Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

- U know siasa ni kama Sheria mara nyingi huongozwa kwa mifano zaidi, hivi ni Taifa gani Duniani lina Serikali Tatu ambalo tunaweza kulitumia kama our Role Model wa hii idea ya Serikali Tatu? Mimi nilidhani tunahitaji kuiongezea nguvu za utawala Mikoa yaani kwa kuirudia ile dhana ya Madaraka Mikoani, lakini Serikali Tatu I mean I am lost maana kama nimeisoma vizuri sana Rasimu ni kwamba Tunatakiwa kuwa na Serikali Tatu, Marais Watatu, Mabunge Matatu, Benki Kuu tatu, Sarafu za Pesa Tatu, Mawaziri Wakuu Watatu!!

- I mean, si niliwahi kusikia kwamba Kamati ya Katiba Mpya inaongozwa na ma-genius now what is this Serikali tatu thing?

Le Mutuz
Mi nakuona mtu mwenye kuelimika na hiyo kofia ulio vaa na joho kubwa kumbe hamuna kitu ? Hivi wewe ulitaka serikali 5 ? Hujui kwamba nchi zilizo ungana ni mbili ambazo ziko huru ? Tanganyika na zanzibar. Unataka mifamo ?

United Kingdom
Kuna serikali ya
Wales- Ina bunge lake Katiba na mawaziri-bendera na wimbo wa taifa
scottland- Inabunge lake katiba na mawaziri,bendera na wimbo wa taifa
England- Ina bunge lake Katiba na Mawaziri ,bendera na wimbo wa taifa
Northen Ireland ni hivyo hivyo.

Kuna mbunge la muungano na mawaziri wa muungano wa United kingdom.

The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland,[SUP][nb 6][/SUP] commonly known as the United Kingdom (UK) or Britain, is a sovereign state located off the north-western coast of continental Europe. The country includes the island of Great Britain, the north-eastern part of the island of Ireland, and many smaller islands. Northern Ireland is the only part of the UK that shares a land border with another state-the Republic of Ireland.[SUP][nb 7][/SUP] Apart from this land border, the UK is surrounded by the Atlantic Ocean in the west and north, the North Sea in the east, the English Channel in the south, and the Irish Sea in the west.
The UK's form of government is a constitutional monarchy[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP] with a parliamentary system and its capital city is London. It is also a Commonwealth Realm. The United Kingdom consists of four countries: England, Scotland, Wales, and Northern Ireland.[SUP][11][/SUP] The latter three have devolved administrations,[SUP][12][/SUP] each with varying powers,[SUP][13][/SUP][SUP][14][/SUP] based in their capital cities, Edinburgh, Cardiff, and Belfast, respectively. Guernsey, Jersey, and the Isle of Man are Crown dependencies and are not part of the UK.[SUP][15][/SUP] The United Kingdom has fourteen British Overseas Territories.[SUP][16][/SUP] These are remnants of the British Empire which, at its height in the late 19th and early 20th centuries, encompassed almost a quarter of the world's land mass and was the largest empire in history. British influence can be observed in the language, culture, and legal systems of many of its former colonies.
The United Kingdom is a developed country and has the world's sixth-largest economy by nominal GDP and eighth-largest economy by purchasing power parity. It was the world's first industrialised country[SUP][17][/SUP] and the world's foremost power during the 19th and early 20th centuries.[SUP][18][/SUP] The UK remains a great power with considerable economic, cultural, military, scientific, and political influence internationally.[SUP][19][/SUP][SUP][20][/SUP] It is a recognised nuclear weapons state and its military expenditure ranks fourth in the world.[SUP][21][/SUP]
The UK has been a permanent member of the United Nations Security Council since its first session in 1946. It has been a member of the European Union (EU) and its predecessor the European Economic Community (EEC) since 1973; it is also a member of the Commonwealth of Nations, the Council of Europe, the G7, the G8, the G20, NATO, the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), and the World Trade Organization (WTO).

