Serikali na mishahara ya Septemba 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hakunaga, Sep 29, 2011.

 1. H

  Hakunaga Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bado?
   
 2. H

  Hakunaga Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bd?
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuwa serious ndugu yangu, binafsi nina habari kemkem zinazohusu mishahara ya serikali, sasa sijui unataka nini?
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Kuwa serious what is imeachiwa, bd. Hujaeleweka hata kidogo. What was wrong with mishahara?
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwani ilikuwa imeshikiliwa? Unazungumzia mishahari ipi -- wa kwangu umeingia kwenye akaunti yangu tangu tar. 25.
   
 6. H

  Hakunaga Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nimeona kuna jamaa kasema kuwa mpk sasa wafanyakaz hawajapata mishahara coz serikal inataka kukata 2elf kwa kila m1 kwa ajil ya sherehe ya miaka 50. Ndo nauliza vp wameshaachia hyo mishahara au bd.
   
 7. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Una Hamu yakutumia eee!
   
 8. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Usiishi kwa kutegemea mshahara kijana tafuta vyanzo vya mapeneee
   
 9. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mishahara haitoki ngooooooooo
   
 10. H

  Hakunaga Member

  #10
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habar ndo hyo.
   
 11. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  unatufundisha tuchukue rushwa?
   
 12. H

  Hakunaga Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera wenzio tunapiga mihayo tu hapa.
   
 13. H

  Hakunaga Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo naanza wangu mambo taratib
   
 14. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Au wanatafuta wapi pa kwenda kukopa ndo watulipe?
   
 15. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  nasikia hazina wanairekebisha kwa mujibu wa wahasibu wa halmashauri
   
 16. H

  Hakunaga Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du mda wote walikuwa wap mpk tar za watu kupewa chao unafika?
   
 17. H

  Hakunaga Member

  #17
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili nalo linawezekana.
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  mishahara imepelekwa igunga kwenye kampeni chafu za kuhonga maulamaa... halafu rostam kagoma kuwakopesha hela za kulipa mishahara
   
 19. H

  Hakunaga Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilihc hlo swala ngoja tuanze kuiba
   
 20. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi. Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
   
Loading...