARI

1. Clouds Entertainment Media Group 13,080,000.00
2. Radio Tumaini 424,800.00
3. ITV 3,778,360.00
4. Sahara Media Group Ltd 44,244,000.00
5. Sports Dream Co. Ltd 810,000.00
6. KIUTA 9,430,350.00
7. Colour Print 22,619,792.00
8. Business Times Ltd (Majira) 4,988,945.00
9. Habari Corporation 6,850,000.00
10. Mwananchi Communication Ltd 9,620,000.00
11. TSN 8,271,160.00
12. Guardian Ltd 11,702,160.00
13. TBC 7,687,360.00
14. Uhuru Publication Ltd 55,049,040.00
15. WAPO Radio 1,000,000.00
16. Zanzibar Leo 4,500,000.00

17. Raia Mwema 1,129,000.00
18. FTV Production 1,980,000.00
Jumla Tshs. 201,866,807.00

Baada yakufilisi katika chama hake sasa amepelewa hazina akakaushe kabisa......oyeee sana CCM maana 2015 wote tutakuwa hatuna fedha
 
Mchumi huyo jamani mjue??????!!!!!!! kamuweka tena na mchumi mwenzake wa 1st class pale wizara ya fedha!!!!!!ngoja tusubiri matokeo. yetu macho!!!!!!!!!!!!
 
Ushauri wa bure kwa CCM; Uzeni uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha mlipe madeni , msingojee KAGODA nyingine kwani safari hii itakuwa ngumu
 
you must be arising from the dead where does Zitto the forgotten creature have an influence, he is a non existing man in chademas politics

You are either delusional, Naive, misguided or both friend. Since when did CDM Bigwigs visit Kigoma and Rukwa in a space of two months in succession holding rallies and all that?kwa nini hamkuenda kufanya OPD Tanga au DODOMA?i know you can come up with excuses like we will also go to other places and such, but wenye macho mawili wameshaona. Sarakasi zenu humo CDM zinaboa.Si vibaya kukubali mlipojikwaa. hii biashara y akushikana uchawi na ubishi usio na sababu za msingi unawa-cost more meets the eye.
 
you must be arising from the dead where does Zitto the forgotten creature have an influence, he is a non existing man in chademas politics

You are either delusional, Naive, misguided or both friend. Since when did CDM Bigwigs visit Kigoma and Rukwa in a space of two months in succession holding rallies and all that?kwa nini hamkuenda kufanya OPD Tanga au DODOMA?i know you can come up with excuses like we will also go to other places and such, but wenye macho mawili wameshaona. Sarakasi zenu humo CDM zinaboa.Si vibaya kukubali mlipojikwaa. hii biashara y akushikana uchawi na ubishi usio na sababu za msingi unawa-cost more meets the eye.
 
hiyo ikulu itakua ni ile pale karume nikimaanisha makao makuu ya TFF

[h=2]''Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!'' Heading ilivyoandikwa ni kama nilivyoonyesha hapo kwenye BLUE kwa hiyo Rais wa TFF ni Kikwete? Tofauti na hivyo wewe ni MBURURA[/h]
 
Ushauri wa bure kwa CCM; Uzeni uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha mlipe madeni , msingojee KAGODA nyingine kwani safari hii itakuwa ngumu

Unawashauri wauze huo uwanja kwani ni wa kwao? vitu vinavyotakiwa kuwa katika miliki ya CCM ni vile walivyovianzisha kuanzia mwaka 1992 hadi sasa tofauti na hapo vyote vilivyokuwepo kabla ya 1992 ni vya Watanzania wote na iwapo chama kingine kitaingia madarakani itavimiliki au kuvirudisha Serikalini kwani vilijengwa na watanzania wote kwani hakukuwa na vyama vingi.wape ushauri mwingine huu sikubaliani nao.
 
You are either delusional, Naive, misguided or both friend. Since when did CDM Bigwigs visit Kigoma and Rukwa in a space of two months in succession holding rallies and all that?kwa nini hamkuenda kufanya OPD Tanga au DODOMA?i know you can come up with excuses like we will also go to other places and such, but wenye macho mawili wameshaona. Sarakasi zenu humo CDM zinaboa.Si vibaya kukubali mlipojikwaa. hii biashara y akushikana uchawi na ubishi usio na sababu za msingi unawa-cost more meets the eye.

