Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Bunge la katiba ni case study tosha kabisa kwa watu wenye nia ya kuelewa siasa zetu zilipo, aina ya viongozi tulio nao, descpline among us, planning and economic perspective.

Ingekuwa nchi nyengine kama walisema bunge ni la siku 70 na ikizidi ni 90. Hilo Bunge lingekuwa limetengewa a 'shoe string budget' hiyo tu na si kingine. Kwa mwenendo wa kipuuzi unaoendelea siasa zingechukua mkondo muda huu, gharama za bunge la katiba zingekuwa kwenye kurasa za mbele ya magazeti nani anae gharamia nyongeza, hela inatoka wapina thamani ya katiba in comprable to other weak areas of society. Watu sasa wangekuwa wanauliza if we needed katiba in the first place, watanzania wangetaka kujua gharama za bunge hili lote na kama kweli tunalihitaji. And all other economic factors za kutafuta uhalali wa gharama za kuipata katiba mpya in what we have forsaked na hiyo hela kwenye nchi maskini.

Wenzetu wanaelewa hakuna maendeleo bila ya hela, hiyo ndio resource ambayo inakuweka juu au inakushusha chini priority za matumizi na vyanzo vya mapato ndio kila kitu kwenye siasa za dunia ya kwanza. Kwa namna bunge linavyoendelea na danadana zinazopigwa inaonyesha ni jinsi gani wanasiasa wetu wanavyo chukulia maendeleo ya taifa (sio priority) na kwa nini unaona sisi ni maskini. Kama atuthamini hela wala kuiambatanisha na maendeleo hatuwezi kuwa wabunifu vilevile; wakati tukienda vijijini au mijini shida zetu zipo mbele ya macho yetu.

Unaweza kuona kama viongozi wenyewe ndio hawa with those nature of debates produced in the parliament assembly kwakweli sisi bado sana kwenye siasa tunapwaya na kwenye hiyo taaluma bado. No wonder with all our resources we are still poor and havent learnt yet to capitalize on them, money is not something that concerns us with our development. Tumeshajijengea akili ya kuwa bado tunakopesheka as yule kilaza mama waziri alivyo tuambia, we dont have to worry how we spend money on the running of administration na upuuzi mwengine, halafu tunategemea maendeleo without investing in people, the infrastructure and our budgeting priorities, kwanini serikali isiishiwe mara kwa mara.
 
Bunge la katiba ni case study tosha kabisa kwa watu wenye nia ya kuelewa siasa zetu zilipo, aina ya viongozi tulio nao, descpline among us, planning and economic perspective.

Ingekuwa nchi nyengine kama walisema bunge ni la siku 70 na ikizidi ni 90. Hilo Bunge lingekuwa limetengewa a 'shoe string budget' hiyo tu na si kingine. Kwa mwenendo wa kipuuzi unaoendelea siasa zingechukua mkondo muda huu, gharama za bunge la katiba zingekuwa kwenye kurasa za mbele ya magazeti nani anae gharamia nyongeza, hela inatoka wapina thamani ya katiba in comprable to other weak areas of society. Watu sasa wangekuwa wanauliza if we needed katiba in the first place, watanzania wangetaka kujua gharama za bunge hili lote na kama kweli tunalihitaji. And all other economic factors za kutafuta uhalali wa gharama za kuipata katiba mpya in what we have forsaked na hiyo hela kwenye nchi maskini.

Wenzetu wanaelewa hakuna maendeleo bila ya hela, hiyo ndio resource ambayo inakuweka juu au inakushusha chini priority za matumizi na vyanzo vya mapato ndio kila kitu kwenye siasa za dunia ya kwanza. Kwa namna bunge linavyoendelea na danadana zinazopigwa inaonyesha ni jinsi gani wanasiasa wetu wanavyo chukulia maendeleo ya taifa na kwa nini unaona sisi ni maskini, atu thamini hela kabisa na maendeleo; wakati tukienda vijijini au mijini shida zetu zipo mbele ya macho yetu.

Unaweza kuona kama viongozi wenyewe ndio hawa with those nature of arguments produced in the parliament assembly kwakweli sisi bado sana, kwenye siasa na tunapwaya kwenye hiyo taaluma. No wonder with all our resources we are still poor and havent learnt yet to capitalize on them, money is not something that concerns us with our development. Tumeshajijengea akili ya kuwa bado tunakopesheka as yule kilaza mama waziri alivyo tuambia, we dont have to worry how we spend it on the running of administration na upuuzi mwengine, halafu tunategemea maendeleo without investing on the people and infrastructure.

