MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Zile za sembe nazo zimemalizika?
yani hao watu... hadi mwili umenisisimka kwa hofu juu ya mustakabali wa nchi yangu!Jk nomaa,kawaweka mwigulu na malima wizara ya fedha tusubir matokeo,watakamu ngombe mpaka itatoka damu badala ya maziwa
Nchi kudaiwa jambo la kawaida unadhani nchi kama kuendesha disco.
una ushahidi au unaropokwa mzaramo wewe?Mideni kibao halafu tunaendekeza mideni zaidi kwenye white elephant projects kama bandari ya Bagamoyo.
Tutaweka rehani nchi halafu tukishindwa kulipa sijui tutahamia wapi.
una ushahidi au unaropokwa mzaramo wewe?
ni kawaida yake kutokueleweka , kwani cv yake si umeiona ?
Sheikh tupe ukweli wa mambo!ila ni kweli waziri Saada kasema deni ni trillion 27,ehhe nawe tupe Financial Reports za CCM 2012/13
ikulu si kama maisha club tu, wakina ruge daily wana gonga chai na mkuu