Jee una suala lolote ? Rudi kasome mkuu
 
The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland,[SUP][nb 6][/SUP] commonly known as the United Kingdom (UK) or Britain, is a sovereign state located off the north-western coast of continental Europe. The country includes the island of Great Britain, the north-eastern part of the island of Ireland, and many smaller islands. Northern Ireland is the only part of the UK that shares a land border with another state—the Republic of Ireland.[SUP][nb 7][/SUP] Apart from this land border, the UK is surrounded by the Atlantic Ocean in the west and north, the North Sea in the east, the English Channel in the south, and the Irish Sea in the west.
The UK's form of government is a constitutional monarchy[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP] with a parliamentary system and its capital city is London. It is also a Commonwealth Realm. The United Kingdom consists of four countries: England, Scotland, Wales, and Northern Ireland.[SUP][11][/SUP] The latter three have devolved administrations,[SUP][12][/SUP] each with varying powers,[SUP][13][/SUP][SUP][14][/SUP] based in their capital cities, Edinburgh, Cardiff, and Belfast, respectively. Guernsey, Jersey, and the Isle of Man are Crown dependencies and are not part of the UK.[SUP][15][/SUP] The United Kingdom has fourteen British Overseas Territories.[SUP][16][/SUP] These are remnants of the British Empire which, at its height in the late 19th and early 20th centuries, encompassed almost a quarter of the world's land mass and was the largest empire in history. British influence can be observed in the language, culture, and legal systems of many of its former colonies.
The United Kingdom is a developed country and has the world's sixth-largest economy by nominal GDP and eighth-largest economy by purchasing power parity. It was the world's first industrialised country[SUP][17][/SUP] and the world's foremost power during the 19th and early 20th centuries.[SUP][18][/SUP] The UK remains a great power with considerable economic, cultural, military, scientific, and political influence internationally.[SUP][19][/SUP][SUP][20][/SUP] It is a recognised nuclear weapons state and its military expenditure ranks fourth in the world.[SUP][21][/SUP]
The UK has been a permanent member of the United Nations Security Council since its first session in 1946. It has been a member of the European Union (EU) and its predecessor the European Economic Community (EEC) since 1973; it is also a member of the Commonwealth of Nations, the Council of Europe, the G7, the G8, the G20, NATO, the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), and the World Trade Organization (WTO).

Jee una suala lolote ? Rudi kasome mkuu

Hahaha mkuu

Nashukuru sana kwa kumfundisha huyu ndugu yetu!

Asante sana!
 
Mi nakuona mtu mwenye kuelimika na hiyo kofia ulio vaa na joho kubwa kumbe hamuna kitu ? Hivi wewe ulitaka serikali 5 ? Hujui kwamba nchi zilizo ungana ni mbili ambazo ziko huru ? Tanganyika na zanzibar. Unataka mifamo ?

United Kingdom
Kuna serikali ya
Wales- Ina bunge lake Katiba na mawaziri-bendera na wimbo wa taifa
scottland- Inabunge lake katiba na mawaziri,bendera na wimbo wa taifa
England- Ina bunge lake Katiba na Mawaziri ,bendera na wimbo wa taifa
Northen Ireland ni hivyo hivyo.

Kuna mbunge la muungano na mawaziri wa muungano wa United kingdom.

