Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,578
- 1,817
Akili imepata kutu nini?Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.



