Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Una uhakika anadaiwa??Na kama ni siasa utarudi kutetea??Simon Kisena siyo mwizi wa Raslimali zetu na bado imehalalishwa??Au sababu mmoja ni Msukuma na Mwanaccm na mwingine ni Machagga na Mpinzani??? Ubaguzi wanaccm utawarudia wenyewe.Kwa hiyo mbowe anadaiwa au hadaiwi?Na kama anadaiwa kwa nini halipi?