The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,327
- 3,203
ipige marufuku pombe alafu tunywe nn mkuu??
Sijui hata nikutukane tusi gani...
Ajira zimekuwa adimu mkuu hivyo kuna wanywaji wanagongea (si unajua mlevi anaku yima chakula anakununulia pombe) pia hicho ni mojakati ya vyanzo vikuu vya mapato nchiniKwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Aliekudanganya unywaji pombe unachelewesha maendeleo nani. Halafu wakizuia hilo gap la kodi inayokusanywa kupitia uuzaji wa pombe utaliziba wewe.Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Hivi unajua kwamba kodi ya pombe, na hasa bia, ndio inayoongoza kwa mapato makubwa ya serikali nchini? Serikali kwa sasa inapata fedha nyingi kutokana na mauzo ya bia kuliko hata dhahabu na Tanzanite.Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Mkuu unataka utupoteze.. makampuni yanayo yanayotoa Kodi kubwa hapa bongo Ni makampuni ya kutengeneza Pombe.. Tunaweza kuchelewa kukamilisha ujenzi wa SGR kwa sababu ya ushauri Kama huuKwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Huku kwetu " Konyagi" tunapimiwa kuanzia Mia tano.
Tunaachaje pombe.halafu ka glass ni kaduchu mno yaani sina jinsi, hata nikisema ninunue mizinga mi2 niweke ndani haichukui siku mbili imeisha tafadhali konyagi walete glass kama zile Germany pegs.