Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

Kati ya ujinga mkubwa serikali ya SSH inayofanya ni inshu ya Corona, itaumiza uchumi wa utalii sana, mtu anakuja tayari ana PCR certificate unamlazimisha kufanya kipimo tena ili iwaje tena ni rapid test, huo ni ujinga wa kwanza.

Pili, wamelazimisha mtu ambaye ni foreigner na sio resident akae 14 days quarantine, hii sheria bado hawajaanza ku enforce sana ila kwa lugha rahisi hutaki wageni wala watalii wala wafanyabiashara, je nani muathirika wa mwisho hapa kama watu wa mahotel, utalii na chain nzima?

Tatu, SSH anatuandaa na ujinga wa chanjo, tena kwa kutumia fedha za walipakodi, huu ni ujinga pia.

Mwisho, amejaribu mabarakoa kila mtu amemdharau, ameachana nayo, yeye aendelee kuvaa hayo mabarakoa yake awe kama katuni ila asitulazimishe na sisi tuvae hayo mabarakoa.
 
Sasa hao wanaoshughulika na watalii kazi yao ni nini? Wanashindwa nini kuwaweka sawa?
Waweke nini sawa wakati hizo ndio sheria mpya za mama yetu mpendwa mwenye akili nyingi anayetaka kufungulia kila takataka iingie nchini huku watalii halali anawawekea vizuizi.
 
mimi ningeshauri serikali itazame swala zima la kutumia convalescent plasma kwa wagonjwa wa covid-19.

wale waliopona waweze kuwa sehemu kubwa ya mchango! na huenda kuna watu wanaumwa na kupona bila swala zima la dawa!

kama bonasi, ningependa kuona uhusiano wetu na Cuba unaboreshwa zaidi ili sector ya afya inufaike!

wazo tu!
 
Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana.

Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na gharama za kupima Corona. Licha ya kuwa hawa wote walikuwa na change (vaccination) kutoka nchini kwao Marekani, na kadi ya kuonyesha walipewa chanjo walikuwa nazo.

Walipoingia nchini, Walilazimishwa kulipa $100 kila mmoja kwa jailli ya kupima Corona na wala majibu hawakuyaona. Walipokuwa wanarejea makwao, walilazimishwa kukaa siku tatu zaidi Hotelini kusubiria majibu ya Corona nje ya kulipishwa $175 nyingine kila mmoja kwa jailli ya vipimo ili waweze kusafiri.

Mbaya Zaidi, wanne kati yao majibu yao ya kwanza yalirudi wana Corona Virus. Walipo rudi kupima mara ya pili, majibu yakarudi Negative.

Kwa kifupi hawa wageni walikuwa wanajuta kuja kutalii Tanzania, kwa maana usumbufu na gharama kuja Tanzania ni kubwa mno. Nchi nyingi za Magharibi unapokuwa na cheti cha kuonyesha umechanjwa, hakuna usumbufu mwingine. Walichoniuliza, ni kwamba, wanaporudi kwao, wanaenda kuonyesha karatasi la kupimwa kutoka Tanzania, au Chanjo waliyopewa Marekani?

Nadhani ni muda serikali ikaangalia hili swala kwa undani kwa sababu tunachafuka mno. Wale watalii kamwe hawatarudi Tanzania, na hatujui hiyo sumu wataisambaza wapi na kwa nani. Hatuwezi kutajirika kwa hizi vijihela vya $100.

Gharama ya kurekebisha hii uharibifu ni mkubwa mno.
Mtalii anayeenda Tanzania sasa hivi anajitafutia matatizo tu.

Nchi haitaki kupima watu, haitaki chanjo, haina uwazi, bado unang'ang'ania kwenda kutalii?

Wakimpiga huko ada za ajabu ajabu atalalamika?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mtalii anayeenda Tanzania sasa hivi anajitafutia matatizo tu.

Nchi haitaki kupima watu, haitaki chanjo, haina uwazi, bado unang'ang'ania kwenda kutalii?

Wakimpiga huko ada za ajabu ajabu atalalamika?
Lakini Mama si kaunda tume au sijui ni kamati ile…

Bado haijatoa mwongozo?
 
Kwa kifupi hawa wageni walikuwa wanajuta kuja kutalii Tanzania, kwa maana usumbufu na gharama kuja Tanzania ni kubwa mno. Nchi nyingi za Magharibi unapokuwa na cheti cha kuonyesha umechanjwa, hakuna usumbufu mwingine. Walichoniuliza, ni kwamba, wanaporudi kwao, wanaenda kuonyesha karatasi la kupimwa kutoka Tanzania, au Chanjo waliyopewa Marekani?