The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland,[SUP][nb 6][/SUP] commonly known as the United Kingdom (UK) or Britain, is a sovereign state located off the north-western coast of continental Europe. The country includes the island of Great Britain, the north-eastern part of the island of Ireland, and many smaller islands. Northern Ireland is the only part of the UK that shares a land border with another state-the Republic of Ireland.[SUP][nb 7][/SUP] Apart from this land border, the UK is surrounded by the Atlantic Ocean in the west and north, the North Sea in the east, the English Channel in the south, and the Irish Sea in the west.
The UK's form of government is a constitutional monarchy[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP] with a parliamentary system and its capital city is London. It is also a Commonwealth Realm. The United Kingdom consists of four countries: England, Scotland, Wales, and Northern Ireland.[SUP][11][/SUP] The latter three have devolved administrations,[SUP][12][/SUP] each with varying powers,[SUP][13][/SUP][SUP][14][/SUP] based in their capital cities, Edinburgh, Cardiff, and Belfast, respectively. Guernsey, Jersey, and the Isle of Man are Crown dependencies and are not part of the UK.[SUP][15][/SUP] The United Kingdom has fourteen British Overseas Territories.[SUP][16][/SUP] These are remnants of the British Empire which, at its height in the late 19th and early 20th centuries, encompassed almost a quarter of the world's land mass and was the largest empire in history. British influence can be observed in the language, culture, and legal systems of many of its former colonies.
The United Kingdom is a developed country and has the world's sixth-largest economy by nominal GDP and eighth-largest economy by purchasing power parity. It was the world's first industrialised country[SUP][17][/SUP] and the world's foremost power during the 19th and early 20th centuries.[SUP][18][/SUP] The UK remains a great power with considerable economic, cultural, military, scientific, and political influence internationally.[SUP][19][/SUP][SUP][20][/SUP] It is a recognised nuclear weapons state and its military expenditure ranks fourth in the world.[SUP][21][/SUP]
The UK has been a permanent member of the United Nations Security Council since its first session in 1946. It has been a member of the European Union (EU) and its predecessor the European Economic Community (EEC) since 1973; it is also a member of the Commonwealth of Nations, the Council of Europe, the G7, the G8, the G20, NATO, the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), and the World Trade Organization (WTO).

Jee una suala lolote ? Rudi kasome mkuu
Hii copy & paste yako haina mantiki yoyote katika serikali tatu za Tanzania.

Hivi unafahamu matatizo ya kisiasa yaliyopo na yanayofukuta katika nchi za Scotland na Northern Ireland kuhusiana na muungano?

Tafuta muungano mwingine ambao utaisimamia hoja yako lakini usilete huu wa UK ambao kuna mchakato wa kuwepo na kura ya maoni hapo tarehe 18 sept 2013 kwa watu wa Scotland kuwa na SAY kama wapewe uhuru wao na waachane na serikali ya England.

Muungano wa UK haufai hata kuutolea mfano kutokana na matatizo yaliyopo na kwa jinsi hii unaonekana kama hufahamu kilichoko nyuma ya pazia la kisiasa la UK.
 
- Afadhali umemjibu wewe kuliko ningemjibu mimi maana ingekuwa noma tupu, yaani unataka na sisi tuanze vita kama vya Ireland? duh kweli jamaa ni bure kabisa!!

Le Mutuz
 
Yericko,
UK muundo wake ni kama wa Tanzania ya leo. Yaani nchi ndogo kwenye muungano wao zina serikali zao ambazo ni Scotland. Wales, na Northern Ireland. Nchi kubwa kwenye huu muungano ni England ambayo haina serikali.

Baada ya hapo ndio kuna serikali kuu ya United Kingdom ambayo ni kwa nchi zote. Pia wana mapungufu sawa tu na haya ambayo sisi tunayo TZ. kwa mfano waziri wa afya wa UK anaweza kutoka Scotland ambako wana wizara yao ya afya na akafanya maamuzi ambayo hayana effect kule Scotland isipokuwa England. Watu wa England wanalalamika kama tunavyolalamika sisi watu wa Tanganyika.

Pia Scotland wanataka kujitenga kama ambavyo Zanzibar wanataka kujitenga.

Kwahiyo muundo wao UK unafanana sana na muundo wa serikali mbili kwa TZ kama ilivyo sasa.

- Afadhali umemsaidia kumjibu maana jamaa haelewi kabisa kwamba hakuna nchi Duniani yenye Serikali tatu!

Le Mutuz
 
- Sio kweli mkuu sana USA ina Serikali mbili Federal na States tu, halafu wana 52 States sio 50!

Le Mutuz

Eti umesoma USA, kweli USA ina state 52?!! Dhaaaa. Kama ina state 52 mbona kuna maseneta 100 kwenye bunge la seneti wakati constitutionally kila state inatakiwa kuwa na seneta wawili (2)?
 