The ignorance that brain-dead moron called FROIDA is showing on here is extremely shocking,I hope you managed to knock some sense into his or her empty skulls whatever the gender she/he belongs to i don't give a fig!What an embicile he is!Forgive me Mods for these offensive words,These nutcases are really getting under my skin!!
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa msiri wangu wa ndani ya Ikulu jijini Dar es Salaam anasema, serikali ya Rais Jakaya Kikwete tayari imefilisika. Haina fedha ya kuendeshea shughuli zake.

Aliyekuwa waziri wa fedha,Late William Mgimwa alinukuliwa akiwaambia Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB), kwenye mikutano ya mwaka ya WB na IMF iliyofanyika mjini Washington DC kuanzia tarehe 7 hadi 15 Oktoba 2013.

Waziri Mgimwa alisema, serikali imezidisha ukomo wa kukopa ndani wa Sh. 484 bilioni ambayo ndiyo iliyoruhusiwa kwa mujibu wa makubaliano na mashirika hayo na kulazimika kukopa nje ya makubaliano kiasi cha Sh. 1, 244.7 bilioni kutoka kwa wafanyabiashara wa ndani.

Kwa mujibu wa msiri wangu, hali hii imeifanya serikali kuwa na wakati mgumu mbele ya mashirika ya kimataifa na kwa wafanyabiashara wa ndani. Deni la taifa sasa limefikia kiasi cha Sh.22 trioni (mwaka 2013) ambayo sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.

(2) MADENI YA CHAMA -CCM, KWA VYOMBO VYA HABARI PEKEE

1. Clouds Entertainment Media Group 13,080,000.00
2. Radio Tumaini 424,800.00
3. ITV 3,778,360.00
4. Sahara Media Group Ltd 44,244,000.00
5. Sports Dream Co. Ltd 810,000.00
6. KIUTA 9,430,350.00
7. Colour Print 22,619,792.00
8. Business Times Ltd (Majira) 4,988,945.00
9. Habari Corporation 6,850,000.00
10. Mwananchi Communication Ltd 9,620,000.00
11. TSN 8,271,160.00
12. Guardian Ltd 11,702,160.00
13. TBC 7,687,360.00
14. Uhuru Publication Ltd 55,049,040.00
15. WAPO Radio 1,000,000.00
16. Zanzibar Leo 4,500,000.00

17. Raia Mwema 1,129,000.00
18. FTV Production 1,980,000.00
Jumla Tshs. 201,866,807.00

Hili ni Deni la Vyombo vya Habari Pekee, hatujagusa Wahindi, Mashirika makubwa, wafanyabiashara wengi binafsi hadi wachina....ambao madeni yao hayawezi kuorodheshwa waziwazi.....

Tukumbuke kuwa, hii ni ishara ya wazi kuwa kwa sasa na baadaye, Nchi haiwezi kuendeshwa na hawa jamaa (Ma-CCM) kwa hali waliyo nayo sasa na baadaye, bila kuiba sana ktk Hazina Yetu, au kuleta Miradi mibovu na ya Hewa kama ya Makaa ya Mawe, Miradi ya Wizi na Ubia wa kilaghai kama Dangote Cement - Mtwara, Kupandisha Kodi -TRA, bili za Umeme, Maji, faini magari barabarani, Ujangili, Kuuza unga nk....na hao ndio tumewaachia nchi wanajiita Chama Tawala????

Kwa Madeni haya ndani ya CCM, ni ishara wazi kuwa, kwa Mwigulu Mchema - Wizara ya Fedha, nini Kikwete katuwekea ktk kulinda Hazina yatu....

Naomba CDM kuiweka hii agenda ktk OPD tasks, Ujumbe ni 'Kumngoa Mchemba toka Hazina, kupata utawala mpya wa hadhi inayofaa ktk Hazina yetu ambayo bila shaka ndio uhai wa uchumi wetu na maisha ya raia wa taifa letu lote...
 
Nchi kudaiwa jambo la kawaida unadhani nchi kama kuendesha disco.

Mkuu sijauliza kama Nchi kukopa ji jambo gumu au la kawaida nimeomba msaada wa jibu la:27trilion/40million=?
Bado naomba jibu please!!!
 
kweli nchi ipo mahututi kifedha mpaka ntu aliye kabidhiwa gari ya serikali anaambiwa aweke mafuta mwenyewe,hawezi alipaki
 
Back
Top Bottom