Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

Kwa nini MBOWE? Tanzania hii ni yeye tu? Nadhani mpaka 2019 ikifika hakuna mpinzani wa ccm.
 
Mbowe Kama Kiongozi kudaiwa kila kona Si mfano mzuri kumbe Ni mkwepa kodi mzoefu?! Kisha Ni muharibifu WA mazingira. Atawezaje kuikosoa serikali akiwa Na hali hii ?
UMESEMA VZR SANA MKUU
 
hiyo hotel haijaanza juzi, inazaidi ya hiyo miaka 5 ambayo wanadai hajalipa kodi! Tax rentention ni kitu cha kawaida duniani hata siyo big issue!! na hatusemi kakwepa kodi bali kachelewa kulipa kodi!
 
Tusikurupuke; sheria inasemaje kuhusu Raisi kulipa kodi. Huwezi kujitolea Sheria eti Raisi afanye utakalo wewe au upinzani.
Anavyovunja sheria zingine ni sawa! Lakini kuvunja hiyo sheria kwa manufaa ya nchi (kuchangia pato la taifa) mnamtetea kwamba sheria haimruhusu kulipa kodi!! Je, sheria ipi inamruhusu kugawa fedha za 'maendeleo' kinyume na bajeti iliyoidhinishwa na Bunge?
 
Tukiweka mbali mambo ya kisiasa, Mbowe anastahili kulipa kodi kama kiongozi ili kuonesha mfano kwa jamii. Pia alitakiwa kufata taratibu zote za mazingira kabla ya kuendelea na shughuli za kilimo kwenye shamba husika. Lakini naamini kama rekodi zake ziko sahii hapo ni porojo tu.
Mbowe halipi kodi kabisa na shughuli zake zote zifungwe.


Unakimbizana na aliyekuzidi 200yrs kisha Leo unataka wawekezaji

Not business oriented
 
Acha ufala, unamjua mjomba wangu wewe!!?
Hakuna sehemu niliyo sema achiwe usijibu kama umelewa, tuliza akili

Kama walijua hilo acha dola ifanye kazi yake na siyo kushabikia upumbavu mbowe ni nani nchi hii asilipe kodi kama unaona anaowewa mlipie mjitu mmezoea kulalamika tu kila serikali inapochukulia hatua watu wanaojifanya ni wazalendo kumbe wanafiki wakubwa kama wewe.
 
Tanzagiza acha tubakie gizani,Mwana wa Mungu atakapo kuja:Twaja ona mwanagaza,Leo Mbowe kesho nani twaomba kujua,Vipi wadau hakuna mwingine mkwepa kodi Freeman hapa Tanzagiza:Twende tukakusanyie kodi kama sheria isemavyo nasio kuumizana.Halmashauri leo ndo imeamka kwa hapo nyumba haikuwepo kabisa.Viva Tz viva my home land.
 
Mkuu hiyo ndio siasa. You can't beat them,, you join them.
And destroy them from the inner core.. Au unamaanisha nn? Anaeogopa mpinzani ujue ana mapungufu,kwann hutaki watu wakukosoe? Kwamba Tz nzima mfanya biashara ni mbowe peke ake?? Niambie bakhres na zile contema zake yaliishia wapi? Wengne hamfikilii vizuri sababu mimba zenu zilitungwa bola kukusudiwa[emoji41]
 
Ulitaka wamwanzie mjomba wako ndipo afuate Mbowe???? Tumia akili kufikiri na siyo masaburi yule ni Public figure unajua hilo??
Public figure ambae ni mfanya biashara peke ake Tz yote hii?? S Ndio. Na kweli mpumbavu bado mmoja peke ako
 
Kama walijua hilo acha dola ifanye kazi yake na siyo kushabikia upumbavu mbowe ni nani nchi hii asilipe kodi kama unaona anaowewa mlipie mjitu mmezoea kulalamika tu kila serikali inapochukulia hatua watu wanaojifanya ni wazalendo kumbe wanafiki wakubwa kama wewe.
Hivi wewe nikikuuliza toka umekua mpaka sasa umelip kodi Mara ngapi? Wangapi wanA vibanda vyao lakini hawaijui Hata karatas la Tin number ya wakusanya kodi wanaachwa mnakuja kushadadia mboweee. Kwan ye ndie mfanya biashara pekee Tz? Wangapi wamekwepa kodi?? Niambie ile hadithi ya makontena imeishoa wapi?
 
Hakuna dhambi ndogo wala kubwa alipe kodi!
Sisi tunavyosumbuliwa daily yeye asilipe kama nani na kama amelipa aonyeshe stakabadhi ya malipo maneno mengi ya nini?
Na pia hili lisiishie kwa mbowe tu wala upinzani tu bali lianzie kwa Raisi mpaka diwani wafanyiwe uhakiki wa ulipaji na ukwepaji kodi ktk shughuli zao!.
 
Swali! Je hivi vyombo vya ukusanyaji wa mapato vilikuwa wapi, hao watu wa mazingira walikuwa wapi, hao watu wa NHC walikuwa wapi mpaka mtu anakwepa kulipa kodi, pango, anaharibu mazingira kwa muda wote huku mpaka yote yanaanza kushughulikiwa kipindi hiki. Kuna kauzembe kalifanyika hatua zaid zichukuliwe pia kwa wasimamizi wa vyombo hivyo
 
Back
Top Bottom