Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

Waziri wetu ni mjinga hata muundo wa kinywa chake unathibitisha hilo.[/QUOTE]

Kwi kwi kwi kwi u made ma day! Ngoja tumtafute Dentist wa yale meno makubwa ya Tembo a.k.a......... jaza mwenyewe sehemu ya wazi
 
Kazi ipo itabidi wapitishe kopo kwenye kila kaya angalau kila mtu achangie sh. 1000.
 
Umeambiwa ni kutoka tbcccm ndio imetangaza sasa bavicha inaingiaje hapa.
Ndiyo maana nakuambia Bavicha viroba vitawamaliza, TBC wametangaza Serikali imefilisika rasmi?
 
Ukowapi B.W. Mkapa watanzania tunakumisi sana haswa jinsi ulivyobana watu walipe kodi na serikali yako ilikuwa na nidhamu ya matumizi.

Taarifa nilizozipata kutoka kwa msiri wangu wa ndani ya Ikulu jijini Dar es Salaam anasema, serikali ya Rais Jakaya Kikwete tayari imefilisika. Haina fedha ya kuendeshea shughuli zake.

Aliyekuwa waziri wa fedha,Late William Mgimwa alinukuliwa akiwaambia Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB), kwenye mikutano ya mwaka ya WB na IMF iliyofanyika mjini Washington DC kuanzia tarehe 7 hadi 15 Oktoba 2013.

Waziri Mgimwa alisema, serikali imezidisha ukomo wa kukopa ndani wa Sh. 484 bilioni ambayo ndiyo iliyoruhusiwa kwa mujibu wa makubaliano na mashirika hayo na kulazimika kukopa nje ya makubaliano kiasi cha Sh. 1, 244.7 bilioni kutoka kwa wafanyabiashara wa ndani.

Kwa mujibu wa msiri wangu, hali hii imeifanya serikali kuwa na wakati mgumu mbele ya mashirika ya kimataifa na kwa wafanyabiashara wa ndani. Deni la taifa sasa limefikia kiasi cha Sh.22 trioni (mwaka 2013) ambayo sawa na asilimia 42.5 ya pato la taifa.
 
Baba kaenda Davos na kibaba ila alikatisha safari kuja kuzika. Tulikuwa tupate za kutosha kama sio kusamehewa mikopo mingine.
Mwl aliwahi kusema mideni mingine hailipiki. Ngoja tuone msamaha unakuja very soon
Nadhani deni la vita ya kagera ndiyo isiyolipika!! lakini madeni tutalipa kwa vizazi 5 vijayo!! Madamu kiganja na kibakuli kipo tutalipa....
 
hiyo ikulu itakua ni ile pale karume nikimaanisha makao makuu ya TFF

nchi imefilisika hii leo boss wetu ( moja ya viongozi wakubwa nchi hii) amesema tufunge mikanda hali sio shwari tena. wewe endelea kudhani ni ikulu ya tff.
 
Mpaka 2015 ifike tutakuwa nyang'anyang'a kwa kufilisika. Hapa ndio tutakoma kiherehere cha kuichagua CCM. Mara ooh imetulea! Sasa matuna ndio haya.
 
Aiseee Tanzania Tunasafari ndefu sana... 🙁
 
hongera mkuu kuja jukwaa la wanaume wenzio hizi ndo habari mwanaume anapaswa ajadili

Hizi habari ni ngumu kumeza. Mwaka 2012 tulikuwa tunadaiwa trilioni 21, mwisho wa 2013 tunadaiwa trulioni 27 (trilioni 6 ndani ya mwaka). Halafu makanjanja ya Lumumba yanasema "uchumi unapaa". Mbaya zaidi kuna 'mfujaji' amepewa hiyo Wizara. Sijui itakuwaje....
 
EFD ni false sense of comfort to the government they do serve nothing in pure cash based economy like this. All big transactions are done outside the national payment system.
Waziri wetu ni mjinga hata muundo wa kinywa chake unathibitisha hilo.

Huyu mama anaweza kuwa 'kilaza', Mkapa hakukopa kama JK, na maisha yalikuwa afadhali, sasa mr. FastJet amekopa mara mbili zaidi ya serikali tatu zilizomtangulia, na bado maisha ni magumu ile mbaya. Je zama za Mkapa kulikuwa na EFD's, ili hali zama za JK hakuna???
 
Naona tatizo letu ni kufanya matumizi sana ktk miradi mbalimbali kama ya ujenzi, kilimo, n.k bila kusahau posho kwa hiyo fedha zipo nyingi ktk uchumi na hiyo ndiyo inasababisha matatizo kama mfumuko wa bei (money supply inflation), serikali inabidi ss kufanya mbinu mbalimbali za kupunguza fedha ktk uchumi kama kwa mfano kuuza govt bond n.k

we jamaa Mweupe kabisa, unaweza kuniambia ni Mradi gani amabao serekali imetumia Hela zke kuufanya bila kukopa?
maana nijuavyo hata Kilimo kwanza Vocher za Mbolea hela ni za Mkopo.
 
jaman mimi mbona najiskia uoga?! tupo salama kweli hii nchi?
 
Siasa n mchzo wa kuongea uongo mwingii, ukwel kiduch ili uvute hisia za wanaopenda kukalilshwa, unaa 2, hkna lolote...!
 
Bavicha bana wakiishapiga virobo wanaropoka tu.
Sheikh tupe ukweli wa mambo!ila ni kweli waziri Saada kasema deni ni trillion 27,ehhe nawe tupe Financial Reports za CCM 2012/13
 
Back
Top Bottom