Serikali pigeni marufuku pombe nchini

Serikali pigeni marufuku pombe nchini

Wee unafikiri mapato ya nchi yatapatikana wapi wakati hiyo pombe na sigara ndio inaingizia hela serikali kuliko vitu vyote
 
Kama mkuu unashindwa kuelewa contribution ya viwanda vya vileo kwenye uchumi nina wasi wasi na uelewa wako wa maswala ya kiuchumi. Au unafikiri pombe wanazokunywa watu wanachota kwenye mito na mifereji mkuu
 
Uchumi wa nchi umeshikiliwa na pombe na sigara halafu unataka wapige marufuku mapato watakusanya kwenye familia yenu?
 
Haya ni mawazo yangu tu mkuu
Kwani unadhani Serikali haijui ikipiga marufuku za viwandani kuna za kienyeji ambazo hazidhibitiki? Kwanza hebu niambie mlevi gani kakuudhi ili jioni tumjadili kwenye kikao cha dharura?
 
Back
Top Bottom