Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Serikali na mishahara ya Septemba 2011

acheni mzaha kwenye mambo ya msingi huku kanda ya ziwa hakuna mfanyakazi wa serikali kuu aliyepata mshahara ATM zote nil.
 
acheni mzaha kwenye mambo ya msingi huku kanda ya ziwa hakuna mfanyakazi wa serikali kuu aliyepata mshahara ATM zote nil.

Niambie kirefu cha ATM. Wewe inaelekea hata hujui kima cha chini cha mshahara wa serikali.
 
Hapa kwetu mshahara umetoka leo,lakini ukiangalia mwezi aug ilikuwa ni tar23 alafu leo ni tar30,ukipiga hesabu ni siku 37 toka mshahara hadi mshahara...is this justice?kwa nini tusiseme serikali imefiliska?
 
Acha kuleta uzushi na uchonganishi. Mishahara imeshatoka toka juzi

Mkuu Mwita mbona watu wengine wanapenda kuleta habari za kikuda namna hiyo? Yaani jamaa kakomaa na watumishi wa serikali huyo? Kama hufanyi kazi serikalini si unyamaze!

Yaani hata mimi nimeshangaa sijui hizo habari kazitoa wapi? Kama buzi lake limemdanganya kwamba halijalipwa atakoma ubishi.

Kwa taarifa yake wengine mishahara karibia tunamaliza yeye ndo anazinduka! Kama halmashauri yake haijamlipa shauri yake.
 
Acha kuleta uzushi na uchonganishi. Mishahara imeshatoka toka juzi

Nilikuwa sijakusoma kumbe we ni nguruwe kiasi hiki,labda baba yako ndio kalipwa toka juzi ye si kada wa chama bwana.Tunajua Majeshi mmewalipa mapema ili wawasaidie kuchakachua Igunga sio,itakula kwenu kudadeki!!
 
Jamaa he can't behave himself???? Kha! Alipoacha kutoa hotuba kila mwezi alianza kiasi kuheshimika sababu Pumba zilipungua sasa kazianzisha upya Crap na Mikwala ya nini kuhusu Igunga! akaulize Zambia Libya Egypt na Tunisia wale waloikuwa wanapiga watu mikwala sasa hivi yupo wapi!
Kwakuwa yeye ni mzugaji atulize koromeo lake sio kukoromea Walipa kodi

hivi kwa nini asiandae mwenyewe hotuba aeleweke kuliko kutengenezewa pumba na kuzimwaga nchi nzima! sisi tunataka maendeleo kila mkoa ugawiwe fungu kamili lijiendeshe kimaendeleo sio blah blah uchaguzi kitu gani? kashindwa kukamata wala unga na wauzaji mafisadi, polisi waluao wananchi yeye apige mkwala watakao fanya fujo igunga!

Kupoteza pesa za kodi kwenda kupokea tuzo mbuzi inatusaidia nini? Biashara zangu haziendi vizuri sababu ya umeme kukosekana...

Nimevunja TV Yangu nikidhani nampiga jamaa nondo ya kichwa
Inakera...

Aje Pemba tumfunde
Haya Matatizo ya Kuona Nchi ni yao na sio yetu

Chako Changu Changu Changu
 
waoo! kumbe enhee, sisi ndo tumepata leo. kwa uzoefu wangu wa miaka minane km mtumishi wa umma, ni kipindi cha Mkapa na mwanzoni mwa kipindi cha Kikwete ndo tulikuwa tupokea tarehe 30 labda tu kwa july ndo kidogo wanachelewa ikizidi sana tarehe 27-29 kwa kuwa ni mwaka mpya kiserikali viwango vya mishahara vinabadilika. hata hiyo july hii tulilipwa mapema tu, sasa kwa nini nisiamini kweli fedha zilienda Igunga. Naona mmetumwa nyie mnaobisha bila kutoa sababu kwa nini mishahara ichelewe ivi. acheni kupotosha ukweli kwa kusingizia hatuna ATM cards, njaa zitawaponza kutetea kila jambo hata lile msilo na majibu yake.
 
Wameishapata tayari, kuna bwana alitaka mkopo wa 20 elfu then baada ya muda kanambia kuwa keshapata boom lake la serikali!
 
acheni mzaha kwenye mambo ya msingi huku kanda ya ziwa hakuna mfanyakazi wa serikali kuu aliyepata mshahara ATM zote nil.
mkuu mi nilidhan ni watumishi wa selikali wilaya ya igunga tu, kumbe na sehem zingine! Huku tunaamin kuchelewesha mishahara inahusiana na uchaguzi mdogo.
 
Igunga hakuna mtumishi wa selikali ambaye amelipwa mshahara hadi dakika hii!
 
Mkuu Mwita mbona watu wengine wanapenda kuleta habari za kikuda namna hiyo? Yaani jamaa kakomaa na watumishi wa serikali huyo? Kama hufanyi kazi serikalini si unyamaze!

Yaani hata mimi nimeshangaa sijui hizo habari kazitoa wapi? Kama buzi lake limemdanganya kwamba halijalipwa atakoma ubishi.

Kwa taarifa yake wengine mishahara karibia tunamaliza yeye ndo anazinduka! Kama halmashauri yake haijamlipa shauri yake.

ukweli ni kwamba mishahara bado halmshauri ya mji kibaha na mkuranga bado kabisa labda jmosi tar 1 ndio itoke. Source mi mwenyewe mtumishi
 
ukweli ni kwamba mishahara bado halmshauri ya mji kibaha na mkuranga bado kabisa labda jmosi tar 1 ndio itoke. Source mi mwenyewe mtumishi

Labda wewe ni mtumishi wa kufanya usafi kwenye banda la kuku la mkurugenzi kwahiyo amekudanganya ili usiendelee kumdai. Mwambie akulipe mshahara wako wewe
 
Kila muda naangalia balance kwenye account hamna kitu. Amani kwenye njaa haitadumu muda wote. Kuna kipindi wananchi watashindwa
 
Tusiandike post kishabiki. Unaposema mishahara imepelekwa Igunga unamaanisha nini? Una uhakika?
Tujaribu kufanyia uchunguzi tunachotaka kukipost. Sio unakurupuka na "hangover" zako, unapost.
 
Labda wewe ni mtumishi wa kufanya usafi kwenye banda la kuku la mkurugenzi kwahiyo amekudanganya ili usiendelee kumdai. Mwambie akulipe mshahara wako wewe

Ni kweli Halmashauri ya Mji wa Kibaha, mishahara haijatoka hadi leo asubuhi. Kuna ndugu zangu watatu ni waalimu na mmoja ni doctor. Hiyo kashfa yako haisaidii kujenga jamii inayoheshimiana. Wengi wanajiuliza nini kimetokea halafu weye waleta mzaha!
 
mshahara wa serikali haujatoka jamani msitetee kila ujinga,kuna mshikaji wangu tulikuwa nae jana usiku sana kaenda ATM hola,alafu alikuwa anataka aendeleze bata mpaka asubuhi ikabidi tukalale tu
 
Back
Top Bottom