- Pole sana ndio matatizo ya kukosa elimu so husomi wala hufanyi utafiti, unakurupuka tu hapa na kwa sababu hujasoma unadhani kila mmoja ni kama wewe, ungefanya utafiiti kabla ya kuandika ungegundua kwamba State ya 52 ni visiwa vya Puerto Rico ambavyo ndio kwanza vimekubaliwa kujiunga na USA kama State katika Federal Government, bado havijapewa haki za kuwakilishwa kwenye Sanate na Congress, ndio kwamnza vimeanza kupewa haki za kimarekani lakini vinahesabiwa katika 52 States za USA.

- Pole sana elimu sio ya kila mtu mkuu wangu!! ha! ha!

Le Mutuz
 
USA haina serikali mbili ina serikali moja tu na raisi mmoja tu. Kuna serikali ya states lakini sio kama Zanzibar kwasababu hawana raisi wana ma Gavana tu. Mfumo wa Kenya ndiyo mfumo wa USA na kama tunataka mfumo wa USA basi katiba yetu iwe kama ya Kenya. Kwa ufupi tuwe na serikali ya majimbo kama Marekani na raisi mmoja tu na sio wawili au watatu. Huwezi kupinga serikali tatu ukakubali serikali mbili!!!. Tu chague lakini raisi wa nchi mmoja anatakiwa kuwa mmoja tu hata kwenye majimbo.
 
- U know siasa ni kama Sheria mara nyingi huongozwa kwa mifano zaidi, hivi ni Taifa gani Duniani lina Serikali Tatu ambalo tunaweza kulitumia kama our Role Model wa hii idea ya Serikali Tatu? Mimi nilidhani tunahitaji kuiongezea nguvu za utawala Mikoa yaani kwa kuirudia ile dhana ya Madaraka Mikoani, lakini Serikali Tatu I mean I am lost maana kama nimeisoma vizuri sana Rasimu ni kwamba Tunatakiwa kuwa na Serikali Tatu, Marais Watatu, Mabunge Matatu, Benki Kuu tatu, Sarafu za Pesa Tatu, Mawaziri Wakuu Watatu!!

- I mean, si niliwahi kusikia kwamba Kamati ya Katiba Mpya inaongozwa na ma-genius now what is this Serikali tatu thing?

Le Mutuz
Labda nianze kukuuliza kabla hujarukia mfumo wa serikali 3, Je huu mfumo tulionao sasa hivi wewe mwenzetu umeuelewa??? au nao unakupashida kuuelewa???Kama uliopo unauelewa basi wa serikali 3 ndo muundo original mana muundo huu tulionao ni baada ya uchakachuaji wa mfumo wa serikali 3.

Binafsi naona Muundo wa serikali 3 ndo upo clearer than muundo tulionao sasa hivi! Wewe hutaki kuuelewa mfumo wa serikali 3 kwa vile CDM inasupport muundo wa serikali 3 au kwa vile CCM haiiafiki hoja ya serikali 3??au ni wapi panakutatiza??

Mimi nadhan ukitulia wewe kama wewe na sio wewe kama kiongoz wa CCM na mwana CCM AU kama ukijitahidi kifikiria kama mtu huru bila kubeba itikadi ya chama chako, naimani muundo wa serikali 3 unaeleweka kirahisi zaidi kuliko serikali Mbili tulizonazo sasa.
 
- Ha! ha! ha! ha! ha! ha! siasa za baba tena si tutajaza forums na habari za baba imagine habari za baba yako, baba wa kila mtu si itakuwa balaa!! ha! ha1

Le Mutuz

Le Mutuz, hujanielewa, hii kitu sio mara ya kwanza kuja bongo, imeisha jadiriwa sana hata mjengeni, wakati mshua wako akiwa PM aliibariki kabisa hi kitu na to be frank ndio iliomuondolea Credibility kwa mzee mchonga, kasikilize tena hutoba za Mwl. Nyerere utasikia hiyo kitu, alimlaumu sana PM (Mzee J. Malecela) na aliyekua katibu mkuu wa ccm, Horace Kolimba RIP, aliienda mbali zaidi akasema, kama kitu hii ingeanzishwa na wapinzani (kumbuka wakati huo, tayari tulikua na mfumo wa vyama vingi though uchaguzi ulikua bado hence bunge still lilikua na wabunge wa magamba pekee) asingekua na nongwa lakini kwa wabunge wa ccm, hiyo hapana cause ndio msimamo wa chama! SO kwa haraka haraka nadhani na wewe umeweka zaidi nadharia za kichama zaidi kuliko akili yako binafsi, to make the story short we unapendaje? Binafsi muungano wa nchi 2 halafu 1 inakufa while nyingine bado ipo hai, kwangu naona kiini macho, kama mazingaombwe vile?
 