Nadhani ni muda serikali ikaangalia hili swala kwa undani kwa sababu tunachafuka mno. Wale watalii kamwe hawatarudi Tanzania, na hatujui hiyo sumu wataisambaza wapi na kwa nani. Hatuwezi kutajirika kwa hizi vijihela vya $100.
Sijui mchawi wetu ni nani?
Nahisi tamaa binafsi za baadhi ya watendaji serikalini?
Kuna baadhi ya watumishi wamekosa kabisa uzalendo, wanafanya mambo to serve their personal interests bila kuangalia madhara kwa taifa
 
Waweke nini sawa wakati hizo ndio sheria mpya za mama yetu mpendwa mwenye akili nyingi anayetaka kufungulia kila takataka iingie nchini huku watalii halali anawawekea vizuizi.
Duu sijui Tanzania tulirogwaga na nani jamani!
 
Kati ya ujinga mkubwa serikali ya SSH inayofanya ni inshu ya Corona, itaumiza uchumi wa utalii sana, mtu anakuja tayari ana PCR certificate unamlazimisha kufanya kipimo tena ili iwaje tena ni rapid test, huo ni ujinga wa kwanza.

Pili, wamelazimisha mtu ambaye ni foreigner na sio resident akae 14 days quarantine, hii sheria bado hawajaanza ku enforce sana ila kwa lugha rahisi hutaki wageni wala watalii wala wafanyabiashara, je nani muathirika wa mwisho hapa kama watu wa mahotel, utalii na chain nzima?

Tatu, SSH anatuandaa na ujinga wa chanjo, tena kwa kutumia fedha za walipakodi, huu ni ujinga pia.

Mwisho, amejaribu mabarakoa kila mtu amemdharau, ameachana nayo, yeye aendelee kuvaa hayo mabarakoa yake awe kama katuni ila asitulazimishe na sisi tuvae hayo mabarakoa.
Amini nakwambia. Covid itarudi tena kuanzia October kama amvavyo imefanya na kuondoka na watu kibao mwaka Jana na mwaka juzi. Barakoa na chanjo ndio moja ya preventive measures. Acheni ujinga wa kumwiga Magu kisha akaondoka kwa kovid hiyo hiyo
 
Acha na sisi tujiridhishe kama wao wanavyo tufanyiaga,nilikwenda kwao tulipekenyuliwa zaidi ya saa nzima tuko watatu tu,kisa mmoja wetu alikuwa na madevu kama msitu.
 
sasa huko kwenye madevu walikuwa wanapekenyua nini au chawa na kunguni?
 
Amini nakwambia. Covid itarudi tena kuanzia October kama amvavyo imefanya na kuondoka na watu kibao mwaka Jana na mwaka juzi. Barakoa na chanjo ndio moja ya preventive measures. Acheni ujinga wa kumwiga Magu kisha akaondoka kwa kovid hiyo hiyo
Wewe acha kutisha watu hebu tutajie nchi ambayo hawafi kwa sababu wanavaa mask na wamechanjwa? Hao wenyewe waliotengeza chanjo wako lockdown,wanaogopa nini si wamechanjwa? October ikirudi itarudi kwenye familia yako tu,na itaanza na wewe.
 
Kinacho shangaza kwanini mtu aombee irudi badala yakuomba itokomee huko huko! Yaani binadamu sie hata sijui vichwa vyao vinanini
 
Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana.

Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na gharama za kupima Corona. Licha ya kuwa hawa wote walikuwa na change (vaccination) kutoka nchini kwao Marekani, na kadi ya kuonyesha walipewa chanjo walikuwa nazo.

Walipoingia nchini, Walilazimishwa kulipa $100 kila mmoja kwa jailli ya kupima Corona na wala majibu hawakuyaona. Walipokuwa wanarejea makwao, walilazimishwa kukaa siku tatu zaidi Hotelini kusubiria majibu ya Corona nje ya kulipishwa $175 nyingine kila mmoja kwa jailli ya vipimo ili waweze kusafiri.

Mbaya Zaidi, wanne kati yao majibu yao ya kwanza yalirudi wana Corona Virus. Walipo rudi kupima mara ya pili, majibu yakarudi Negative.

Kwa kifupi hawa wageni walikuwa wanajuta kuja kutalii Tanzania, kwa maana usumbufu na gharama kuja Tanzania ni kubwa mno. Nchi nyingi za Magharibi unapokuwa na cheti cha kuonyesha umechanjwa, hakuna usumbufu mwingine. Walichoniuliza, ni kwamba, wanaporudi kwao, wanaenda kuonyesha karatasi la kupimwa kutoka Tanzania, au Chanjo waliyopewa Marekani?

Nadhani ni muda serikali ikaangalia hili swala kwa undani kwa sababu tunachafuka mno. Wale watalii kamwe hawatarudi Tanzania, na hatujui hiyo sumu wataisambaza wapi na kwa nani. Hatuwezi kutajirika kwa hizi vijihela vya $100.

Gharama ya kurekebisha hii uharibifu ni mkubwa mno.
You have spoken facts. Kuna vitu vinakera sana nchi hii
 
Back
Top Bottom