Serikali pigeni marufuku pombe nchini

Serikali pigeni marufuku pombe nchini

.
tapatalk_1574875034888.jpeg
 
Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.

Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi

Nawasilisha.
sema serikali inatakiwa kupiga ban habari za kinoko noko kama hii yako. Bia zikipigwa ban pato la taifa utachangia wewe na tu juisi twako ?
 
Unaweza kuta mtoa mada naye alibebwa mimba miezi tisa. Jinga sana wewe.
 
Back
Top Bottom