kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,030
Mliolipa mipesa yenu ili mpande ndege kwa ubwete kuweni makini, hili shirika la ndege litayeyuka punde!
Hawa fastjet n shida n matapeli kuna vku nilibadilia tarehe y return wakanicharge laki 136000 sawasawa nimekata ticket upya.nw wameona wana wateja ndio wanavimba vichwa bei ziko juu hamna tofauti n precision
Serikali tunaomba msaada wa hizi ndege zimeanza leta matatizo makubwa sana toka asubuhi atujaondoka toka KIA ukiuliza mnaambiwa ndege inatatizo.
Hili limekuwa ni tatizo ambalo alijapatiwa ufumbuzi na hawa watu wa fastjet wanashindwa toa taarifa kuwa ndege aitakuwepo matokeo yake unafika kama hapa KIA ndo wanakuambia ndege akuna.
Kwa mfano hapa saizi KIA abiria wamekasirika na kumchukua mfanyakazi wa fastjet na kumpeleka polisi kwa sababu abiria wamechukia sana.
Tunaiomba serikali ichunguze hizi ndege kama zina usalama wa abiria kuzipanda
Mliolipa mipesa yenu ili mpande ndege kwa ubwete kuweni makini, hili shirika la ndege litayeyuka punde!
​Nina wasiwasi kuwa huna uzoefu wa kusafiri na shirika hili! Kuna kero nyingi kuhusu huduma zinazotolewa na shirika hili ikiwa na kutoa matangazo feki ya bei za nauli zao!Hivi tatizo la siku moja tu ndio lihusishe na ufisadi.
Hivi kweli ipo siku na mimi nitapanda ndege?
Muda umefika sasa Watanzania tuelewe, fastjet daima wanajitahidi kutoa huduma bora tatizo lililotokea jana la kupata ufa kioo ni la kiusalama sana sasa ulitaka ndege iende hivyohivyo? Tuelimike jamaniii na tuanze kuapreciate na kuisupport fastjet sababu wameleta mapinduzi makubwa sana katika usafiri wa anga.