Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,253
Ndoto imeisha sasa
Sawa, ngoja nikojoe kwenye kopo hapa hapa ndani
Sawa, ngoja nikojoe kwenye kopo hapa hapa ndani
Wote wasiotumia pombe ni matajiri?

Me sinywi pombe ila naona unauwivu na wanywaji na wauzaji wa pombe yani.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Tutawapataje ma barmaid kama si pombe
Ina stimu?Maji na juis za kutengeneza na brenda,
Hiyo haiwezi tokea Kwa TZ...Pombe kinywaji![]()
Hiyo haiwezi tokea Kwa TZ...
Kama nchi tajiri watu wafanye kazi ya nini badala ya kuufurahia utajiri kwa kunywa pombeNchi hii ni tajiri" na utajiri sio kwa pombe....



Daah kunakuwaga na mada za kijinga sana!!!
wakati mwingine., I sorry to say that...
Kwakupitia bandiko lako hili inaonesha ni kiasi gani u mbumbumbu kuhusiana na maswala ya uchumi.Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Kwetu mahari ni pombe, ndoa lazima pombe iwepo, mtoto akizaliwa anapewa kakonyagi ili kutuliza tumbo, misiba yote bila pombe ni kwisheni. Shughuli zote bila pombe ni bure heri msipike chakula. Watu wanatoka nyumbani wameshiba ili wajipatie raha zao. Ngoma na pombe ndo raha ya kwetu.Najua....Ila madhara yake ni makubwa kuliko faida
Nawaza saa ifike nijipatie ka White kangu!!!! Hujambo?