Tusiandike post kishabiki. Unaposema mishahara imepelekwa Igunga unamaanisha nini? Una uhakika?
Tujaribu kufanyia uchunguzi tunachotaka kukipost. Sio unakurupuka na "hangover" zako, unapost.
Mkuu hivi unatetea kitu gani humu JF kwa kuvuruga mtiririko wa taarifa zinazotoa picha ya hali halisi hapa nchini? Hata kama unaamini kwamba unafaidika na mfumo uliopo je ni kweli kwamba uwezo wako wa kiakili haukuwezeshi kuona zaidi ya urefu wa pua yako? You are as it is a disgrace to your communityLabda wewe ni mtumishi wa kufanya usafi kwenye banda la kuku la mkurugenzi kwahiyo amekudanganya ili usiendelee kumdai. Mwambie akulipe mshahara wako wewe
Utasikia serekali inasema kuna amani ya kutosha na msibeze maendeleo yaliyopatikana mpaka sasa.
Tusiandike post kishabiki. Unaposema mishahara imepelekwa Igunga unamaanisha nini? Una uhakika?
Tujaribu kufanyia uchunguzi tunachotaka kukipost. Sio unakurupuka na "hangover" zako, unapost.
Labda wewe ni mtumishi wa kufanya usafi kwenye banda la kuku la mkurugenzi kwahiyo amekudanganya ili usiendelee kumdai. Mwambie akulipe mshahara wako wewe
wewe na wenzako mlio karibu na jiko ndiye uliyepata toka juzi sisi bado. Unakanusha kitu wakati wenzako huku tuliko tunaumia. acha kuleta utani ktk masuala yasiyohitaji mzahaAcha kuleta uzushi na uchonganishi. Mishahara imeshatoka toka juzi
Hadi dakika hii hakuna mtumishi wa serikali kuu(central government) au serikali za mitaa(local government) ambaye ameshalipwa mshahara wake wa mwezi september nchi nzima,hii ni kinyume cha sera ya serikali kuwa watumishi wote wa umma wanatakiwa kuwa wameshalipwa mishahara yao kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.
Wadadisi wa mambo wanasema pesa ya mishahara itakuwa imekopeshwa ama kupewa ccm ili zitumike katika kampeni za huko Igunga.
Kuna miezi 3 ya nyuma huko serikali ilikopa pesa kwa ajili ya kulipa watumishi wake(source: Zitto Kabwe na Mkulo alishindwa kukanusha) hasa waalimu,manesi na madaktari,
sasa huenda kupelekwa Igunga kwa mishahara hiyo ikawa ni uzushi na ukweli ukawa serikali haina pesa na haijapata nchi,kampuni au mtu wa kukopa.
Hii ni aibu na kukosa uwajibikaji wa rais wetu.
ndiyo maana wengine wanasema mnatumwa kupost upupu humu ndani ya JF. wenzako tunasema hatujapata wewe unatoa majibu ya jumla jumla, toa majibu kisayansi, kwani ukisikia kuna ugonjwa TZ utasema TZ nzima ugonjwa umeenea, hivyo kama umepata ww usiseme wote wamepata. Ukiona wenzako tunalalamika we mean it hali ni mbayaAcha uongo wewe, mi ni m2mishi wa central gov na nimepokea mshahara VIA CRDB tangu tarehe 22.
Hadi dakika hii hakuna mtumishi wa serikali kuu(central government) au serikali za mitaa(local government) ambaye ameshalipwa mshahara wake wa mwezi september nchi nzima,hii ni kinyume cha sera ya serikali kuwa watumishi wote wa umma wanatakiwa kuwa wameshalipwa mishahara yao kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.
Wadadisi wa mambo wanasema pesa ya mishahara itakuwa imekopeshwa ama kupewa ccm ili zitumike katika kampeni za huko Igunga.
Kuna miezi 3 ya nyuma huko serikali ilikopa pesa kwa ajili ya kulipa watumishi wake(source: Zitto Kabwe na Mkulo alishindwa kukanusha) hasa waalimu,manesi na madaktari,
sasa huenda kupelekwa Igunga kwa mishahara hiyo ikawa ni uzushi na ukweli ukawa serikali haina pesa na haijapata nchi,kampuni au mtu wa kukopa.
Hii ni aibu na kukosa uwajibikaji wa rais wetu.
wengine huku chuo kikuu baado kabisa. msibeze hili jamani nchi iko matatani
wengine huku chuo kikuu baado kabisa. msibeze hili jamani nchi iko matatani
inawezekana hii ndiyo kazi yako kukanusha ukweli, maana wengine mna akili ya makengeza, unataka kutuambia kuwa wahasibu mwezi huu wamekuwa wazembe kiasi hicho, acha dharau WEWE, hatujapata mishahara na wenye nyumba wanadai KODI ZAO. nimesikitika sana kuona tuna watu ambao hoja zao ni za jumla jumla kama ww I HAVE TO QUESTION UR LEVEL OF UNDERSTANDING, Na kama umesoma basi uko kwenye kundi la watu ambao wana poor analysis ya issues. Pia kama umetumwa nakupongeza kwa kuukataa ukweliNchi haipo matatani na habezwi mtu. Atabezwa kama anaandika pumba na utumbo kama Sambega, kama kuna sehemu hawajapata mishahara basi wawaulize wanaotakiwa kuwapa mishahara, ofisi zote wamepewa mishahara. Matata mnataka kuyaleta ninyi kwa kuchonganisha watu wasio kwenye payroll ya Serikali waamini kwamba hakuna mishahara na kukosa imani na Serikali. Kuweni wazalendo na wakweli kura za Igunga zisiondoe amani iliyopo.
Nimesoma maoni ya wengi kwenye thread hii.Wengi mnaitetea serikali ya magamba,huku kanda ya ziwa watu hawajapata mshahara.Nimeongea na jamaa yangu yuko songea nao hawajapata.MNAWATETEA NN SERIKAL LEGELEGE