- u know siasa ni kama sheria mara nyingi huongozwa kwa mifano zaidi, hivi ni taifa gani duniani lina serikali tatu ambalo tunaweza kulitumia kama our role model wa hii idea ya serikali tatu? Mimi nilidhani tunahitaji kuiongezea nguvu za utawala mikoa yaani kwa kuirudia ile dhana ya madaraka mikoani, lakini serikali tatu i mean i am lost maana kama nimeisoma vizuri sana rasimu ni kwamba tunatakiwa kuwa na serikali tatu, marais watatu, mabunge matatu, benki kuu tatu, sarafu za pesa tatu, mawaziri wakuu watatu!!

- i mean, si niliwahi kusikia kwamba kamati ya katiba mpya inaongozwa na ma-genius now what is this serikali tatu thing?

Le mutuz
naona mmeanza kurudi kwenye wazo la serikali za majimbo. Sio mbaya rudini kwenye majimbo tunawakaribisha sana. Kumbe kuna siku unaachaga u gamba unarudi kwenye reality?
 
Nami naomba nikuulize swali LE MUTUZI hivi uliwahi kuona wap serikali mbili na nusu

- U know siasa ni kama Sheria mara nyingi huongozwa kwa mifano zaidi, hivi ni Taifa gani Duniani lina Serikali Tatu ambalo tunaweza kulitumia kama our Role Model wa hii idea ya Serikali Tatu? Mimi nilidhani tunahitaji kuiongezea nguvu za utawala Mikoa yaani kwa kuirudia ile dhana ya Madaraka Mikoani, lakini Serikali Tatu I mean I am lost maana kama nimeisoma vizuri sana Rasimu ni kwamba Tunatakiwa kuwa na Serikali Tatu, Marais Watatu, Mabunge Matatu, Benki Kuu tatu, Sarafu za Pesa Tatu, Mawaziri Wakuu Watatu!!

- I mean, si niliwahi kusikia kwamba Kamati ya Katiba Mpya inaongozwa na ma-genius now what is this Serikali tatu thing?

Le Mutuz
 
Le Mutuz, hujanielewa, hii kitu sio mara ya kwanza kuja bongo, imeisha jadiriwa sana hata mjengeni, wakati mshua wako akiwa PM aliibariki kabisa hi kitu na to be frank ndio iliomuondolea Credibility kwa mzee mchonga, kasikilize tena hutoba za Mwl. Nyerere utasikia hiyo kitu, alimlaumu sana PM (Mzee J. Malecela) na aliyekua katibu mkuu wa ccm, Horace Kolimba RIP, aliienda mbali zaidi akasema, kama kitu hii ingeanzishwa na wapinzani (kumbuka wakati huo, tayari tulikua na mfumo wa vyama vingi though uchaguzi ulikua bado hence bunge still lilikua na wabunge wa magamba pekee) asingekua na nongwa lakini kwa wabunge wa ccm, hiyo hapana cause ndio msimamo wa chama! SO kwa haraka haraka nadhani na wewe umeweka zaidi nadharia za kichama zaidi kuliko akili yako binafsi, to make the story short we unapendaje? Binafsi muungano wa nchi 2 halafu 1 inakufa while nyingine bado ipo hai, kwangu naona kiini macho, kama mazingaombwe vile?

- Naunga mkono Serikali Mbili zilivyo sasa na Muungano udumu daima,

Le Mutuz
 
Kirobaaaaaaa
Muulize mwenyekiti
wako aliyewateua alafu haamini kazi aliyowapa.Kigeugeu ni jadi ya CCM
pale waonapo wateule wao hawaimbi wimbo waliotarajiwa.Shame on all of u
Pro CCM propagandists. Sijui uongozi mbovu mliuga wapi vile wataalam ka
kuigiza!
 
