Wewe mbona unakwepa na bado hujafikishwa mahakamani?Mkwepa kodi Mbowe anatakiwa alipe kodi ya wananchi haraka sana na baadae apandishwe mahakamani
~~~>>>Tatizo sio kutumia maji bali ni kufuata taratibu ktk kutumia hayo maji...Machame mbona kuna mashamba mengi ya maua, kahawa yanamikikiwa na wazungu na wanatumia mamilioni ya cubic meters za ujazo za maji toka zamani mbona hawaambiwi kuwa wanaharibu vyanzo vya maji?
Wewe ni wa nchi gani maana hata kiswahili chako hakielewekiHuyu mkuu wa wilaya ya hao, ni mnoma, kaza baba hawa jamaa wanafikiri nchi hii ni ya kuvunavuna tu, wamevuna we, wakaona kumbe pia tuwaweza kwenda kula ikulu ee,
Umesahau mapato ya serikali yanatoka na kodi!
Hajamtetea mbowe Bali ni uhalisia inamaana aliyekwepa ni mbowe. Na Lugumu ambayo haikukwepa Bali ilichota mbona mhedhimiwa sana haioni?Ukijaribu kumtetea Mbowe kwenye hili suala utachemka. Two wrongs don't make a right.
Ya kwake pale mwenge amelipia?Kwa hiyo ndio sababu Mbowe asidaiwe kulipa kodi?
umesahau kuwa tumbua tumbua ni ya magu nasikia hata quality group wametumbuliwa sijui lkn nasikiaCha kujiuliza miaka yote chama gani kilikuwa kinatawala?
Mbowe ameonekana hafai sasa hivi?
Mbona magufuli alipokwenda kufungua barabara akiwa waziri alimsifia sana au ulikuwa unafiki?
Jengo la Billicanas amelikarabati kwa makubaliano ya NHC baada ya huyu jamaa kuingia ikulu ndiyo inaonekana anadaiwa?
Miaka yote walikuwa wapi? Au ndiyo wanatafuta umaarufu kupitia kwa Mbowe?
Hapo sasa!! Rais awe mfano kwa kuweka wazi mshahara wake, marupurupu yake, ili tupate namna ya kumshinikiza juu ya yeye kulipa kodi pia.
YUSUF MANJINi sawa kuwa kodi inapaswa kulipwa na wafanyabiashara wote.
Ila kwa mtu mwenye akili lazima utajiuliza yafuatayo:~
■ Serikali zilizopita hazikuona hayo makosa mfano kulima karibu na chanzo cha maji?
Kuvuta maji mtoni kwaajili ya umwagiliaji kuna tatizo gani? Na ni yeye peke yake anayevuta hayo maji?
Na kulikuwa na conditions alizowekewa akakiuka?
■ Hiyo kodi ya Mil. 13 ndio inayokwamisha utimizaji wa ilani ya CCM?
■ JE , ni Mbowe pekee ndiye anayedaiwa kodi? Mbona ameandamwa sana na kuunganishiwa makosa mfululizo?
INASHANGAZA KWAKWELI.
Well saidNa angefanikiwa Lowassa angechukuwa urais, Mbowe alikuwa ameukata na mali ya Watanzania, jengo lilikuwa linatoweka. Mungu ni mkubwa amempiga full stop. Alipe kodi kama Watanzania wengine. Wengi walikuwa wakitajirika kwa deals, sasa waliokuwa na biashara za bila deals wataendelea, waliokuwa wanapiga deals na kuwaibia wengi wataporomoka. Kweli Mbowe alikuwa sugu na ni mwizi wa kutumia njia ya ujanja.
Mbona hawawatumbui akina Prof Muhongo na Lugumi?umesahau kuwa tumbua tumbua ni ya magu nasikia hata quality group wametumbuliwa sijui lkn nasikia
Mbona hawawatumbui akina Prof Muhongo na Lugumi?umesahau kuwa tumbua tumbua ni ya magu nasikia hata quality group wametumbuliwa sijui lkn nasikia
Mbona hawawatumbui akina Prof Muhongo na Lugumi?umesahau kuwa tumbua tumbua ni ya magu nasikia hata quality group wametumbuliwa sijui lkn nasikia
Umekurupuka kama Rais msafi aanze kutumbua wezi wenzake ndani ccm akina MuhongoTusikurupuke; sheria inasemaje kuhusu Raisi kulipa kodi. Huwezi kujitolea Sheria eti Raisi afanye utakalo wewe au upinzani.
Kwa hiyo shamba la mbowe tu ndiyo halifuati utaratibu~~~>>>Tatizo sio kutumia maji bali ni kufuata taratibu ktk kutumia hayo maji...