Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Naskiliza waziri wa fedha star tv habari simuelewi anazungumzia vitu gani? Sijui lazima tukope, sijui lazima tujenge mabarabara!? pumba tupu. Hii kawawa road kinondoni sijui inatija gani, itaiongezea serikali kipato kiasi gani tofauti na ulivyokuwa awali?! Huu mradi wa strabag sijui nini kuna jambo, si bure, naapa si bure.
 
Bavicha bana wakiishapiga virobo wanaropoka tu.

Unabisha nini kaka huku Geita mkandarasi SINOHYDO amefunga kazi na maanisha aendelei tena na ujenzi wa barabara kiwango cha lami ajalipwa kwa zaidi ya miezi 5 sasa jama serikali ya Jk ina pesa ilipe na itueleze deni la taifa limefikaje trilioni 25
 
Kumbe safari zote za JK njenya nchi ni fedha za mikopo?
 
Nimemsikiliza waziri katika taarifa ya habari, nikiri, sijamwelewa kabisa kuhusu 'ratings' alizokuwa akielezea.

Kwa aliyemwelewa, naomba msaada!
 
unabisha nini kaka huku geita mkandarasi sinohydo amefunga kazi na maanisha aendelei tena na ujenzi wa barabara kiwango cha lami ajalipwa kwa zaidi ya miezi 5 sasa jama serikali ya jk ina pesa ilipe na itueleze deni la taifa limefikaje trilioni 25

deni la taifa ni trilioni 27'-saada mkuya
 
hata hakusema,alikua amejikita kuwapiga mkwara wafanyabiashara wanaokwepa EFDs

EFD ni false sense of comfort to the government they do serve nothing in pure cash based economy like this. All big transactions are done outside the national payment system.
Waziri wetu ni mjinga hata muundo wa kinywa chake unathibitisha hilo.
 
Kuna mtonyaji wangu kutoka wizara moja inayoongozwa na naibu waziri kiraza amesema hali ni mbya kifedha, wanagombaniana hadi karatasi za 100 na wino.
Amin hali ni mbaya.
 
Panga bei mwenyewe!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    17.8 KB · Views: 188
Chama kinachoongoza nchi kinadaiwa hivi tunatarajia nchi itaacha kuwa na madeni?! Tufanye maamuzi tukiweke chama kingine madarakani ili tukipe nafasi ccm ya kukisafisha chama na kulipa madeni, tukifanya hivyo hata sisi wapiga kura tutayaona maendeleo kwa macho.
 
Naskiliza waziri wa fedha star tv habari simuelewi anazungumzia vitu gani? Sijui lazima tukope, sijui lazima tujenge mabarabara!? pumba tupu. Hii kawawa road kinondoni sijui inatija gani, itaiongezea serikali kipato kiasi gani tofauti na ulivyokuwa awali?! Huu mradi wa strabag sijui nini kuna jambo, si bure, naapa si bure.

nimemsikiliza nusu nitapike sasa nimekubalina na profesa lipumba kuwa huyu mama ni bomu wala hajua kuongea kisiasa eti wanajenga barabara,wanaleta umeme hizo ndo kazi za serikali alitaka wakaogelee waliwe na mamba,tatizo kila kukicha ma mikataba mabovu then wanawatisha mzigo wananchi juzi wamepandisha bei ya umeme wakati wao ndo wanaua tanesco,hivi kwa safari za jk anazofanya hapo hazina kutabaki kitu na hilo li baraza lake la mizigo wapo sijui 70 unategemea nini
 
Mbona vyanjo ni vingi vya mapato.
Kuna ukusanyaji wa Kodi, Bandari, Madini, Utalii na mengi.


Taarifa nilizozipata kutoka kwa msiri wangu wa ndani ya Ikulu jijini Dar es Salaam anasema, serikali ya Rais Jakaya Kikwete tayari imefilisika. Haina fedha ya kuendeshea shughuli zake.

Aliyekuwa waziri wa fedha,Late William Mgimwa alinukuliwa akiwaambia Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB), kwenye mikutano ya mwaka ya WB na IMF iliyofanyika mjini Washington DC kuanzia tarehe 7 hadi 15 Oktoba 2013.

Waziri Mgimwa alisema, serikali imezidisha ukomo wa kukopa ndani wa Sh. 484 bilioni ambayo ndiyo iliyoruhusiwa kwa mujibu wa makubaliano na mashirika hayo na kulazimika kukopa nje ya makubaliano kiasi cha Sh. 1, 244.7 bilioni kutoka kwa wafanyabiashara wa ndani.

Kwa mujibu wa msiri wangu, hali hii imeifanya serikali kuwa na wakati mgumu mbele ya mashirika ya kimataifa na kwa wafanyabiashara wa ndani. Deni la taifa sasa limefikia kiasi cha Sh.22 trioni (mwaka 2013) ambayo sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.
 
Back
Top Bottom