Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

magari ya serikali yanayowaendesha watendaji wake wakuu, wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi yameamriwa yarudishwe serikalini, kwani serikali haina tena fedha za kununulia mafuta.

Twende kazi
 
acha wapige pesa, mlimpenda jk, mnaipenda ccm, na wao watawapenda daima!
 
Chezea deni la taifa wewe,sasa hivi. Limefika zaidi.ya shilingi tririoni 20, na bado serikali inataka kukopa tena,halafu wanadai uchumi uekua asilimia.7, ndoto za mchana
 
Nimemsikiliza waziri katika taarifa ya habari, nikiri, sijamwelewa kabisa kuhusu 'ratings' alizokuwa akielezea.

Kwa aliyemwelewa, naomba msaada!

ni kawaida yake kutokueleweka , kwani cv yake si umeiona ?
 
Chezea deni la taifa wewe,sasa hivi. Limefika zaidi.ya shilingi tririoni 20, na bado serikali inataka kukopa tena,halafu wanadai uchumi uekua asilimia.7, ndoto za mchana

chadema mmekopa ili kurusha chopa mtazilipaje hizo pesa?
 
ni kawaida yake kutokueleweka , kwani cv yake si umeiona ?

nyie mna lenu juu ya utawala wa nchi hii....
huyo babu mnaemuona anajua kila kitu atafit kila eneo? mbona tunasikia ni mdhaifu sana kiutendaji mpaka anabebwa na mbowe? acheni fitina za kike
 
Chezea deni la taifa wewe,sasa hivi. Limefika zaidi.ya shilingi tririoni 20, na bado serikali inataka kukopa tena,halafu wanadai uchumi uekua asilimia.7, ndoto za mchana

masahihisho , deni la taifa ni zaidi ya tillion 25 .
 
nyie mna lenu juu ya utawala wa nchi hii....
huyo babu mnaemuona anajua kila kitu atafit kila eneo? mbona tunasikia ni mdhaifu sana kiutendaji mpaka anabebwa na mbowe? acheni fitina za kike

Topic ni kufirisika kwa Tanzania , na wameyasema wao na wala siyo sisi mjomba ! Sisi tunachangia tu , Sasa sijui babu anaingiaje hapa tena !
 
Wewe unasema serikali imefilisika wakati imeandaa SH milioni mia moja na sitini kiinua mgongo kwa kila mbunge.kwani umesikia hata wapinzani wamekohoa kuhusu hilo?
 
Topic ni kufirisika kwa Tanzania , na wameyasema wao na wala siyo sisi mjomba ! Sisi tunachangia tu , Sasa sijui babu anaingiaje hapa tena !

babu ni dhaifu mno katika utendaji hana mfanowe...
operesheni zote zimefeli.... teh teh teh 2015 ntakufuata hapo Arusha tukashangilie goli za CCM
 
Du, sasa nimeelewa kwanini kikwete gahaenda safari leo..
 
Bado tunakopesheka msijali wananchi..........vuteni subira mambo yatakuwa mazuri tu.
 
Samahani msaada wa haraka mkuu kukokotoa jibu la swali hili: 27 trilion/40million=?
Jibu ni 675,000/=. Kama ulitaka kulinganisha na idadai ya watu basi itakuwa hivi:
Deni la Tsh. 27,000,000,000,000/= gawanya kwa watu 45,000,000 (sensa 2012) unapata tsh 600,000/= kwa kila mtu.
 
Topic ni kufirisika kwa Tanzania , na wameyasema wao na wala siyo sisi mjomba ! Sisi tunachangia tu , Sasa sijui babu anaingiaje hapa tena !

Mkuu unashangaa babu anaingiaje hapo?........kwa CCM na vibaraka wao babu anaingia popote, unadhani wamesahau alivyomsumbua JK 2010?

Ukimtaja Dr Slaa maeneo walipo CCM ni kutafuta kupewa kesi kwani utawaua wengi na ugonjwa wa moyo.
 
Back
Top Bottom