Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Tutamkumbuka sana mzee mkapa. Ni aibu sana kukopa fedha kwajili ya matanuzi ile hali watanzania maskini ndo wanaolipa madeni haya. Hii haikubaliki popote pale dunian isipokuwa Tanzania tu
 
You are either delusional, Naive, misguided or both friend. Since when did CDM Bigwigs visit Kigoma and Rukwa in a space of two months in succession holding rallies and all that?kwa nini hamkuenda kufanya OPD Tanga au DODOMA?i know you can come up with excuses like we will also go to other places and such, but wenye macho mawili wameshaona. Sarakasi zenu humo CDM zinaboa.Si vibaya kukubali mlipojikwaa. hii biashara y akushikana uchawi na ubishi usio na sababu za msingi unawa-cost more meets the eye.
I am now confirming that your are psychotic or a dead a derailed corpse you mean you don't know about the recent chademas team Visit in Kgoma and Rukwa happened so keep on dreaming and expecting for none Zitto is out of the calendar you keep the past in your mind to drive you crazy
 
hao jamaa
wameagizwa pesa na chama sio kusimamia wizara ,pale wanaenda kubuni uchochoro wa kuzipitisha tu.

Mazembe wewe umesema zimeisha
mara A/c za CCM ni MADENI

mara Mwigulu na Malimawanaenda kubuni uchochoro wa PESA zipi
SIMAMIA point YAKO
SERIKALI HAINA PESA wakati huku Dodoma Watu tunasubiri MAPOSHO ya BUNGE la KATIBA na BUNGE la BAJETIIII

HIZO NDOTO ZAKO SUBIRI hadi Juni 2014 Wafadhaili watakaposema vinginevyo
Kaa ukijua hujui Vyanzo na Rasilimali za fedha katika Serikali yoyote vianapatikana vipi
Tafuta Historia ya Pesa ilipopungua huko Ujerumani ya zamani wakaambiwa wafanyeje kwa kubadilisha na pakiti ya sigara na fedha yote ikarudi Serikalini
Hapa TZ tumeshabadili mara ngapi Manoti na watu wakayachoma moto badala ya kupeleka Benki yakabadilishwe?
NI VIGUMU PESA YA SERIKALI INAYOITENGENEZA IAKPOTEA
Mwache Mchumi Mwigulu aingie mtapoa
 
The ignorance that brain-dead moron called FROIDA is showing on here is extremely shocking,I hope you managed to knock some sense into his or her empty skulls whatever the gender she/he belongs to i don't give a fig!What an embicile he is!Forgive me Mods for these offensive words,These nutcases are really getting under my skin!!

You are thick pathetic an imbecile frustrated moron representing a sign of cancerous brain what a shame on a man who can not be a man enough who fails to stand and give a constructive response you are a schizophrenic looser, sick go and change Zitto pants and disappear from this forum where people who have brain cherish and enjoy their participation why are you so angry loner you mean mods are in for you to degrade this forum as you do' go and hug a transformer a desperate stupido lunatic
 
I am now confirming that your are psychotic or a dead a derailed corpse you mean you don't know about the recent chademas team Visit in Kgoma and Rukwa happened so keep on dreaming and expecting for none Zitto is out of the calendar you keep the past in your mind to drive you crazy

Well, well, well, am not suprised you did not grasp what i just wrote there,not surprised at all.
 
Waandishi wanatakiwa wakatae kupokea bahasha kwani ni pesa toka kwenye kampuni zao.
 
Tutamkumbuka sana mzee mkapa. Ni aibu sana kukopa fedha kwajili ya matanuzi ile hali watanzania maskini ndo wanaolipa madeni haya. Hii haikubaliki popote pale dunian isipokuwa Tanzania tu

wanakopa ili wawalipe wabunge kiinua mgongo, wanakwapua kwanza wao. kwanini hawawekewi NSSF au mashirika mengine?
 
Na kwa taarifa tu uchaguzi wa serikali za mitaa hakuna mwaka huu kutokana na serikali ya ------ kutokuwa na hela uchaguzi utafanyika mwakani sambamba na wa madiwani pamoja na marais kwa msaada wa marekani.
 
Huo ni uongo ni vyema ukanyamaza kwa hii ni propaganda ya kitoto
 
we hayo madeni mbona cha mtoto! nikiasi cha kuwaandika barua kua chama kinawataka mlipe madeni ayo haraka wafuatao
. Rostam Aziz
.Edward Lowassa
.Kinana kaa mbali na Tembo
So ayo madeni sio ishu kwani chama kimejenga mtandao wamafisadi ambao unaweza clear madeni yote ndani ya siku moja tu...Ishu nikua sasa serikali imefika kikomo chake cha kukopa either ndani au nje na apo waTz ndo tutakapojuta kuwapa mafisadi mandate kwani kila kitu kitakua juu kuanzia umeme hadi maji...
 
Kikwete alisoma nini? Mbona naona kaelemewa sana? Hata akili za kushsuriwa na watalaamu anashindwa kuchanganya na za kwake?
 
Back
Top Bottom