Serikali tusaidieni Fastjet wamezidisha uhuni

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
661
Serikali tunaomba msaada wa hizi ndege zimeanza leta matatizo makubwa sana toka asubuhi atujaondoka toka KIA ukiuliza mnaambiwa ndege inatatizo.

Hili limekuwa ni tatizo ambalo alijapatiwa ufumbuzi na hawa watu wa fastjet wanashindwa toa taarifa kuwa ndege aitakuwepo matokeo yake unafika kama hapa KIA ndo wanakuambia ndege akuna.

Kwa mfano hapa saizi KIA abiria wamekasirika na kumchukua mfanyakazi wa fastjet na kumpeleka polisi kwa sababu abiria wamechukia sana.

Tunaiomba serikali ichunguze hizi ndege kama zina usalama wa abiria kuzipanda
 
​Shirika hili lazima kuna mkono wa fisadi ndani yake, si bure!!
 
tulieni tu su bora mngepanda mabasi mbona mengi kwenye route yenu hiyo tu tena ni fasta mngekua mmefika dar pamoja na kuwa mngepata nafasi ya kuona vivutio kibao
 
Ila mbona ndo kosa lao la kwanza?? Tuwasamehe bure ila mkuu huwa hucheki status ya flight yako kabla ya kupanda?
 
Ila mbona ndo kosa lao la kwanza?? Tuwasamehe bure ila mkuu huwa hucheki status ya flight yako kabla ya kwenda airport?
 
Hawa fastjet n shida n matapeli kuna vku nilibadilia tarehe y return wakanicharge laki 136000 sawasawa nimekata ticket upya.nw wameona wana wateja ndio wanavimba vichwa bei ziko juu hamna tofauti n precision
 
precision mtalia sana na fastjet
ukweli uko wazi imekuwa ni mkombozi kwa wanyonge
ndege kuchelewa ni kawaida sana hata kwa makampuni makubwa
inaweza kuwa hali ya hewa nk
 
Hawafai
 
Attachments

  • IMG_00000554.png
    IMG_00000554.png
    40.3 KB · Views: 348
serikali tunaomba msaada wa hizi ndege zimeanza leta matatizo makubwa sana toka asubuhi atujaondoka toka KIA ukiuliza mnaambiwa ndege inatatizo
Hili limekuwa ni tatizo ambalo alijapatiwa ufumbuzi na hawa watu wa fastjet wanashindwa toa taarifa kuwa ndege aitakuwepo matokeo yake unafika kama hapa KIA ndo wanakuambia ndege akuna.
Kwa mfano hapa saizi KIA abiria wamekasirika na kumchukua mfanyakazi wa fastjet na kumpeleka polisi kwa sababu abiria wamechukia sana.
Tunaiomba serikali ichunguze hizi ndege kama zina usalama wa abiria kuzipanda

acha kulalama sana mkuu,ungeuliza tatizo kwanza kabla ya kulalamika kiasi chote hicho.ndege ina kama dk 10 tangu imeondoka jnia kwenda jro.kilichotokea mpaka delay ikawepo ni kupasuka kwa kioo kwa ndege yao iliyokuwa inaelekea mwz kutoka dar leo asubuh,hivyo basi ikabidi iwe grounded mara moja kwa ajili ya usalama.mbona pw wamaekuwa na matatizo makubwa zaidi ya haya,ina maana hawa jamaa leo kutokea hilo tatizo ndo kelele zote hizo?unataka serikali ikusaidieje?kila siku sio jumapili,kuna siku mambo huwa hayaendi sawa.ndege iko njiani we subiri ndani ya saa na robo utakuwa hewani kuelekea dar
 
Hawa fastjet n shida n matapeli kuna vku nilibadilia tarehe y return wakanicharge laki 136000 sawasawa nimekata ticket upya.nw wameona wana wateja ndio wanavimba vichwa bei ziko juu hamna tofauti n precision

uwe unapendelea kusoma masharti na vigezo kabla ya kununua tiketi.masharti yao yanasema hivi,ukibadili au ukichelewa ndege,na kama unataka kusafiri na ndege inayofuata inakuwa hivi;kwanza unalipa faini ya kuchelewa ya tsh 40,000/=.pili inatafutwa difference ya nauli ya siku ambayo unataka kusafiri.mfano umechelewa ndege ya leo jioni kwenda mwanza,kwanza utalipa hiyo elf 40,then wanaangalia kwenye system ticket ya kesho asubuh ni kiasi gani.kama ni laki na nusu na wewe tikt yako ulikata elf 80,wanachukua laki na nusu toa elf 80.so utatakiwa uongezee elf 70 kwenye hiyo tkt yako uliyoishaikata ili kuendana na gharama za tkt ya siku hiyo.hii ni mbali na faini uliyolipa
 
Hawa fastjet n shida n matapeli kuna vku nilibadilia tarehe y return wakanicharge laki 136000 sawasawa nimekata ticket upya.nw wameona wana wateja ndio wanavimba vichwa bei ziko juu hamna tofauti n precision

Tujitahidi kuwa tunasoma vigezo na masharti kabla ya kutoa shutma.
 
Ndege ya fast jet iliondoka asubuhi kuelekea mwanza,baada ya muda kama dk 35-40 kioo cha mbele kilipata ufa haijulikani,pengene ndge mnyama alijibamiza,hivyo ilimlazimu rubani kugeuza kuludi Dar,baada ya ile ndege iliyoenda south afrika kuludi,saa 11 na kitu,ilichukua wale abiria wa asubuhi kuwapeka mwanza,ile ndege iliyopata tatizo ipo grounded ikisubili spear ya kioo.
 
serikali tunaomba msaada wa hizi ndege zimeanza leta matatizo makubwa sana toka asubuhi atujaondoka toka KIA ukiuliza mnaambiwa ndege inatatizo
Hili limekuwa ni tatizo ambalo alijapatiwa ufumbuzi na hawa watu wa fastjet wanashindwa toa taarifa kuwa ndege aitakuwepo matokeo yake unafika kama hapa KIA ndo wanakuambia ndege akuna.
Kwa mfano hapa saizi KIA abiria wamekasirika na kumchukua mfanyakazi wa fastjet na kumpeleka polisi kwa sababu abiria wamechukia sana.
Tunaiomba serikali ichunguze hizi ndege kama zina usalama wa abiria kuzipanda

Mkuu,ulitaka iruke ilhali ina tatizo,tujitahidi kuwa na subira jamani.
 
serikali tunaomba msaada wa hizi ndege zimeanza leta matatizo makubwa sana toka asubuhi atujaondoka toka KIA ukiuliza mnaambiwa ndege inatatizo
Hili limekuwa ni tatizo ambalo alijapatiwa ufumbuzi na hawa watu wa fastjet wanashindwa toa taarifa kuwa ndege aitakuwepo matokeo yake unafika kama hapa KIA ndo wanakuambia ndege akuna.
Kwa mfano hapa saizi KIA abiria wamekasirika na kumchukua mfanyakazi wa fastjet na kumpeleka polisi kwa sababu abiria wamechukia sana.
Tunaiomba serikali ichunguze hizi ndege kama zina usalama wa abiria kuzipanda

kwa nini usiulize tatizo kwanza ndo uje uandike thread??? We umeambiwa ndege ina matatizo then mnampeleka mfanya kazi wa watu polisi ili iweje?? na next time kama unaona fastjet ni wahumu ni bora ukapande Ngorika... acha lawama za kike....
 
Back
Top Bottom