looly
Senior Member
- Sep 14, 2015
- 183
- 99

Kwan wauzaji na watengenezaji wa pombe huoni wakifanya kazi ??? Kweli ww ni Africa tanzania.Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.

SHIKAMOO dada sijambo... Nitakupigia kesho tuongee
Nawaza saa ifike nijipatie ka White kangu!!!! Hujambo?
Sawa mimi nipo online muda wote.SHIKAMOO dada sijambo... Nitakupigia kesho tuongee
Sawa mimi nipo online muda wote.
Hama nchi kama vipi usitupangie jinsi ya kuishiKwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Hama nchi kama vipi usitupangie jinsi ya kuishi
Huko kwenye pombe ndiko serikali inakotegemea ....tengua kauli kabla hawajakuskia au punguza volumeKwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Mh.....mausha bila pombe hata mbinguni hakuna..Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Mwanaume kutokunywa pombe tena zile kali kali ni umama.Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Kweli jamaa mjanja sana. Mimi nimemuelewa . Pombe marufuku.Unamaanisha pombe kinywaji au pombe bwana mkubwa??
Majaliwaipige marufuku pombe alafu tunywe nn mkuu??