Inauma sana,Watu wenye vichwa hewa kama akina Mwiguru ndiyo wanaopata fursa ya kuiongoza nchi lkn wale wenye akili safi na timamu wamekaa kando kabisa hata kufikiriwa,Hata wale wachache walioko kwenye siasa wenye akili zilizo hai nao hawatakiwi na mfumo.Ndiyo maana wakati mwingine huwa siviamini vyama vya siasa kwani naviona kama ni mifumo flani inayodizainiwa na wajanja wachache kisha wanaweka vibaraka wao kuviendesha hivyo vyama vya siasa na hata nchi kwa niaba yao.Hii mifumo kandamizi na ya kinyonyaji haitatokea hata siku moja ikamuunga mwanasiasa mwenye kuonyesha dhamira ya kweli ya kupambana na mafisadi wa rasilimali za umma na mwanasiasa mwenye msimamo,wao siku zote watamuunga mkono mwanasiasa anayeingilika kirahisi na atakayeweza kulinda maslahi yao.Walifanya hivyo kwa Sokoine nchi ikaishia kuongozwa na Mwinyi,2005 walifanya hivyo kwa Prof Mark Mwandosya na Dr Salim tukaishia kuongozwa na Kikwete na hapa ndipo tulipofika kama Taifa,Tumefikishwa hapa na chama cha siasa cha CCM chini ya utaratibu wao mbovu wa kutuchagulia viongozi.Mambo yapo hivyo hivyo kwa vyama vya upinzani pia.I think this is a global problem.Independent candidacy is the only way to go with,Away with political party system,With independent candidates in the elections we might have many clean,honest and committed politicians in the administration.
 
Wafanyakazi mishahara hata mwaka huu haitapanda na kodi itaongezwa kupata hizo pesa kilipa madeni!!!Kidumu chama cha Mapinduzi!!!
 
Na kwa taarifa tu uchaguzi wa serikali za mitaa hakuna mwaka huu kutokana na serikali ya ------ kutokuwa na hela uchaguzi utafanyika mwakani sambamba na wa madiwani pamoja na marais kwa msaada wa marekani.

Duuu aiseee
Noma sanaa
 
Watu wengi wamekuwa wakionyesha wasi wasi wao kuhusu hali halisi ya kifedha ya serikali ya JK! Lakini kila wakati serikali imekuwa ikikanusha kuwa haijafilisika hata pale ambapo katika ofisi nyingi za serikali zinakosa hata wino na karatasi za kuandikia!

Hadi leo tarehe 03/09/2014 wafanyakazi katika wizara nyingi hawajalipwa mishahara yao!! Tafsiri yake ni nini?!
 
Kufilisika kwa serikali kukoje mkuu? Leta darsa na Ilim kwanza nso tuchangie
 
Pesa zote zinapelekwa kwenye bunge useless la katiba mpya. Zikiisha nalo wataliahirisha
 
Kufilisika kwa serikali kukoje mkuu? Leta darsa na Ilim kwanza nso tuchangie
Serikali inaposhindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara yao kwa wakati, ndiyo kufilisika kwenyewe!!
 
Kufilisika kwa serikali kukoje mkuu? Leta darsa na Ilim kwanza nso tuchangie
Kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wake, kushindwa kutoa pesa za huduma muhimu za jamii kama hospitali, elimu nk, kushindwa kulipa madeni mbali mbali inayodaiwa, kushindwa kutoa pesa za miradi ya maendeleo zote au nusu kwa wakati. Lakini katika yote pesa za safari za rais huwa hazina tatizo kabisa. Bora mle majani lakini rais lazima asafiri! Na muda si mrefu utamsikia yuko Marekani au Ulaya kuhemea vibaba!
 
MTAPIGWA TU MAANA MMEZIDI UMBEA nani kakuambia serikali za kiafrika zinafilisika, maana serikali inaweza kuanzisha kodi kibai overnight kukusanya kodi toka kwenu ili kujiendeleza. Hujiulizi kwa nini mafuta Dar ni gharama kuliko ZAMBIA/LUSAKA na wanatumia dar port kupitisha mafuta yao? unajua kila lita 1 ya mafuta ina kodi ngapi?
 
Hili nalo neno.maana siku hizi zinachangwa kweli.mf mdogo tu ni askari wa barabarani siku hizi kila trafiki ana kitabu cha faini na utawakuta wamepiga kambi mtu kama kumi hivi.
 
Hili nalo neno.maana siku hizi zinachangwa kweli.mf mdogo tu ni askari wa barabarani siku hizi kila trafiki ana kitabu cha faini na utawakuta wamepiga kambi mtu kama kumi hivi.

Hivi traffic nao wana commission pia au? Naona kama wameongezeka sana kuzichanga za receipt barabarani na morale yao inaonekana kuwa juu sana tofauti na siku za nyuma ambapo ilikuwa rahisi sana kubargain.
 
Naona tatizo letu ni kufanya matumizi sana ktk miradi mbalimbali kama ya ujenzi, kilimo, n.k bila kusahau posho kwa hiyo fedha zipo nyingi ktk uchumi na hiyo ndiyo inasababisha matatizo kama mfumuko wa bei (money supply inflation), serikali inabidi ss kufanya mbinu mbalimbali za kupunguza fedha ktk uchumi kama kwa mfano kuuza govt bond n.k

Mkuu tatizo ni kwamba matumizi yetu ni makubwa kuliko mapato yetu,ifike wakati serikali iangalie upya vyanzo vyetu vya mapato na kuweka strategies ambazo zitaidia ukusanyaji mkubwa,nina uhakika tukiwa serious katika hili,tanzania inaweza kusurvive bila hata kuombaomba huko nje,mfano kufutilia mbali misamaha ya kodi,kutoza kodi kubwa kwa bidhaa zitokazo nje ambazo pia zinazalishwa hapa nchini,kusimamia kwa makini utalii wetu,pamoja na kupunguza matumizi ya serikali yasiyokuwa na lazima,mfano safari za kila kukicha
 
Back
Top Bottom