USA ina serikali 53

Serikali 53? Zipi na zipi hizo?

(1) Serikali KUU

Naam, hiyo inaitwa Federal Government

(2) Na 52 ni Serikali za majimbo

Hizi serikali 52 ni za majimbo yapi? Maana Marekani ina majimbo 50 tu.

Kila jibo lina utawala wake wa ndani,

Ni kweli. Na serikali hizo zinaitwa State Governments.

Mfano: Jimbo la California haliendani kiutawala na jimbo la Chicago

Hakuna jimbo linaloitwa Chicago.
 
- U know siasa ni kama Sheria mara nyingi huongozwa kwa mifano zaidi, hivi ni Taifa gani Duniani lina Serikali Tatu ambalo tunaweza kulitumia kama our Role Model wa hii idea ya Serikali Tatu? Mimi nilidhani tunahitaji kuiongezea nguvu za utawala Mikoa yaani kwa kuirudia ile dhana ya Madaraka Mikoani, lakini Serikali Tatu I mean I am lost maana kama nimeisoma vizuri sana Rasimu ni kwamba Tunatakiwa kuwa na Serikali Tatu, Marais Watatu, Mabunge Matatu, Benki Kuu tatu, Sarafu za Pesa Tatu, Mawaziri Wakuu Watatu!!

- I mean, si niliwahi kusikia kwamba Kamati ya Katiba Mpya inaongozwa na ma-genius now what is this Serikali tatu thing?

Le Mutuz
Kwa hii thread na wewe ni Great Thinker?
 
duu sijaona nyambafu kama wewe.
nakuunga mkono sana kwa
hoja yako nadhifu kama tai. Tanzania imezoea kufanya mambo mengi yasio
na maana usoni mwa mataifa ya kiafrica mojawapo ni muungano wa TZ na
ZNZ. mambo mengine yasio igika na ambayo tumedharauliwa usoni mwa
mataifa ya kiafrica ni:
1-kufuata siasa ya kikomunisti ambayo sisi tulidanganywa kuwa Ujamaa na
kujitegemea.
2-kuvunja lugha ya kiingereza kutumika kama mtaala wa kufundishia
mashuleni shule za msingi.
3-kupiga marufuku mbio za magari za east african rally, eti tunawakomoa
mabepari.
4-raisi wetu kumpigia kampeni Muamar Gadafi ya uenyekiti wa OAU mwaka
1980 huku africa nzima ikisusia mkutano huo kufanyika Libya na wakati
huo huo Gadafi katoka kutuvamia ardhi yetu nakupigana naye vita.
5-kuweka sherehe ya kuwatukana wayahudi(palestina day)
6-serikali kuwafukuza Tambwe Leya na Nanbi Kamara mwaka 1976, eti
walikuwa majasusi wa CIA!
7-kuifanyia mizengwe ziara ya Pele nchini Tanzania mwaka 1975 mpaka
ikafutwa na serikali.
8-Kulaani Israel kuokoa mateka wake pale entebe na kupeleka matusi
mabaya sana UN.

hakuna nchi hata moja ya watu weusi iliyowahi kutuiga upuuzi kama huo.
leo hii mimi sishangai kusikia hata muungano unatushinda kuufanya wa
serikali moja .
 
- Sio kweli mkuu sana USA ina Serikali mbili Federal na States tu, halafu wana 52 States sio 50!

Le Mutuz
Bro unaonekana mchanga sana kwenye siasa za hii dunia. Hebu jipe mazoezi ya kusoma, just visit wikipedia au just google utajifunza mambo mengi humo. Internet sio kwa ajili ya wanasayansi peke yao.

Tusiwe mafundi tu wa kunnua, kubeba na kuzunguka na vifaa vya kielectronic km ma Samsung s4, ma IPAD n.k kama hatujui kuyatumia efficiently.
 
Back
Top Bottom