Ni wangapi wasiokunywa pombe wanamatokeo chanya, ya maendeleo kuliko wanywa pombe?Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.



Mshana Jr Huyu mtoto hana adabu baba yake mwenyewe anaonja beer ikiondolewa anataka tuburudike na nini tule ubuyu kama yeye na Dada zake
@mshana jr Nakuheshimu hii picha ya shemejio umeipata wapi.




Nyie wafuasi wa "mfalme zumaridi" and the like hovyo tu.
Yaani kuna m.t.u.si nimekutukana kimya kimya kuogopa kupigwa ban!
Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Nchi hii ni tajiri" na utajiri sio kwa pombe....
Kaingia kwenye 18 zako